Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Source ya mungu ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Source ya mungu haiwezi jibiwa NA uji au kamasi lililo Kat Kat ya kichwa chako.
Jiulize kwanini ukiwa tumboni kwa mama yako unakula kwa kutumia kitovu ya mama Halafu ukitoka tu unakula kwa chuchu NA vinakubaliana.
That is a design and purpose.
Who is the designer?
 
THE BIG BANG THEORY IS REAL. I have been watching different documentary and at the end i accepted its real if u want prove PM me i will give you guide to prove if
 
Hivi hata Hawa wanasayansi ambao tunaamini wanafanya tafiti kwa kuthibitisha nadharia zao kumbe wanatumia logic tu kama wanafalsafa wengine, mtu kama professor Hawkins ambaye alikuwa mgonjwa asiyeweza kuongea, Wala kutembea wala kusimama ila kwa msaada anaweza akazungumza nini kuhusu Mungu? Huenda aliomba sana apone lakini ilishindikana, ndiyo maana akaja na ukanushaji wa kuwepo kwa Mungu, mbona kuna wasomi wakubwa wa sayansi mfano wake wenye kuamini Mungu, sasa hawa ndugu zetu wenye kupinga uwepo wa Mungu ni wenye kujizonga tu katika fikra zao, naona kama wangeumbwa wakiwa hawaoni wangesema duniani hakuna mchana ni usiku tu.
 
Aisee Kingereza ni Kigumu na kwa nini usitafsiri kwa Kiswahili mana nimesoma kiaina nikaishia njiani. Ila kama uzi huu pamoja na kitabu icho naweza jibu necta na kunipa mwongozo wa maisha na maendeleo ya jamii basi niendelee kusoma.
 
THE BIG BANG THEORY IS REAL. I have been watching different documentary and at the end i accepted its real if u want prove PM me i will give you guide to prove if
The Big Bang Theory indeed it's true, but there some lay men who can not comprehend scientific facts, for them they need just to believe it or not, it's depending on who is telling them. People like me convinced the theory by reading an article in below link.
 
Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe
By Brandon Specktor, Senior Writer | October 17, 2018 04:23pm ET

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

In a new book that was published posthumously, Stephen Hawking, who died in March, wrote that it is impossible for God to exist in our universe.

From his desk at Cambridge University and beyond, Stephen Hawking sent his mind spiraling into the deepest depths of black holes, radiating across the endless cosmos and swirling back billions of years to witness time's first breath. He viewed creation as a scientist, and when he was called to discuss creation's biggest puzzles — Where do we come from? What is our purpose? Are we alone? — he answered as a scientist, often to the chagrin of religious critics.

In Stephen Hawking's final book "Brief Answers to Big Questions," published Tuesday (Oct. 16) by Bantam Books, the professor begins a series of 10 intergalactic essays by addressing life's oldest and most religiously fraught question of all: Is there a God? [Big Bang to Civilization: 10 Amazing Origin Events]

Hawking's answer — compiled from decades of prior interviews, essays and speeches with the help of his family, colleagues and the Steven Hawking Estate — should come as no surprise to readers who have followed his work, er, religiously.

  • aHR0cDovL3d3dy5saXZlc2NpZW5jZS5jb20vaW1hZ2VzL2kvMDAwLzEwMi8yMTYvb3JpZ2luYWwvc3RlcGhlbi1oYXdraW5nLU9ORS1USU1FLVVTRS5qcGc=
Credit: Frederick M. Brown/Getty Images

"I think the universe was spontaneously created out of nothing, according to the laws of science," Hawking, who died in March, wrote. "If you accept, as I do, that the laws of nature are fixed, then it doesn't take long to ask: What role is there for God?"
In life, Hawking was a vocal champion of the Big Bang theory — the idea that the universe began by exploding suddenly out of an ultradense singularity smaller than an atom. From this speck emerged all the matter, energy and empty space that the universe would ever contain, and all that raw material evolved into the cosmos we perceive today by following a strict set of scientific laws. To Hawking and many like-minded scientists, the combined laws of gravity, relativity, quantum physics and a few other rules could explain everything that ever happened or ever will happen in our known universe.
"If you like, you can say the laws are the work of God, but that is more a definition of God than a proof of his existence," Hawking wrote.

