Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kiranga hiyo ni kitu rahisi saaaaaana kufanya.

Hata sasa asipobadilisha kingine chochote katika ulimwengu huu.

Kikafanyika kitu kimoja tu, kuondoa hekima na akili kwa kila kiumbe mwenye akili basi vuup, uzuri na ubaya unabakia kuwa myth ambayo hakuna mtu tena hata wa kuin'gamua anymore.

Wote tunakuwa kama mawe, lichomwe jua sawa, lisagwe na nyundo sawa, liyeyushwe na volcano sawa, liwepo sawa, lisiwepo sawa. In fact none of nothing makes any sense...... in fact even sense doesnt exist to begin with.
Kwani lazima hii sense unayoijua wewe leo iwepo?

Mungu wako ameshindwa kuumba ulimwengu ambao una sense nyingine tofauti kabisa ya ulimwengu unaoruhusu mazuri tu, usioruhusu mabaya?
 
Sasa kwa nini unauliza swali la Mungu kumfuata mtoto wakati unasema Mungu alikuwapo kabla ya mtoto?

Mungu ameshindwa kuumba ulimwengu ambao mtoto hawezi kujisikia vibaya au kufanya vibaya kwa sababu yoyote?
 
Kwani lazima hii sense unayoijua wewe leo iwepo?

Mungu wako ameshindwa kuumba ulimwengu ambao una sense nyingine tofauti kabisa ya ulimwengu unaoruhusu mazuri tu, usioruhusu mabaya?
Hata uumbaji tunaouzungumzia hapa ni kama vile tunavyoufahamu sisi. As we know it.

Kama upo huo wa hivyo, hatuwezi kuun'gamua nakuambia. Hebu fikiria kama utaweza kutengeneza uwepo usiohusisha muda🤔. Can you sir?
 
Sasa kwa nini unauliza swali la Mungu kumfuata mtoto wakati unasema Mungu alikuwapo kabla ya mtoto?

Mungu ameshindwa kuumba ulimwengu ambao mtoto hawezi kujisikia vibaya au kufanya vibaya kwa sababu yoyote?
Ameshaumba, ukitaka maelezo zaidi kamuulize kijiwe kilichounda kimlima kidogo. Ambacho ni kitoto cha li volcano likuuuuuubwa

Kakaulize kama kanajiskia........ mh, can we listen to ourself kidogo. Hivi kweli unawaza kajiwe kanafaidi sana ukilinganisha na swala na mtu?

Kwa wenye hekima wanatambua kuwa, kadri unavyojielewa zaidi ndio mateso(kiukweli na raha) yanaonekana kuongezeka.
 
Hata uumbaji tunaouzungumzia hapa ni kama vile tunavyoufahamu sisi. As we know it.

Kama upo huo wa hivyo, hatuwezi kuun'gamua nakuambia. Hebu fikiria kama utaweza kutengeneza uwepo usiohusisha muda🤔. Can you sir?
Actually kwenye physics muda ni dimension tu ya space-time.

Kufikiri kwamba ulimwengu bila muda hauwezekani kuwapo ni kutuonesha hujui physics tu.

Kwa physics za Albert Einstein za Relativity, kitu chochote kinachoweza kwenda kwa speed ya mwanga, kinauona ulimwengu ambao hauna muda.

Hivyo, ulimwengu huu huu kutoka kwenye mtazamo wa photons na particles zote ambazo hazina mass, ulimwengu hauna muda, ukiwa photon, ulimwengu hauna muda uliopita wala muda ujao, kika kitu kinatokea mara moja.

Yani hapa umedhihirisha kwamba sio tu hujaweza kujadili mambo ya Mungu na uwezekano wa ulimwengu ambao Mungu angeweza kuuumba, hujaweza hata kujadili mambo ya ulimwengu huu kama watu walivyoweza kuuelezea zaidi ya miaka 100 iliyopita.
 
Kama sio yeye niambie nan ana ratibu kuzama na kuchomoza kwa jua ?

Nan analeta magonjwa?
Hili nadhani hata wewe huwezi kujibu na hata unachodhani ni jibu pia kinaweza kuwa sio sahihi sababu huna uthibitisho. Na kama unao huo uthibitisho ntakuuliza chanzo Cha Mungu ni nini hutakuwa na jibu zaidi ya kuleta story za vitabu vya dini.
Sivyo?
Kutokujua kwangu sio jibu la uthibitisho wa madai yako.
 
