Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

1. Lugha ni kwa ajili ya mawasiliano.
2. Mawasiliano yanakamilika pale ambapo mlengwa anapopata ujumbe uliokusudiwa.
3. Maandiko matakatifu yamejitosheleza kwenye ujumbe wake na walengwa wa ujumbe huo wanaupata bila upungufu wowote (bila contradictions).
4. Wale ambao hawana imani au wanasoma maandiko matakatifu bila jicho la imani (kwa matakwa yao) hawapati ujumbe wake, hivyo wanachoona ni kitu tofauti. Ni kama mtu anayemwonyesha mwenzake kwa kidole "mwezi ule..." halafu yule anayeelekezwa abaki anaangalia kidole as if mwezi uko kwenye hicho kidole wakati kidole kilitumika tu kumwelekeza anayeelekezwa kwamba kama atafuatisha kidole kule kinapoelekeza ataona mwezi anaoonyeshwa.
5. Waandishi walikuwa wanadamu na hivyo wametumia lugha ya kibinadamu ambayo ina limitations na hizi limitations zitakuwepo tu as long as we remain humans. Remember: God created a perfectable world - a world capable of being perfected through our creative contribution (best practices) kama vile environmentally-friendly conservation practices etc.
6. Kwa sababu hiyo, wanaosoma biblia na "kubaki kuangalia kidole wakidhani kama ndio mwezi" (out of context) (kama nilivyoeleza hapo Na 4) hawawezi kupata ujumbe wake mpaka hapo watakaposoma na kutafakari maandiko matakatifu kwa macho ya imani na siyo science (in our context) na hivyo wanachoweza kuona ni hizo wanazoita 'contradictions' maana (kwa kutumia mfano wa mwezi, wamebaki kwenye kidole na hawajaweza kuona mwezi wanaoonyeshwa.
7. Hivyo basi, ukitaka kusoma maandiko matakatifu kwa kuyaelewa, yasome kwa jicho la imani kwa kuyatafakari na kuelewa ujumbe wake na siyo kwa jicho la science maana science haiwezi kuwa njia sahihi ya kusoma maandiko matakatifu, kuyatafakari na kuyaelewa.
Unalazimisha, unajua kwa nini?
 
Msimamo kila mtu anao, hilo halina ubishi.

Ila fact ni moja tu.

Sasa unaijuaje fact?

Kwa uchunguzi, kwa uthibitisho, si kwa imani.

Sasa mbona watu wanataka kujua fact ya kuwepo Mungu kwa imani badala ya uchunguzi na uthibitisho?


Bro unajua maana ya IMANI ?
 
There are many logical flawson his explanation, one to think that because there was no time, then Cause does not exist. One of the biggest mistake scientists seem to make is to ask philosophical questions then trying to seek scientific explanation.
Astonishing thing about this great scientist, he seemed to believe in the existence of aliens which he never had any evidence if they were existing but he never believed in the existence of God which is more plausible.
Even if Hawking is completely discredited,the problemof evil totally contradicts the existence of the omnipotent, omniscient and Omni benevolent Godhead.

One does not need Hawking and sophisticated theories.

One needs to asks a question of simple logic.

A normal father who loves his children does not want to see them suffer in any way.

This is a normal father.

The protection goes up as the love and ability to protect increases.


God is supposed to be the omnipotent, omniscient and Omni benevolent, he can do all, knows all and has the greatest love.

Why did he create a universe in which suffering is possible, while he could have created a universe in which suffering is not possible?
 
Hilo mimi nishalisema mara kadhaa humu.

Hizi mada huwa zinajirudia rudia sana.

Kimsingi, kama huwa kuna tofauti, basi tofauti hiyo/ hizo huwa ni kwenye kichwa cha mada tu lakini maudhui huwa ni yale yale tu.

Na kwangu huwa siziangalii hizi mada kutumia mzani wa kushinda na/ au kushindwa.

Kilicho muhimu zaidi kwangi ni nani au ni upande upi unaoweza kunionyesha ushahidi utaonishawishi kuhusu uwepo au kutokuwepo.

Ahsante nawe kwa kuona kama nionavyo mimi.


Hapa natilia mkazo,katika elimu ya mijadala kufikia muafaka haijawahi kuwa lengo. Nini namaanisha hapa ? Ya kwamba ukitaka ukitaka kushindana lazima utaumbuka au utalizimisha njano iwe nyekundu.

Lakini pia kuna watu huwa wanakataa ya kuwa hawashindani ila katika hali halisi wanashindana.

Nipo .....
 
Really? Are the things you said a proof that God does not exist? How could death be a reason that God does not exist. I do not see any casual relation of the things you mentioned and the existence of super natural being.

