Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Unalazimisha, unajua kwa nini?
 
Msimamo kila mtu anao, hilo halina ubishi.

Ila fact ni moja tu.

Sasa unaijuaje fact?

Kwa uchunguzi, kwa uthibitisho, si kwa imani.

Sasa mbona watu wanataka kujua fact ya kuwepo Mungu kwa imani badala ya uchunguzi na uthibitisho?


Bro unajua maana ya IMANI ?
 
Even if Hawking is completely discredited,the problemof evil totally contradicts the existence of the omnipotent, omniscient and Omni benevolent Godhead.

One does not need Hawking and sophisticated theories.

One needs to asks a question of simple logic.

A normal father who loves his children does not want to see them suffer in any way.

This is a normal father.

The protection goes up as the love and ability to protect increases.


God is supposed to be the omnipotent, omniscient and Omni benevolent, he can do all, knows all and has the greatest love.

Why did he create a universe in which suffering is possible, while he could have created a universe in which suffering is not possible?
 


Hapa natilia mkazo,katika elimu ya mijadala kufikia muafaka haijawahi kuwa lengo. Nini namaanisha hapa ? Ya kwamba ukitaka ukitaka kushindana lazima utaumbuka au utalizimisha njano iwe nyekundu.

Lakini pia kuna watu huwa wanakataa ya kuwa hawashindani ila katika hali halisi wanashindana.

Nipo .....
 
Really? Are the things you said a proof that God does not exist? How could death be a reason that God does not exist. I do not see any casual relation of the things you mentioned and the existence of super natural being.

1. Death = cruel extinguishing of life = people crying to be separated from loved ones

2. Your God = greatest love= does not want any harm to come to his loved creation = would banish the very idea of death on his beloved creation anywhere anytime


We do not see death being banished anywhere anytime. To the contrary, death is rampant all over the universe.

Because God does not exist.
 


Hivi hii LOGIC mbona huwa mnaipa hadhi isiyo stahili ?

Kwanini mnafanya logic kuwa kama nyenzo au ala ya kukufikisha katika ukweli au kuujua ukweli ?
 
Kifo cha mtu yeyote kinathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kifo kinachotenganisha wapendanao kisingekuwepo.

Unaelewa hilo?

Huwa nacheka sana nikiona maneno yako ...

Nipo ...
 
Hivi hii LOGIC mbona huwa mnaipa hadhi isiyo stahili ?

Kwanini mnafanya logic kuwa kama nyenzo au ala ya kukufikisha katika ukweli au kuujua ukweli ?
Unaelewa kwamba huwezi kuuliza sali bila kutumia logic?

Na unapouliza "hivi hii logic mbona mnaipa hadhiisiyostahiki?" unaiponda logic wakati hapo hapo kuiponda kwako logic kunatumia logic hiyo hiyo?

Unaelewa kwamba ukiandikakwa alphabet au namba tayari ushatumia logic?
 

Kama hakuna kitu kinachoitwa kutokana na madai yako,kuna nini sasa ?

Ila bro wewe ni muongo wa kupindukia ujue. Unajua humu kuna watu wanapinga vitu kwa viji maneno maneno ila kivitendo wako kinyume na hali halisi.

Bro unakubali kuna usiku na mchana ? Unakubali kuna asubuhi na jioni ? Je unakubali kuna wiki,kuna mwezi,kuna mwaka ?

Nipo ....
 

Kadhia ya LOGIC mimi na wewe tulishamalizana,na ukweli unaujua mwenyewe,hapa nataka mtu mwingine wa kujadiliana nae kuhusu elimu ya mantiki. Kwa vipimo vya kielimu wewe ni mwepesi sana katika somo hili la LOGIC najua katika hili shahidi nafsi yako.

Ila hii ni ziada tu bro,na hapa nakariri hii kauli ya kuwa "Maneno yalikuwepo kabla ya kuwepo hii elimu ya mantiki,na watu walikuwa wanajenga hoja,nakueleweka vizuri mno"

Kwahiyo kama nyinyi mnaona kukaririshwa msamiati na maneno magumu ndio elimu,basi bado mko gizani.

Nipo .....
 
Huwa nacheka sana nikiona maneno yako ...

Nipo ...
Hujajibu swalilililoulizwa,na kama kuna swali umejibu,sijauliza.

Unajibalaguza.

Unaelewakwamba kifo cha kiumbe yeyote poppote kinaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?
 
Unaelewa kwamba hata hapa umetumia logic hiyo hiyo unayoiponda?
 
Hujajibu swalilililoulizwa,na kama kuna swali umejibu,sijauliza.

Unajibalaguza.

Unaelewakwamba kifo cha kiumbe yeyote poppote kinaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Kifo ni kiumbe na ni haki ya kila binadamu,na kinathibitisha uwepo wa Mola mlezi na ukamilifu wa maumbile.
 
Hivi hii LOGIC mbona huwa mnaipa hadhi isiyo stahili ?

Kwanini mnafanya logic kuwa kama nyenzo au ala ya kukufikisha katika ukweli au kuujua ukweli ?

Sasa mkuu, endapo tumepewa uwezowa kufikiri,kuchambua mambo na kufanya maamuzi, hautaki tutumie uwezo huo kupambanua mambo?

Unataka nikiambiwa niwahi posta nikapande treni ya kwenda Zanzibar nikimbie tu bila kujiuliza, Zanzibar na treni wapi na wapi?
Reli imejengwa lini, Je inawezekana ikajengwa usiku mmoja bila watu kuwa na taarifa? Hiyo treni imenunuliwa lini?

Huenda ukatusaidia na jambo jipya leo, ni mambo gani yanahitaji logic na yapi hayahitaji logic mkuu?
 
Sijatumia logic bro hilo liko wazi ....
Unaelewa kwamba ukiandika kwa maandishi yoyote yaliyokaa katika mpangilio maalum, kama herufi za a, b,c,d etc, umetumia logic?

Kwa sababu herufi hizo zimekaa katika "logical order" si random symbols?

Unaelewa hilo?
 
Unaelewa kwamba ukiandika kwa maandishi yoyote yaliyokaa katika mpangilio maalum, kama herufi za a, b,c,d etc, umetumia logic?

Kwa sababu herufi hizo zimekaa katika "logical order" si random symbols?

Unaelewa hilo?
Nini maana ya logic kwa kiswahili mkuu?

(Nimeuliza maana sikuuliza tafsiri)
 
Unaweza kuthibitisha kuzimu kupo na anachomwamoto wa kiberiti ?

Na kwamba hizo si stories za kujazana ujinga tu?

Mi naamini,at least kwa uzoefu wangu…

Atheist huwa anakubali nadharia(au hoja) ambayo kwanza ameielewa pili ipo logically consistent na tatu inatetewa na ushahidi unaoweza kuthibitishika

ili tuwe na mjadala wenye maana kidogo,na tufikie conclusion kuwa Mungu yupo au hayupo

Tuanze na 'Organic evolution',hebu nieleze(suppose I know nothing about Darwinism)

Jinsi gani Ubongo umeweza kuibuka(evolved) kutoka katika kitu ambacho hakikua kikifanana kabisa na ubongo?
Mchakato huo ulitumia steps ngapi? na ndani ya mda gani? na chini ya conditions zipi?

Na huo mchakato unaweza kurudiwa maabara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…