Ameshaumba, ukitaka maelezo zaidi kamuulize kijiwe kilichounda kimlima kidogo. Ambacho ni kitoto cha li volcano likuuuuuubwa

Kakaulize kama kanajiskia........ mh, can we listen to ourself kidogo. Hivi kweli unawaza kajiwe kanafaidi sana ukilinganisha na swala na mtu?

Kwa wenye hekima wanatambua kuwa, kadri unavyojielewa zaidi ndio mateso(kiukweli na raha) yanaonekana kuongezeka.
Unasema tu ameshaumba.

Huna ushahidi kwamba yupo.

Unatoa kauli ya kiimani tu.

Na nikikubana kwenye kauli zako za kiimani tunaona contradictions ambazo huwezi kuzitatua.

Kwa sababu huyo Mungu hayupo.
 
Unasema tu ameshaumba.

Huna ushahidi kwamba yupo.

Unatoa kauli ya kiimani tu.

Na nikikubana kwenye kauli zako za kiimani tunaona contradictions ambazo huwezi kuzitatua.

Kwa sababu huyo Mungu hayupo.
Mi sikushangai hata.

Ona Mungu habadiliki amekamilika.

Kutokana na kutobadilika basi hana muda, kwetu sisi tunasema ni eternal.

Ndio maana ni logical kusema hayupo.

Ni logical kusema yupo na habadiliki.

So ni uchaguzi binafsi kuamua kuwa yupo au hayupo. Free will ya conscious beings✌
Mungu yupo.
 
Bado hujathibitisha Mungu yupo.

Unasema tu yupo kama jambo la imani.
 
Kwa physics za Albert Einstein za Relativity, kitu chochote kinachoweza kwenda kwa speed ya mwanga, kinauona ulimwengu ambao hauna muda.

Hivyo, ulimwengu huu huu kutoka kwenye mtazamo wa photons na particles zote ambazo hazina mass, ulimwengu hauna muda, ukiwa photon, ulimwengu hauna muda uliopita wala muda ujao, kika kitu kinatokea mara moja.
Ona

Kwake hizo photon na particle nyingine ambazo zina hali hiyo.

Unajua kwazo zenyewe (kama zina akili ya kujitambua) bado zipo kwenye big bang. ?

Mbele (kama kwake kuna mbele) zinaona giza na nyuma zinaona mwanga. Sasa ikitokea zikaona kuwa ilianza giza sasa tukipita tunaona mwanga basi zitakuwa zimeanza kuishi. Maana kuna mabadiliko basi kutakuwa na wa muda kwao kama ni 2 X c(speed of light) au c plus 5m/s whatever zinajua zenyewe.

Kama zina hekima zikaamua giza ni zuri na mwanga ni mbaya zitaona zinafanya uharibifu, au uharibifu unaenda kutokea. Na kama zitaamua giza ni ubaya na mwanga ni uzuri basi zitaona zinatengeneza kadri zinavyopita.

Conversely kama zingekuwa pale katikati ya mwanga au giza tu bila mabadiliko basi ni HAZIPO. At least ni as they know themselves, them photon and massleses 'things'
 
Hili nadhani hata wewe huwezi kujibu na hata unachodhani ni jibu pia kinaweza kuwa sio sahihi sababu huna uthibitisho. Na kama unao huo uthibitisho ntakuuliza chanzo Cha Mungu ni nini hutakuwa na jibu zaidi ya kuleta story za vitabu vya dini.
Sivyo?
Kutokujua kwangu sio jibu la uthibitisho wa madai yako.
Ukiangalia swali kuhusu jua na mwezi nimeandika kutoka surah ar rahman ukisoma Mungu ndo kaumba.

Na mtoa mada kaandika kutokana na maoni ya Hawking ambaye alikuwa na IQ kubwa na wengine ,wasomi weny uwezo mkubwa.

Sasa😅huyo jamaa mpaka anakufa alikuwa zombie yaani kaparalysed sasa kitu kidogo tu cha kushindwa kumaintain afya yake na kutatua tatizo lake haweza ndo aje kutuaminisha kwamba hamna Mungu😅😅.

Ukiwa na kibr bora ukae kimya kama unaamini hamna Mungu hamna tatizo kwa vile una hoja zako ,ila ukitaka kuaminisha watu kwamba hamna Mungu ndo tatizo.