1. Death = cruel extinguishing of life = people crying to be separated from loved ones

2. Your God = greatest love= does not want any harm to come to his loved creation = would banish the very idea of death on his beloved creation anywhere anytime


We do not see death being banished anywhere anytime. To the contrary, death is rampant all over the universe.

Because God does not exist.
 
Huyu Mungu hatakiwi awe wa kutetewa na watu kuhusu uwepo wake. Ni jukumulake kujithibitisha kwamba yupo.
Nilishawahi kuandika hapakwamba hata wale tunaoiamini Biblia, kuna mtu anaitwa Tomaso, aliambiwa Yesu kafukuka, akasema haamini, hadi akaambiwa aende amshike Yesu kwenye makovu ya misumari, akajiridhisha, lakini bado hakuambiwa amekosea licha ya Yesu kusema heri watakaoamini bila kuona. Namaanisha kuna vitu lazima mtu ajihakikishie mwenyewe kama alivyofanya Thomao.

Wapili ni Gideon, na yeye aliambiwa akapigane, akaweka ngozi nje akasema endapo kutakua na umande ngozi isilowane basi atajua kweli Mungu atakua pamoja nae, alifanya kama majaribio mawili kupata ishara kwamba Mungu atakua pamoja nae huko vitani.

Narejea hapa Kiranga amewahi kusema huyo Mungu kama yupo na anaweza kufanya chochote aniondoe kesho nisiwepo, iwe kwa kufa au kwa chochote (sikumbuki vizuri lakini ilikua kitu cha aina hiyo). Sasa kama muhusika mwenyewe amepewa ajidhihirishe kwa mtu anaetaka kuona uwepo wake hajafanya hivyo, kubishana na mtu asiyeamini uwepo wake kwa maneno matupu ni kazi ya ziada ambayo kimsingi nafikiria hakuna mtu anaiweza.

Ndio maana kila mara nasema, ukilenda kisayansi/logic havikai chungu kimoja na imani (Nashukuru pia Kiranga hana shida kabisa na Imani wala wanaoamini Mungu yupo ila pale unapotaka kuthitisha kwamba yupo kwa logic ndio tatizolinaanza hapo).

Na kwa faida ya wale wanaoamini uwepo wa Mungu, kama hauwezi kuelezea uwepo wa Mungu, jaribu kupitia tena juu ya kile unachokiamini. Hii kwa upande mwingine itasaidia kujenga kujifunza na kufuatilia juu ya unachokiamini.


Hivi hii LOGIC mbona huwa mnaipa hadhi isiyo stahili ?

Kwanini mnafanya logic kuwa kama nyenzo au ala ya kukufikisha katika ukweli au kuujua ukweli ?
 
Kifo cha mtu yeyote kinathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kifo kinachotenganisha wapendanao kisingekuwepo.

Unaelewa hilo?

Huwa nacheka sana nikiona maneno yako ...

Nipo ...
 
Hivi hii LOGIC mbona huwa mnaipa hadhi isiyo stahili ?

Kwanini mnafanya logic kuwa kama nyenzo au ala ya kukufikisha katika ukweli au kuujua ukweli ?
Unaelewa kwamba huwezi kuuliza sali bila kutumia logic?

Na unapouliza "hivi hii logic mbona mnaipa hadhiisiyostahiki?" unaiponda logic wakati hapo hapo kuiponda kwako logic kunatumia logic hiyo hiyo?

Unaelewa kwamba ukiandikakwa alphabet au namba tayari ushatumia logic?
 
nothing called time exists....

no different between past,present an future...all three exist at the same incidence...

Matter is the product of space time collapse...

Mimi nasema hakuna kitu kinachoitwa muda( time) ...its an illusion of your mental prediction...

Kama hakuna kitu kinachoitwa kutokana na madai yako,kuna nini sasa ?

Ila bro wewe ni muongo wa kupindukia ujue. Unajua humu kuna watu wanapinga vitu kwa viji maneno maneno ila kivitendo wako kinyume na hali halisi.

Bro unakubali kuna usiku na mchana ? Unakubali kuna asubuhi na jioni ? Je unakubali kuna wiki,kuna mwezi,kuna mwaka ?

Nipo ....
 
Unaelewa kwamba huwezi kuuliza sali bila kutumia logic?

Na unapouliza "hivi hii logic mbona mnaipa hadhiisiyostahiki?" unaiponda logic wakati hapo hapo kuiponda kwako logic kunatumia logic hiyo hiyo?

Unaelewa kwamba ukiandikakwa alphabet au namba tayari ushatumia logic?

