Kwani lazima hii sense unayoijua wewe leo iwepo?Kiranga hiyo ni kitu rahisi saaaaaana kufanya.
Hata sasa asipobadilisha kingine chochote katika ulimwengu huu.
Kikafanyika kitu kimoja tu, kuondoa hekima na akili kwa kila kiumbe mwenye akili basi vuup, uzuri na ubaya unabakia kuwa myth ambayo hakuna mtu tena hata wa kuin'gamua anymore.
Wote tunakuwa kama mawe, lichomwe jua sawa, lisagwe na nyundo sawa, liyeyushwe na volcano sawa, liwepo sawa, lisiwepo sawa. In fact none of nothing makes any sense...... in fact even sense doesnt exist to begin with.
Hata uumbaji tunaouzungumzia hapa ni kama vile tunavyoufahamu sisi. As we know it.Kwani lazima hii sense unayoijua wewe leo iwepo?
Mungu wako ameshindwa kuumba ulimwengu ambao una sense nyingine tofauti kabisa ya ulimwengu unaoruhusu mazuri tu, usioruhusu mabaya?
Ameshaumba, ukitaka maelezo zaidi kamuulize kijiwe kilichounda kimlima kidogo. Ambacho ni kitoto cha li volcano likuuuuuubwaSasa kwa nini unauliza swali la Mungu kumfuata mtoto wakati unasema Mungu alikuwapo kabla ya mtoto?
Mungu ameshindwa kuumba ulimwengu ambao mtoto hawezi kujisikia vibaya au kufanya vibaya kwa sababu yoyote?
Actually kwenye physics muda ni dimension tu ya space-time.Hata uumbaji tunaouzungumzia hapa ni kama vile tunavyoufahamu sisi. As we know it.
Kama upo huo wa hivyo, hatuwezi kuun'gamua nakuambia. Hebu fikiria kama utaweza kutengeneza uwepo usiohusisha muda🤔. Can you sir?
Hili nadhani hata wewe huwezi kujibu na hata unachodhani ni jibu pia kinaweza kuwa sio sahihi sababu huna uthibitisho. Na kama unao huo uthibitisho ntakuuliza chanzo Cha Mungu ni nini hutakuwa na jibu zaidi ya kuleta story za vitabu vya dini.Kama sio yeye niambie nan ana ratibu kuzama na kuchomoza kwa jua ?
Nan analeta magonjwa?
Unasema tu ameshaumba.Ameshaumba, ukitaka maelezo zaidi kamuulize kijiwe kilichounda kimlima kidogo. Ambacho ni kitoto cha li volcano likuuuuuubwa
Kakaulize kama kanajiskia........ mh, can we listen to ourself kidogo. Hivi kweli unawaza kajiwe kanafaidi sana ukilinganisha na swala na mtu?
Kwa wenye hekima wanatambua kuwa, kadri unavyojielewa zaidi ndio mateso(kiukweli na raha) yanaonekana kuongezeka.
Mi sikushangai hata.Unasema tu ameshaumba.
Huna ushahidi kwamba yupo.
Unatoa kauli ya kiimani tu.
Na nikikubana kwenye kauli zako za kiimani tunaona contradictions ambazo huwezi kuzitatua.
Kwa sababu huyo Mungu hayupo.
Bado hujathibitisha Mungu yupo.Mi sikushangai hata.
Ona Mungu habadiliki amekamilika.
Kutokana na kutobadilika basi hana muda, kwetu sisi tunasema ni eternal.
Ndio maana ni logical kusema hayupo.
Ni logical kusema yupo na habadiliki.
So ni uchaguzi binafsi kuamua kuwa yupo au hayupo. Free will ya conscious beings✌
Mungu yupo.
OnaKwa physics za Albert Einstein za Relativity, kitu chochote kinachoweza kwenda kwa speed ya mwanga, kinauona ulimwengu ambao hauna muda.
Hivyo, ulimwengu huu huu kutoka kwenye mtazamo wa photons na particles zote ambazo hazina mass, ulimwengu hauna muda, ukiwa photon, ulimwengu hauna muda uliopita wala muda ujao, kika kitu kinatokea mara moja.
