Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kichaa. Kwa hali yake labda ndiyo maana anadai Mungu hayupo. Aumbe viumbe wake tumuone. Au azuie kifo. Kichaa sio lazima aokote kopo
 
Mkuu Kama wewe ni msomaji wa biblia na vitabu vingine vilivyo nje ya biblia, utagundua kwamba hadithi za kwenye biblia ni za kutunga.
......

Tatizo huwa mnaishia kusema ".....vyakutunga.....". Ila hamuonyeshi ni kwa vipi vimetunga au kubatilisha kilicho tungwa na kuleta ukweli. Au tuanze kufundishana namna ya kuthibitisha mambo ?


Nipo ...
 
Stephen Hawking na hiyo THE BIG BANG THEORY, ni copy na past tu.
Ali copy hapa:-

QURANI SURA al anbiya :30

Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
...kwani hao walioandika biblia na Quran unafikiri hawakuzaliwa na mama zao?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...kwa hiyo unaamini biblia/quaran sio vitabu vya kutungwa ?!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo huwa mnaishia kusema ".....vyakutunga.....". Ila hamuonyeshi ni kwa vipi vimetunga au kubatilisha kilicho tungwa na kuleta ukweli. Au tuanze kufundishana namna ya kuthibitisha mambo ?


Nipo ...
...hauna hoja wewe mfia dini usiye na ueledi wowote wa unachokiamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...atakuwa alisahau Ku_copy na Ku_paste ile sura ya jua kuzama matopeni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa huko aliko ndio atakuwa anajua kama kuna MUNGU au hapana,ni bora ukaamini leo kama Mungu yupo then ukifa ukakuta yupo inakuwa fresh tu kuliko ukaamini hayupo halafu ukifa ukamkuta! utapata taabu sana na majasho mengi
 
Huko alipo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
kokote aliko kwani ukifa ndio umepotea kabisa? lazima kuna mahali unaenda haiwezekani upotee moja kwa moja,sasa huko aliko baada ya kufa ndio atakuwa anajua ukweli wa hicho alichokuwa anaamini,kama ni peponi,kuzimu,kaburini,shimoni,duniani anajua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…