Rejea mmiliki wa Titanic "meli yangu ni salama hata Mungu hwezi kuizamisha" ila unajua kilichotokea .

Huyo Hawking nae kawa zombi mpaka umauti unamfika😂😂...

Kwa mpaka sasa kama unaamini kwa hoja zilizopo kwamba hamna Mungu ni dhaifu labda huko mbeleni ila kwa za hawa waongea kingereza hapana kabisa.!!
 
Sasa😅huyo jamaa mpaka anakufa alikuwa zombie yaani kaparalysed sasa kitu kidogo tu cha kushindwa kumaintain afya yake na kutatua tatizo lake haweza ndo aje kutuaminisha kwamba hamna Mungu😅😅.
Tena kuna nadharia kwamba, vile mtu anaamini kuhusu uwepo wa Mungu anayeongoza mambo yote kwa usahihi na akili....
...
... ndivyo hivyohivyo mwili wake unavyoamini kuhusu uwepo wa ubongo na uongozi wake kupitia fahamu kwa akili.

"We have finally found SOMETHING (universe) that doesn’t have a cause, because there was NO TIME for a cause to exist in..." HAWKING wrote

Wrong ...
Tafsiri ya nukuu "quote" hapo juu "Hatimaye tumepata ulimwengu usiokuwa na kisababishi kwa sababu ya kutokuwepo muda". DAWKING aliandika

Mwandishi wa mada kwenye post namba 2269 ameandika "Kufikiri kwamba ulimwengu bila muda hauwezekani kuwapo ni kutuonesha hujui physics tu"

Interesting ...

DAWKING was wrong kwenye hili

Ziada: Kwa mujibu maelezo ya mwandishi wa mada "DAWKING & PROF. LAWRENCE KRAUS hawajui PHYSICS [emoji23]" ...
 
Ona

Kwake hizo photon na particle nyingine ambazo zina hali hiyo.

Unajua kwazo zenyewe (kama zina akili ya kujitambua) bado zipo kwenye big bang. ?

Mbele (kama kwake kuna mbele) zinaona giza na nyuma zinaona mwanga. Sasa ikitokea zikaona kuwa ilianza giza sasa tukipita tunaona mwanga basi zitakuwa zimeanza kuishi. Maana kuna mabadiliko basi kutakuwa na wa muda kwao kama ni 2 X c(speed of light) au c plus 5m/s whatever zinajua zenyewe.

Kama zina hekima zikaamua giza ni zuri na mwanga ni mbaya zitaona zinafanya uharibifu, au uharibifu unaenda kutokea. Na kama zitaamua giza ni ubaya na mwanga ni uzuri basi zitaona zinatengeneza kadri zinavyopita.

Conversely kama zingekuwa pale katikati ya mwanga au giza tu bila mabadiliko basi ni HAZIPO. At least ni as they know themselves, them photon and massleses 'things'
You have absolutely no idea what you are talking about.

Swali dogo tu hujajibu.

Je, Mungu aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na mabaya?
 
Tena kuna nadharia kwamba, vile mtu anaamini kuhusu uwepo wa Mungu anayeongoza mambo yote kwa usahihi na akili....
...
... ndivyo hivyohivyo mwili wake unavyoamini kuhusu uwepo wa ubongo na uongozi wake kupitia fahamu kwa akili.

Unaruhusiwa hata kuwa na nadharia kwamba wewe ndiye Mungu.

As long as ni nadharia hakuna tatizo.

Ila, ukija hapa na kusema wewe ni Mungu, tutakuomba ushahidi. Tutataka uthibitisho.

Mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.
 
A tautology is basically circular argument that is meaningless, like saying "it is what it is", of course it is what it is, but what is it?

An oxymoron posits two opposites as being one and the same, like "friendly fire" or "let's agree to disagree".

If you are skeptic, and you draw a line to let go your skepticism, I am skeptic about your skepticism.

A real skeptic ought to question even his/her senses, how do you know your perception is correct if you can't even see ultraviolet rays with your naked eyes?

How do you know that you actually exist here and you are not a simulation of some bits of information some billions of light years away?

My point is, Professor Hawking's assertions are based on some serious math and science. I am not saying that he cannot be wrong, there are differing opinions on the matter, but calling the assertions guesswork is akin to reducing his thoughts to some eeny, meeny miny moe.