With the universe running on a scientifically guided autopilot, the only role for an all-powerful deity might be setting the initial conditions of the universe so that those laws could take shape — a divine creator who caused the Big Bang to bang, then stepped back to behold His work.

"Did God create the quantum laws that allowed the Big Bang to occur?" Hawking wrote. "I have no desire to offend anyone of faith, but I think science has a more compelling explanation than a divine creator."
Hawking's explanation begins with quantum mechanics, which explains how subatomic particles behave. In quantum studies, it's common to see subatomic particles like protons and electrons seemingly appear out of nowhere, stick around for a while and then disappear again to a completely different location. Because the universe was once the size of a subatomic particle itself, it's plausible that it behaved similarly during the Big Bang, Hawking wrote.
"The universe itself, in all its mind-boggling vastness and complexity, could simply have popped into existence without violating the known laws of nature," he wrote.

That still doesn't explain away the possibility that God created that proton-size singularity, then flipped the quantum- mechanical switch that allowed it to pop. But Hawking says science has an explanation here, too. To illustrate, he points to the physics of black holes — collapsed stars that are so dense, nothing, including light, can escape their pull.
Black holes, like the universe before the Big Bang, condense into a singularity. In this ultra-packed point of mass, gravity is so strong that it distorts time as well as light and space. Simply put, in the depths of a black hole, time does not exist.

Because the universe also began as a singularity, time itself could not have existed before the Big Bang. Hawking's answer, then, to what happened before the Big Bang is, "there was no time before the Big Bang."

"We have finally found something that doesn’t have a cause, because there was no time for a cause to exist in," Hawking wrote. "For me this means that there is no possibility of a creator, because there is no time for a creator to have existed in."

This argument will do little to persuade theistic believers, but that was never Hawking's intent. As a scientist with a near-religious devotion to understanding the cosmos, Hawking sought to "know the mind of God" by learning everything he could about the self-sufficient universe around us. While his view of the universe might render a divine creator and the laws of nature incompatible, it still leaves ample space for faith, hope, wonder and, especially, gratitude.

"We have this one life to appreciate the grand design of the universe," Hawking concludes the first chapter of his final book, "and for that I am extremely grateful."
Originally published on Live Science.

cc James Comey
naona anajikanyaga kanyaga sana.... kwanza iyo ni theory tu

..pili hayo aliyoandika humo ni mawazo yake...

LAKIN HANA CHANZO CHA HAYO AYAZUNGUMZAYO ANASEMA ET SUBATOMIC IYO SUB ATOMIC IMETENGENEZWA NA NN???????

NINGEMWONA WA MAANA KAMA ATLEAST ANGEELEZA CHAWA WA KWANZA DUNIANI ALITENGEZWA NA NN...KABLA HAJAONGELEA VITU AMBAVYO AKILI YAKE NI NDOGO SANA KUVIELEZA ,...ANGEELEZEA KWANZA CHAWA ANAYEONEKANA ...KABLA YA KWENDA KWA GOD.. GOD OF ALL gods..
 
Hivi hata Hawa wanasayansi ambao tunaamini wanafanya tafiti kwa kuthibitisha nadharia zao kumbe wanatumia logic tu kama wanafalsafa wengine, mtu kama professor Hawkins ambaye alikuwa mgonjwa asiyeweza kuongea, Wala kutembea wala kusimama ila kwa msaada anaweza akazungumza nini kuhusu Mungu? Huenda aliomba sana apone lakini ilishindikana, ndiyo maana akaja na ukanushaji wa kuwepo kwa Mungu, mbona kuna wasomi wakubwa wa sayansi mfano wake wenye kuamini Mungu, sasa hawa ndugu zetu wenye kupinga uwepo wa Mungu ni wenye kujizonga tu katika fikra zao, naona kama wangeumbwa wakiwa hawaoni wangesema duniani hakuna mchana ni usiku tu.
Leo hii yuko wapi?
 
