Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Mungu wako yuko limited?

Did you just write that?
 
Acha kuvutia bange kwenye makaratasi
 
Complex numbers ni physical?
 
Pyscho sick
Uwepo wa "Psycho sick", kama kweli ni psycho sick, ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, kusingewezekana kuwepo na "Psycho sick".
 
His human being natumaini now atakwenda kuhakikisha.
 
belief is stronger than anything human can come across with, i sometimes think this puzzle can never be solved.

Science is a very powerful tool which gives answers to many puzzles, i respect science but i can't see it giving answers to this puzzle yet..

existence of a thing can be judged according to its characters but not necessary the characters can give true description of such a thing.. which in actual sense the proof one gives according to characters can not be final as truthy of such existence of a thing (for such characters are yet hypothesis and not theory).

belief is just a belief if its not your's then it does not matter!
 

You talked about belief being the strongest thing humans can come across. At the very least that requires clarification.

But in my long standing tradition of immanent critique, even if I grant you that (belief is the strongest thing humans can come across), that fact is unimportant since it does not help us find truth. In fact it hinders us from finding truth.

If one has strong belief in the Bible or the Quran, one will dismiss, excuse or justify obvious and glaring contradictions in these books. One's belief is blinding one from the facts.

The strength of belief does not equal to the truth of belief ( the truth of what is believed to be true).

One may have a very strong belief, but a wrong one. That is, one may strongly believe something to be true, while it is not true.

To me, mere belief is unimportant. Because it is not necessarily truth.

I am more interested in truth than belief.

That is why religious connotations are unimportant to me, in so far as they are based on belief and not facts.

Factually, no one can prove God (omnipotent, omniscient, all benevolent)exists.

Because such a God does not exist.

The existence of such a God presents a logical contradiction at the conceptual level in a way that forbids such a God to be actualized.
 
Mungu wenu hana upendo wote, ndiyo maana mnalipua watu kwa terrorism.

Huyo si Mungu, ni ajenda ya kisiasa kutawala dunia, na imewashinda kuitimiza.
Wewe hata kuelezea upendo ni nini imekushinda,we ni mtu wa kubabatiza mambo tu ambayo ukibanwa uyafafanue ndipo unapoonekana unajenga hoja kwa mambo ambayo hata wewe huyaelewi.
 
Mungu wako yuko limited?

Did you just write that?
Du nadhani uwelewa ni shida.
Kusema upendo wa Mungu uko limited haimaanishi Mungu yuko Limited. Mungu mwenyezi ana upendo kwa wanadamu. Ndiyo maana anawaruzuku waja bila kujali wanaomkubali au kumkataa. wanaomkataa bado anawapa muhula na alama za kuonyesha kuwa yupo na ili wamuelekee. Upendo huo Una Kikomo. Kama wakizidisha kumuasi basi huwa anawafyekelea mbali na kuleta kizazi kingine. Historia imeonyesha hivyo. Na au anawaaadhibu ili warejee. Lakini wakifa katika hali ya kukengeuka huwasubirisha ili baada ya ufufuo awaingize katika adhabu ya milele. Kwa vile kifo ni haki, ufufuo pia ni haki. Na Maisha baada ya kufufuliwa pia ni haki. Uchaguzi unao wewe.

Kauli nisiyoikubali ni kuwa: Mungu hana upendo wote. Huwezi kufa kafiri halafu akuingize peponi. Hilo amekataa.
 

Inawezekanaje upendo wa Mungu uwe limited bila huyo Mungu kuwa limited katika upendo?

Kinacho u limit upendo wa Mungu ni nini?

Na kama Mungu ana upendo ulio limited, huyo ni Mungu au mdoli tu unayemuita Mungu?
 
it no suprise many of us inteligent people we have long concluded there is no God. woe to him who devote his lifetime to worship him
 
it no suprise many of us inteligent people we have long concluded there is no God. woe to him who devote his lifetime to worship him
The idea of an omnipotent, omniscient and all benevolent God is so easily contradicted by the problem of evil.

It is funny to see the ignorance and cognitive dissonance spewed in defending a nonexistent God.
 
The idea of an omnipotent, omniscient and all benevolent God is so easily contradicted by the problem of evil.

It is funny to see the ignorance and cognitive dissonance spewed in defending a nonexistent God.
omnipotent ---let him make the biggest stone that he can not lift it, ooh then he not omnipotent
omniscient --- why mingling with affair of little creature and being jealous these for sure are no quality of all knowing being.
actual the church have benefited much from the presence of evil. ( it so funny in bible they christian had to put the devil equal in power with his creator, funny enough he had let loose in garden of eden)
 
Yani Mungu anayeshindana na viumbe wake mwenyewe na kuwafanyia hiyana kwa sababu hawamkubali atakuwa Mungu mjinga sana.

Ndiyo maana nasema hayupo, katungwa na watu tu.

Yaani Gari linamuua aliyelitengeneza, akaliendesha yeye mwenyewe na Wala gari halina reasoning power lazima huyu mwanadamu atakuwa mjinga kupindukia. Inabidi tuseme mwanadamu hayupo! Ha ha haaaa
 
hii nadharia haijaningia akilini bado
 
Yaani Gari linamuua aliyelitengeneza, akaliendesha yeye mwenyewe na Wala gari halina reasoning power lazima huyu mwanadamu atakuwa mjinga kupindukia. Inabidi tuseme mwanadamu hayupo! Ha ha haaaa
Unajua kwamba ukifuatisha mantiki ya kwamba kila kilicho complex kina muumba wake, mantiki hiyo itakupeleka kwenye hitimisho la kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote , upendo wote na muumba vyote hayupo?

Unaelewa kwamba hoja yakoinaonesha Mungu hayupo, haioneshi Mungu yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…