He actually did a lot of work prior to that conclusion.I would hesitate before calling that "guesswork" without even understanding what he did.
Wanatumia misamiati migumu na dhana za kutuchanganyanya.Ila ni kama mabishano ya kifalsafa tu.Hakuna emoirical evidwnce yoyote ya anayosema.Mara cloud dust mara sijui nn.
 
Wanatumia misamiati migumu na dhana za kutuchanganyanya.Ila ni kama mabishano ya kifalsafa tu.Hakuna emoirical evidwnce yoyote ya anayosema.Mara cloud dust mara sijui nn.
Speaking of empirical evidence.

Kuna empirical evidence na proof ya kuwapo Mungu?
 
You have absolutely no idea what you are talking about.

Swali dogo tu hujajibu.

Je, Mungu aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na mabaya?
Hata nikisema ndiyo, hata nikisema hapana haitabadilisha kitu.

Ninasema hivyo kwa sababu binafsi nashindwa kuucomprehend/kuung'amua huo ulimwengu usio na hayo unayoyaita 'mabaya'. Ambayo kimsingi ni kufeli kwako kuziona kusudi za kuwapo kwayo. Watu wa chaos huwa hamuelewi dhana zinazohusisha purpose/kusudi.

Kinadharia jibu ni NDIYO kwa sababu ninaamini anaweza fanya kila kitu. Multiverse anyone??

Ila katika huu ulimwengu ninaohusiana nao mimi, kulingana na asili yangu ndio siwezi kung'amua/kucomprehend/kufadhom wazo la uwepo usiohusisha utofauti wa hali, isiohusisha mabadiliko, usiohusisha muda.

Uumbaji wenyewe ninaoufahamu ni pale sifuri iligawanywa kwa mbili kukawepo na +1 na -1 a sifuri yenyewe yaani vitu vitatu. Sasa sina hakika kama iligawanywa kwa mbili tu au iligawanywa zaidi ya hapo yaani kuwe na ..nk..+7,+6,+5,+3,+2, +1, 0, -1,-2, -3, -4, -7..nk. Hao walio kwenye existance nyingine ndio wanaweza kung'amua namna wanaweza kuwepo kivyaovyao mi sijui🙅‍♂️.

Kwani Mr Kiranga, can you give us a picture of a universe without time? If you can conjure such image then know that God can create that too!
 
Uumbaji wenyewe ninaoufahamu ni pale sifuri iligawanywa kwa mbili kukawepo na +1 na -1 a sifuri yenyewe yaani vitu vitatu. Sasa sina hakika kama iligawanywa kwa mbili tu au iligawanywa zaidi ya hapo yaani kuwe na ..nk..+7,+6,+5,+3,+2, +1, 0, -1,-2, -3, -4, -7..nk. Hao walio kwenye existance nyingine ndio wanaweza kung'amua namna wanaweza kuwepo kivyaovyao mi sijui[emoji2285].

Kwani Mr Kiranga, can you give us a picture of a universe without time? If you can conjure such image then know that God can create that too!
Angalau nilichogundua ni kwamba, watu wengi, sio wewe tu hawana philosophical background ya hilo swali (Alilouliza Kiranga hapo juu)

"Je Mungu anaweza kuumba ulimwengu usio na mabaya?"

Hapa Kiranga anarejea "Logical Problem Of Evil" kwenye falsafa, kama ungeisoma hii hoja ungejijibu baadhi ya maswali uliyojiuliza mwenyewe.

Hoja yako ni kwamba, kwakua huwezi fikiria (kwa kutumia akili yako ya kibinadamu) au kuvuta picha ya ulimwengu usio na mabaya.

Basi unahitimisha kuwa kwakua haiwezekani kuufikiria (comprehend) ulimwengu wa namna hiyo, basi ulimwengu wa namna hio hauwezekani kuwepo, hivyo huu tulionao ni ulimwengu bora zaidi unaowezekana.

Hitimisho lako ni "total nonsense", huwezi kufikiria au kubuni ulimwengu usio na mabaya kwa sababu wewe sio mwenye "Maarifa yote", wewe sio mwenye "Nguvu zote" na wewe sio mwenye "Upendo wote"

Msingi wa hii hoja ni kwamba, kama kuna kiumbe (au vyovyote utakavyopenda kukiita) chenye hizo sifa tatu (Maarifa yote, Nguvu zote, Upendo wote) na kikataka kuumba ulimwengu, basi hitimisho pekee la kimantiki ni kwamba, "Kingeumbaa ulimwengu usio na mabaya",

kwa sababu tofauti na wewe, kinauweza wa ku "comprehend", "plan", "design", "desire" na nguvu ya ku "create" ulimwengu wa namna hio.