Kwanza ww naona huamin km Mungu yupo?hivi ww unaupima uwezo wa Mungu hapo ulipo ni kwa neema za Mungu tu na endelea kuwaamini hao machizi wanaoona mtu alie tengeneza mti wa muembe ujue ni wakati upi uzae na upime kiasi cha sukari ktk matunda yake ni mpuuzi.Kama vitu hivi tuvitumiavo vina wangunduzi ila inapofika kwa binadam unasema hakuumbwa alitokea tu sijui na upupu wa bing bang theory aghaaaa
Kuna kitu wengi humu hamjamuelewa KIRANGA. Anachofanya ndicho walichofanya wanafalisafa wengi wa karne za nyuma sana. Sidhani kama Kiranga anapinga Uwepo wa Mungu, nadhani anachotafuta ni UKWELI.'' IF YOU WANT TO KNOW THE TRUTH, YOU MUST DOUBT EVERYTHING, EVEN THE TRUTH MUST BE DOUBTED''. Asumption za wanafalsafa wa zamani ndizo zilizopelekea UGUNDUZI wa mambo mengi makubwa kwenye hii Dunia. Hata wapo waliohukumiwa kifo kwa kuambiwa wamekufuru lakini baadae ikagundulika Asumption zao zilikuwa ni Sahihi. ndio maana wenzetu wazungu wanafika mbali sana lakini sisi bado tunateswa na imani na mtu anapohoji anaonekana anakufuru. NINACHOAMINI MIMI HATA HAWA WANAOHOJI UWEPO WA MUNGU SIDHANI KAMA WANAMKOSEA MUNGU BALI MUNGU ANAPENDEZWA NAO KWAKUWA WANAUTAFUTA UKWELI ZAIDI NA KUTAKA KUMJUA
 
Hata Galileo Galilei aliposema dunia inazunguka jua, na si kweli kwamba jua linazunguka dunia kama kanisa na Biblia inavyosema, aliambiwa kakufuru. Akafungiwa nyumbani kwake baada ya kuomba msamaha bila sababu ili tu asiuawe.

Biblia inasema Mungu ameisimamisha dunia, haizunguki. Hilo tu linatakiwa kukuonesha Biblia imeandikwa na watu, si Mungu. Tena watu ambao hawakuwa na elimu ya kujua dunia inazunguka.

Miaka 350 baadaye, kanisa katoliki limeomba msamaha na kusema Galileo alikuwa sawa.

Galileo alikuwa mbele zaidi ya kanisa katika kujua ukweli, kwa kutumia majaribio ya kisayansi.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na habari za kuwapo huyo Mungu si hadithi za watu tu?

Habari ya kanisa kuomba radhi kwa kumhukumu Galileo kimakosa iliandikwa na The New York Times hapa chini.

Wengine mpaka leo tunahukumiwa kimakosa na wanadini kama alivyohukumiwa Galileo. Labda miaka 350 ijayo watu wataelewa ukweli.

Mistari ya Biblia inayosema dunia haizunguki.

1 Chronicles 16:30: "He has fixed the earth firm, immovable."

Psalm 93:1: "Thou hast fixed the earth immovable and firm ..."

Psalm 96:10: "He has fixed the earth firm, immovable ..."

Psalm 104:5: "Thou didst fix the earth on its foundation so that it never can be shaken."

Isaiah 45:18: "...who made the earth and fashioned it, and himself fixed it fast
 
YAAN UKWEL WENYEWE NI KWAMBA MUNGU HAYUPO?..HHAHAHAHHA.. EBU SEMA UNATAKA USHAHIDI WA AINA GANI ILI UKUBALI MUNGU YUPO.. WA PICHA ,VIDEO,DOCUMENTS,AU KUMWONA LIVE... SEMA UNATAKAJE NIKUTHIBITISHIE....

BY THE WAY BIBLIA INASEMA JOSHUA ALISIMAMISHA JUA.. WAPI ILISEMA JUA INAIZUNGUKA DUNIA???? LETE MAANDIKO.
 