Kadhia ya LOGIC mimi na wewe tulishamalizana,na ukweli unaujua mwenyewe,hapa nataka mtu mwingine wa kujadiliana nae kuhusu elimu ya mantiki. Kwa vipimo vya kielimu wewe ni mwepesi sana katika somo hili la LOGIC najua katika hili shahidi nafsi yako.

Ila hii ni ziada tu bro,na hapa nakariri hii kauli ya kuwa "Maneno yalikuwepo kabla ya kuwepo hii elimu ya mantiki,na watu walikuwa wanajenga hoja,nakueleweka vizuri mno"

Kwahiyo kama nyinyi mnaona kukaririshwa msamiati na maneno magumu ndio elimu,basi bado mko gizani.

Nipo .....
 
Huwa nacheka sana nikiona maneno yako ...

Nipo ...
Hujajibu swalilililoulizwa,na kama kuna swali umejibu,sijauliza.

Unajibalaguza.

Unaelewakwamba kifo cha kiumbe yeyote poppote kinaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?
 
Kadhia ya LOGIC mimi na wewe tulishamalizana,na ukweli unaujua mwenyewe,hapa nataka mtu mwingine wa kujadiliana nae kuhusu elimu ya mantiki. Kwa vipimo vya kielimu wewe ni mwepesi sana katika somo hili la LOGIC najua katika hili shahidi nafsi yako.

Ila hii ni ziada tu bro,na hapa nakariri hii kauli ya kuwa "Maneno yalikuwepo kabla ya kuwepo hii elimu ya mantiki,na watu walikuwa wanajenga hoja,nakueleweka vizuri mno"

Kwahiyo kama nyinyi mnaona kukaririshwa msamiati na maneno magumu ndio elimu,basi bado mko gizani.

Nipo .....
Unaelewa kwamba hata hapa umetumia logic hiyo hiyo unayoiponda?
 
Hujajibu swalilililoulizwa,na kama kuna swali umejibu,sijauliza.

Unajibalaguza.

Unaelewakwamba kifo cha kiumbe yeyote poppote kinaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Kifo ni kiumbe na ni haki ya kila binadamu,na kinathibitisha uwepo wa Mola mlezi na ukamilifu wa maumbile.
 
Hivi hii LOGIC mbona huwa mnaipa hadhi isiyo stahili ?

Kwanini mnafanya logic kuwa kama nyenzo au ala ya kukufikisha katika ukweli au kuujua ukweli ?

Sasa mkuu, endapo tumepewa uwezowa kufikiri,kuchambua mambo na kufanya maamuzi, hautaki tutumie uwezo huo kupambanua mambo?

Unataka nikiambiwa niwahi posta nikapande treni ya kwenda Zanzibar nikimbie tu bila kujiuliza, Zanzibar na treni wapi na wapi?
Reli imejengwa lini, Je inawezekana ikajengwa usiku mmoja bila watu kuwa na taarifa? Hiyo treni imenunuliwa lini?

Huenda ukatusaidia na jambo jipya leo, ni mambo gani yanahitaji logic na yapi hayahitaji logic mkuu?
 
Sijatumia logic bro hilo liko wazi ....
Unaelewa kwamba ukiandika kwa maandishi yoyote yaliyokaa katika mpangilio maalum, kama herufi za a, b,c,d etc, umetumia logic?

Kwa sababu herufi hizo zimekaa katika "logical order" si random symbols?

Unaelewa hilo?
 
Unaelewa kwamba ukiandika kwa maandishi yoyote yaliyokaa katika mpangilio maalum, kama herufi za a, b,c,d etc, umetumia logic?

Kwa sababu herufi hizo zimekaa katika "logical order" si random symbols?

Unaelewa hilo?
Nini maana ya logic kwa kiswahili mkuu?

(Nimeuliza maana sikuuliza tafsiri)
 
Unaweza kuthibitisha kuzimu kupo na anachomwamoto wa kiberiti ?

Na kwamba hizo si stories za kujazana ujinga tu?

Mi naamini,at least kwa uzoefu wangu…

Atheist huwa anakubali nadharia(au hoja) ambayo kwanza ameielewa pili ipo logically consistent na tatu inatetewa na ushahidi unaoweza kuthibitishika

ili tuwe na mjadala wenye maana kidogo,na tufikie conclusion kuwa Mungu yupo au hayupo

Tuanze na 'Organic evolution',hebu nieleze(suppose I know nothing about Darwinism)

Jinsi gani Ubongo umeweza kuibuka(evolved) kutoka katika kitu ambacho hakikua kikifanana kabisa na ubongo?
Mchakato huo ulitumia steps ngapi? na ndani ya mda gani? na chini ya conditions zipi?

Na huo mchakato unaweza kurudiwa maabara?
 
Back
Top Bottom