Huwezi kataa hilo hitimisho hapo juu bila angalau kukataa sifa mojawapo ya huyo kiumbe kati ya "Maarifa yote", mfano wenda hajui jinsi ya kuumba huo ulimwengu, ila alitaka na nguvu alikua nazo,

au "Nguvu zote", mfano wenda alikua anajua jinsi gani ya kuumba, na alitaka ila hakua na nguvu za kutosha,

au "Upendo wote" mfano alikua anajua, na alikua na nguvu ya kuumba pia ila hakua na upendo wa kutosha kufanya hivyo

Sasa wewe unakataa sifa ipi kati ya hizo?

Huwezi elezea kwanini Mungu wako (mwenye sifa hizo tatu by definition) aliumba ulimwengu wa namna hii bila angalau kukataa sifa mojawapo kati ya zile tatu, otherwise hatutakua na mjadala wowote wenye maana.

Usilete hoja ya "Freewill" ya kuwa Mungu aliumba ulimwengu usio na mabaya ila akampa binadamu maamuzi binafsi, then binadamu akatumia hayo maamuzi binafsi kuleta maovu

Huo utetezi haujibu hilo swali, kwasababu kuu mbili za haraka haraka

1. Sio kila maovu yanasababishwa na maamuzi ya binadamu, Tsunami, Mafuriko, Magonjwa, Matetemeko ya ardhi n.k

Baadhi ya uovu upo ndani ya DNA zetu, kitu ambacho kipo nje ya utashi wetu, hisia kama chuki, hasira, wivu, tamaa
Hivi sio vitu "unavyoamua" kuwa au kutokua navyo, mtoto mdogo anazaliwa navyo vyote, na kama huamini kwenye Evolution, hizi hisia ni useless na hazina maana yoyote kwenye Creationism.

Fikiria maisha ya mwituni, angalia jinsi gani viumbe vinavyoishi kwa "kulana", Simba haamui "kumla au kutomla swala mwenye mimba", huo ukatili upo kwenye DNA yake.

2. Hakuna Freewill kwenye ulimwengu wa Mungu anayepanga kila kitu kabla, Je Mungu "alishangaa" shetani alipoasi? au alijua kabla? kama alijua kwanini aliumba malaika mwenye mbegu ya uasi?

Unaweza toa utetezi kuwa Mungu anasababu yake nzuri tusiyoijua ya kuumba ulimwengu wa namna hii, lakini swali litakuja, kama hatuijui hio sababu, tumejua vipi ni nzuri? (The greater good argument)

So awali la "Kwanini Mungu aliumba dunia yenye mabaya" ni swali lililoshindikana.
 
Hata nikisema ndiyo, hata nikisema hapana haitabadilisha kitu.

Ninasema hivyo kwa sababu binafsi nashindwa kuucomprehend/kuung'amua huo ulimwengu usio na hayo unayoyaita 'mabaya'. Ambayo kimsingi ni kufeli kwako kuziona kusudi za kuwapo kwayo. Watu wa chaos huwa hamuelewi dhana zinazohusisha purpose/kusudi.

Kinadharia jibu ni NDIYO kwa sababu ninaamini anaweza fanya kila kitu. Multiverse anyone??

Ila katika huu ulimwengu ninaohusiana nao mimi, kulingana na asili yangu ndio siwezi kung'amua/kucomprehend/kufadhom wazo la uwepo usiohusisha utofauti wa hali, isiohusisha mabadiliko, usiohusisha muda.

Uumbaji wenyewe ninaoufahamu ni pale sifuri iligawanywa kwa mbili kukawepo na +1 na -1 a sifuri yenyewe yaani vitu vitatu. Sasa sina hakika kama iligawanywa kwa mbili tu au iligawanywa zaidi ya hapo yaani kuwe na ..nk..+7,+6,+5,+3,+2, +1, 0, -1,-2, -3, -4, -7..nk. Hao walio kwenye existance nyingine ndio wanaweza kung'amua namna wanaweza kuwepo kivyaovyao mi sijui🙅‍♂️.

Kwani Mr Kiranga, can you give us a picture of a universe without time? If you can conjure such image then know that God can create that too!
Kama jibu ni ndiyo, kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani?
 
Back
Top Bottom