Kuna kitu wengi humu hamjamuelewa KIRANGA. Anachofanya ndicho walichofanya wanafalisafa wengi wa karne za nyuma sana. Sidhani kama Kiranga anapinga Uwepo wa Mungu, nadhani anachotafuta ni UKWELI.'' IF YOU WANT TO KNOW THE TRUTH, YOU MUST DOUBT EVERYTHING, EVEN THE TRUTH MUST BE DOUBTED''. Asumption za wanafalsafa wa zamani ndizo zilizopelekea UGUNDUZI wa mambo mengi makubwa kwenye hii Dunia. Hata wapo waliohukumiwa kifo kwa kuambiwa wamekufuru lakini baadae ikagundulika Asumption zao zilikuwa ni Sahihi. ndio maana wenzetu wazungu wanafika mbali sana lakini sisi bado tunateswa na imani na mtu anapohoji anaonekana anakufuru. NINACHOAMINI MIMI HATA HAWA WANAOHOJI UWEPO WA MUNGU SIDHANI KAMA WANAMKOSEA MUNGU BALI MUNGU ANAPENDEZWA NAO KWAKUWA WANAUTAFUTA UKWELI ZAIDI NA KUTAKA KUMJUA
WAZUNGU WANAFIKA MBALI KWA SABABU YA DOUBT VITU... KWAIYO KATIKA VITU VYOOOOOOTE VYA KUDOUBT ILI UENDELEE WEWE UMEONA KU DOUBT SWALA LA MUNGU KUWEPO???
 
Source ya mungu haiwezi jibiwa NA uji au kamasi lililo Kat Kat ya kichwa chako.
Jiulize kwanini ukiwa tumboni kwa mama yako unakula kwa kutumia kitovu ya mama Halafu ukitoka tu unakula kwa chuchu NA vinakubaliana.
That is a design and purpose.
Who is the designer?
Kwa nini swali liwe "who" is the designer?

Kwa nini umeweka "who" ?

Huoni kwamba umeuliza swali kwa kulenga jibu fulani?

Umeamka umekuta jani la muembe liko mlangoni mwako.

Hujui kama jani la muembe limewekwa na mtoto hapo mlangoni mwako, limewekwa na kichaa, limewekwa na mbwa au limepeperushwa na upepo tu.

Unauliza, mtoto gani kaweka hili jani la muembe mlangoni mwangu?

Umejuaje kama ni mtoto, na si kichaa, si mtu mzima au si upepo tu umelipeperusha?

Kwa nini unauliza swali lililolenga katika jibu fulani, wakati huna ushahidi wowote kwamba huko ulikolenga kwa swali lako ndiko kwenye jibu?

Kwa nini unauliza mtoto gani kaweka jani la muembe mlangoni kwako, wakati hujui jani la muembe limekuja vipi mlangoni mwako?

Unajuaje limewekwa na mtoto?
 
Mkuu Kiranga kwanza quote hii si ya kile ulichokiandika hapo juu Bali naleta jibu la swali lako kutoka ktk kitabu cha CATHOLIC THE ANSWER BOOK kilichoandikwa na REV John Triglio

