Unaweza kujibu swali la kitu fulani ni nini bila kutaja sifa za hicho kitu?Umeulizwa Mungu ni nini unaeleza sifa za huyo Mungu badala ya kuelezea Mungu ni nini?
Ukiulizwa paka ni nini utaanza kutaja rangi ya paka na manyoa yake.
Badala ya kujibu nachouliza naona unazidi kuniuliza mie maswali.Mungu kauumba/ kauruhusu ulimwengu kuwapo? Au ulimwengu umetokea bila kuumbwa wala kuruhusiwa kuwepo na Mungu?
Wewe unaeleza sifa za huyo Mungu unaemuongelea ambaye ni tofauti na miungu mengine,ila ulichoulizwa sio hicho.Unaweza kujibu swali la kitu fulani ni nini bila kutaja sifa za hicho kitu?
Kwani kushangaa tatizo ni lipi? Wewe huwa unasema haujadili imani kwa sababu imani mtu anaweza hata kuamini Mungu ni mavi hivyo imani ni jambo binafsi la mtu na likija hapa Jf haliwi tena imani.Kama sijasema sitaki kujadili imani asilani, utaanzaje kushangaa nikijadili imani popote?
Is that architec Mungu tunayemsoma kwenye bibilia/Quran? The one who will put us into hell?Enhee leo ngoja namimi ni put my two cents on this kontravesho matter.Im in the mood to argue and learn stuff.Mimi bwana tukiweka dini pembeni naamini kuwa kila kitu kina dizaina na mtengenezaji.hata wale wasioamini uwepo wa mungu ukimwambia kua hili jengo au hili gari limetokea to out of nowhere hawezi kukubali.Sasa how come the universe which we are a part of with all its complexities and sophisticated systems be just an accident or come outa thin air.haya basi mnipe mifano ya systems ama scenario nyengine inayofanana na hii theory yetu ya designer less creation.
Unataka kuniambia binadamu the most advanced and most intelligent living thing on earth has no architect?,u tellin me that the human body with the most advanced and dynamic movement mechanism has no architect or inventor but the four wheel drive in your car has?,no architect behind the eye,the nerve system,the human brain,the digestion system and all other sophisticated systems in the human body but you damn well know and believe that somebody invented/created/engeneered a camera,the personal computer,the engine etc
I know that yall will pull out the evolution card trying to explain how the homo sapiens come to be from a cell that spent a million years of evolutiom evolving from one thing to another then to chimps then eurekaa!!! "its a human being ladies and gentleman,you can see that science got all the answers",thats fine and all but how many other instenses that you can name that produced the same results or better ones that we can use to justify our lovely theory?.survival of the fittest eeh?.
Mkuu hivi Mungu ni nini? Je, unafikiri vitu vyote vilitokea tu vyenyewe from no where au lazima kuna chanzo?Faida zozote haziwezi kuzidi ukweli kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote asingeumba mapungufu hayo.
Tofauti yako wewe na mimi ni hii.
Wewe unafikiria ulimwengu uliopo.
Mimi nafikiria ulimwengu ambao ungewezekana kuwepo.
Aliyeanzisha universe yupo but hofu yangu pengine si Mungu tunayemdhani na kusoma kwenye vitabu vyetu vya dinitatizo pia hasemi iliumbwa na nani
Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) ni dhana ya uongo ambayo haipo katika ukweli.Mkuu hivi Mungu ni nini? Je, unafikiri vitu vyote vilitokea tu vyenyewe from no where au lazima kuna chanzo?
Aliyeanzisha universe yupo but hofu yangu pengine si Mungu tunayemdhani na kusoma kwenye vitabu vyetu vya dini
Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) ni dhana ya uongo ambayo haipo katika ukweli.
Kusema Mungu hayupo si lazima kuwe sawa na kusema vitu vyote vilitokea vyenyewe tu from nowhere.
Watoto wanatokana na wazazi wao.
Unapoandika, jaribu kutumia mantiki.
Miungu wa mapokeo mengi wana tabia hizo, ukiangalia kwa mfano, katika Quran na Biblia Mungu anatajwa kuwa na sifa hizo.Kiranga.
Tafadhali nikuulize. Kauli ya "Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote" umeitoa kitabu gani?
Hapo kwenye Bold pananitia mashaka. Nadhani panahitaji ufafanuzi zaidi kutegemeana wapi Maneno hayo yalikotoka .
Yuko wapi na yeye alitokea wapi?
Nimetoa mchango wangu hapo juu. Nahitaji kukosolewa au kuwekwa sawa (kufundishwa). Neno mwenye upendo wote kwangu linatia ukakasi. sijaliona ndani ya Qur'an. Nitaomba msaada kwa wenzangu.Miungu wa mapokeo mengi wana tabia hizo, ukiangalia kwa mfano, katika Quran na Biblia Mungu anatajwa kuwa na sifa hizo.
Na yeyote ambaye hana sifa hizo, si Mungu wa kweli asiye mapungufu, kwa sababu atakuwa na mapungufu.
Mungu wenu hana upendo wote, ndiyo maana mnalipua watu kwa terrorism.Katika Imani ya Kiislam Mwenyezi Mungu ana majina 99. Na haya majina 99 yanawakilisha sifa zake.
Miongoni mwa sifa zake chache ni hizi,
1. A'aliym: Mjuzi wa yote
2. Al-Aziz: Mwenye nguvu/Mwenye shani
3. Shadiydu l'iqabi: Mkali wa kuadhibu
4. Al-ghafur : Mwenye kusamehe
5. Ar-Rahiym: Mmwenye huruma
6. Al-Haliym: Mpole sana
7. al-Latif: Mpole, mwenye huruma sana.
Hizo ni sifa chache miongoni mwa sifa zake Mwenyezi Mungu!
Neno "mwenye upendo wote" linahitaji tafsiri pana.
1. 'Evil ni mabaya. Yapo mengi". Je, ni theory gani ya sayansi inayosema kuna evil?Evil ni mabaya.
Yapo ya aina nyingi.
Wanaoamini Mungu atahukumu wafanyao mabaya duniani, wanakubali dunia inaruhusu mabaya kufanyika, isingeruhusu, Mungu asingehukumu watu kwa kufanya mabaya.
Wasioamini Mungu, wanaona dunia ina mabaya mengi. Kifo kinatenganisha wanafamilia wanaopendana, vibaya, hili ni jambo baya.
Watu wanafanyiwa uonevu, hili nijambo baya.
Hata maafa ya asili kama volcano, earthquake na tsunami yanaua na kufanya uharibifu mkubwa, haya ni mabaya.
Mpaka hapo unakubali kwamba mabaya yanawezekana kufanyika katika ulimwengu huu?
Nimemaliza kusoma kitabu.if you can make a point then you must be able to give clarifications.. if you can give clarifications then you must be very deep enough to make a point.. most of the poor minds think they can object ideas without thinking it takes far more knowledge to get into such dialogues..