Ukiangalia swali kuhusu jua na mwezi nimeandika kutoka surah ar rahman ukisoma Mungu ndo kaumba.Hili nadhani hata wewe huwezi kujibu na hata unachodhani ni jibu pia kinaweza kuwa sio sahihi sababu huna uthibitisho. Na kama unao huo uthibitisho ntakuuliza chanzo Cha Mungu ni nini hutakuwa na jibu zaidi ya kuleta story za vitabu vya dini.
Sivyo?
Kutokujua kwangu sio jibu la uthibitisho wa madai yako.
Tena kuna nadharia kwamba, vile mtu anaamini kuhusu uwepo wa Mungu anayeongoza mambo yote kwa usahihi na akili....Sasa😅huyo jamaa mpaka anakufa alikuwa zombie yaani kaparalysed sasa kitu kidogo tu cha kushindwa kumaintain afya yake na kutatua tatizo lake haweza ndo aje kutuaminisha kwamba hamna Mungu😅😅.
Tafsiri ya nukuu "quote" hapo juu "Hatimaye tumepata ulimwengu usiokuwa na kisababishi kwa sababu ya kutokuwepo muda". DAWKING aliandika"We have finally found SOMETHING (universe) that doesn’t have a cause, because there was NO TIME for a cause to exist in..." HAWKING wrote
Wrong ...
You have absolutely no idea what you are talking about.Ona
Kwake hizo photon na particle nyingine ambazo zina hali hiyo.
Unajua kwazo zenyewe (kama zina akili ya kujitambua) bado zipo kwenye big bang. ?
Mbele (kama kwake kuna mbele) zinaona giza na nyuma zinaona mwanga. Sasa ikitokea zikaona kuwa ilianza giza sasa tukipita tunaona mwanga basi zitakuwa zimeanza kuishi. Maana kuna mabadiliko basi kutakuwa na wa muda kwao kama ni 2 X c(speed of light) au c plus 5m/s whatever zinajua zenyewe.
Kama zina hekima zikaamua giza ni zuri na mwanga ni mbaya zitaona zinafanya uharibifu, au uharibifu unaenda kutokea. Na kama zitaamua giza ni ubaya na mwanga ni uzuri basi zitaona zinatengeneza kadri zinavyopita.
Conversely kama zingekuwa pale katikati ya mwanga au giza tu bila mabadiliko basi ni HAZIPO. At least ni as they know themselves, them photon and massleses 'things'
Unaruhusiwa hata kuwa na nadharia kwamba wewe ndiye Mungu.Tena kuna nadharia kwamba, vile mtu anaamini kuhusu uwepo wa Mungu anayeongoza mambo yote kwa usahihi na akili....
...
... ndivyo hivyohivyo mwili wake unavyoamini kuhusu uwepo wa ubongo na uongozi wake kupitia fahamu kwa akili.
Nadharia mpya kuhusiana na matatizo fulani ya mfumo wa neva na kupelekea kupooza kwa viungo
Multiple sclerosis: ni ugonjwa wenye sifa ya kuharibu ushikamanifu wa mfumo wa fahamu haswa kile kiwambo cha mafuta kinachoilinda mishipa ya fahamu. Mara nyingi ikitokea huwa inatokea bila sababu kubwa ya kueleweka japo kama ilivyo ada watu huamua kujiaminisha kwamba labda ni vikemikali/sumu...www.jamiiforums.com
Wanatumia misamiati migumu na dhana za kutuchanganyanya.Ila ni kama mabishano ya kifalsafa tu.Hakuna emoirical evidwnce yoyote ya anayosema.Mara cloud dust mara sijui nn.A tautology is basically circular argument that is meaningless, like saying "it is what it is", of course it is what it is, but what is it?
An oxymoron posits two opposites as being one and the same, like "friendly fire" or "let's agree to disagree".
If you are skeptic, and you draw a line to let go your skepticism, I am skeptic about your skepticism.
A real skeptic ought to question even his/her senses, how do you know your perception is correct if you can't even see ultraviolet rays with your naked eyes?
How do you know that you actually exist here and you are not a simulation of some bits of information some billions of light years away?
My point is, Professor Hawking's assertions are based on some serious math and science. I am not saying that he cannot be wrong, there are differing opinions on the matter, but calling the assertions guesswork is akin to reducing his thoughts to some eeny, meeny miny moe.
He actually did a lot of work prior to that conclusion.I would hesitate before calling that "guesswork" without even understanding what he did.
Speaking of empirical evidence.Wanatumia misamiati migumu na dhana za kutuchanganyanya.Ila ni kama mabishano ya kifalsafa tu.Hakuna emoirical evidwnce yoyote ya anayosema.Mara cloud dust mara sijui nn.
Hata nikisema ndiyo, hata nikisema hapana haitabadilisha kitu.You have absolutely no idea what you are talking about.
Swali dogo tu hujajibu.
Je, Mungu aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na mabaya?
Angalau nilichogundua ni kwamba, watu wengi, sio wewe tu hawana philosophical background ya hilo swali (Alilouliza Kiranga hapo juu)Hata nikisema ndiyo, hata nikisema hapana haitabadilisha kitu.
Ninasema hivyo kwa sababu binafsi nashindwa kuucomprehend/kuung'amua huo ulimwengu usio na hayo unayoyaita 'mabaya'. Ambayo kimsingi ni kufeli kwako kuziona kusudi za kuwapo kwayo. Watu wa chaos huwa hamuelewi dhana zinazohusisha purpose/kusudi.
Kinadharia jibu ni NDIYO kwa sababu ninaamini anaweza fanya kila kitu. Multiverse anyone??
Ila katika huu ulimwengu ninaohusiana nao mimi, kulingana na asili yangu ndio siwezi kung'amua/kucomprehend/kufadhom wazo la uwepo usiohusisha utofauti wa hali, isiohusisha mabadiliko, usiohusisha muda.
Uumbaji wenyewe ninaoufahamu ni pale sifuri iligawanywa kwa mbili kukawepo na +1 na -1 a sifuri yenyewe yaani vitu vitatu. Sasa sina hakika kama iligawanywa kwa mbili tu au iligawanywa zaidi ya hapo yaani kuwe na ..nk..+7,+6,+5,+3,+2, +1, 0, -1,-2, -3, -4, -7..nk. Hao walio kwenye existance nyingine ndio wanaweza kung'amua namna wanaweza kuwepo kivyaovyao mi sijui[emoji2285].
Kwani Mr Kiranga, can you give us a picture of a universe without time? If you can conjure such image then know that God can create that too!
Kama jibu ni ndiyo, kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani?Hata nikisema ndiyo, hata nikisema hapana haitabadilisha kitu.
Ninasema hivyo kwa sababu binafsi nashindwa kuucomprehend/kuung'amua huo ulimwengu usio na hayo unayoyaita 'mabaya'. Ambayo kimsingi ni kufeli kwako kuziona kusudi za kuwapo kwayo. Watu wa chaos huwa hamuelewi dhana zinazohusisha purpose/kusudi.
Kinadharia jibu ni NDIYO kwa sababu ninaamini anaweza fanya kila kitu. Multiverse anyone??
Ila katika huu ulimwengu ninaohusiana nao mimi, kulingana na asili yangu ndio siwezi kung'amua/kucomprehend/kufadhom wazo la uwepo usiohusisha utofauti wa hali, isiohusisha mabadiliko, usiohusisha muda.
Uumbaji wenyewe ninaoufahamu ni pale sifuri iligawanywa kwa mbili kukawepo na +1 na -1 a sifuri yenyewe yaani vitu vitatu. Sasa sina hakika kama iligawanywa kwa mbili tu au iligawanywa zaidi ya hapo yaani kuwe na ..nk..+7,+6,+5,+3,+2, +1, 0, -1,-2, -3, -4, -7..nk. Hao walio kwenye existance nyingine ndio wanaweza kung'amua namna wanaweza kuwepo kivyaovyao mi sijui🙅♂️.
Kwani Mr Kiranga, can you give us a picture of a universe without time? If you can conjure such image then know that God can create that too!