Ktk kitabu hicho Luna jamaa anaitwa St Thomas Aquinas Amejibu swali lako,
Pangua na hizo
Aquinas used five proofs to demonstrate that, using human reason alone, any
human being could know that there is a God. The first method is called motion.
This is not physical movement from point A to point B on a map or on a road. It
means moving from being purely potential to being actual. Philosophers call this
motion “potency into act.” So, for example, the sculpture of the Pieta done by
Michelangelo was potential until it moved into actuality once the artist began chis￾eling the stone. The finished product was first potential and then made actual, but not by itself. The artist was the “mover,” that is, the one who moved the “potential
Pieta” to become the “actual Pieta.” He did this by hammering away at the marble
until he finished. Were there no artist, then the potential sculpture would remain
potential forever. Only something already actual can move something else from
being potential to being actual. You and I were potential human beings until our
parents moved us into being actual once we were conceived.
Aquinas reasoned that the entire universe was potential (before the Big Bang)
until something or someone moved it from potency to act (from being a potential
universe to being an actual universe). Since everything has a beginning, then that
must mean everything was potential at one time. Only a “prime mover” or some￾thing always actual and never potential, could be considered a supreme being. If
God had a beginning, then there would have been a time when there was no God;
if that were the case, then who or what would have moved Him from being a poten￾tial God to being an actual God? Aquinas said reason compels us to discover there
must have always been something which always existed, the Prime Mover, who
moves everything from being possible to being real.
If your head does not hurt yet, hold on. The second proof is called causality. Every
crime sleuth from Sherlock Holmes to Lord Peter Whimsey to Miss Marple solves
the murder mystery based on the principle of cause and effect.A dead body is found
in the room with five bullet holes and a knife in the back. That is the effect.
Something and someone (the murderer) caused a living person to become a corpse.
Bullets and knives do not kill people; people kill people. Causality is the underpin￾ning of science, logic, and most of our experiential knowledge. We see a burnt piece
of paper (the effect) and automatically reason that something or someone was the
source (the cause) of the burning. It is nothing more than connecting the dots, so to
speak. Aquinas reasoned, therefore, that every effect has a cause; otherwise, it would
not exist. You and I are effects, and our parents are the causes. He also reasoned that
every cause was in turn an effect of a previous cause. Grandma and Grandpa had
something to do with us, too, since without them (cause) they would have had no
children (effect) and without those children growing up to become our parents
(cause), there would have been no us (effect).
Therefore, if we reason backwards, like we did with motion, and deduce that
every cause must have had a previous cause, there must be a first cause like there
was the prime mover. This first cause is the cause of all causes. It had no cause since
it has always existed. The Uncaused Cause, the Cause of All Causes and the Prime
 
Mover, can be called God or the Supreme Being, if you like. Aquinas never claimed
this was as theatrical as the burning bush that Moses encountered, but it makes
sense.
The third proof is called necessity. As important as your boss thinks he is, in real￾ity, the universe would not cease to exist if he ceased to exist—he is not necessary.
But don’t tell him that unless you don’t want that raise you’ve been asking for! No
matter how important, nothing in the world or in the universe is absolutely neces￾sary. Everything is contingent; that means it does not have to exist in order for real￾ity to exist. Only one being is necessary, and that is the Source of being itself, the
Being that keeps everything in existence. Causality and motion merely explain how
something got here, namely, everything is created and has an origin. Necessity and
contingency, on the other hand, show us that something or someone is needed to
keep things going even after they are made. Edison may have invented the light
bulb, but he died, and we still use electric lights well after his death. Electricity is
needed, however, to keep any and all light bulbs working. Think of the Necessary
Being, the Being itself, or the Existence itself (you can even call it God or the
Supreme Being), as the electricity which keeps everything in existence. That which
keeps in existence everything there is, is a necessary being. Everything which
depends on that necessary being is contingent. Head hurt yet?
The fourth proof is called gradation. There is a hierarchy of being in the universe.
First, at the most fundamental level, even at the subatomic, there is inanimate
matter and energy. It exists, but it is not alive.Then you move up into the food chain
and we have the second level of being: plant life (vegetative). Basic, simple, uncom￾plicated, plant life carries on three activities: nutrition, growth, and reproduction.
The third level of being, however, is more complicated. While it has the same three
principles, it also has sensation. Animal life is higher than plant life because these
creatures have bodies which transmit information (data) from their senses to their
brains. Though these brains act on instinct, when a sound is heard through their ears
or images are seen by their eyes, animals react as instinct dictates. This fourth level
of being incorporates the first two but goes into a much more sophisticated mech￾anism. Human life not only consists of nutrition, growth, and reproduction (as does
plant life), and has sense knowledge from the physical body (as does animal life),
but it also involves the ability to reason. Human beings have rational intellects and
free will. While animals act out of instinct, only men and women can make free
choices and base them on reason. When was the last time you saw a hungry dog orcat turn away food just because they were on a diet and needed to lose weight?
Pooch or Kitty will eat out of instinct whenever they are hungry. Human beings can
resist hunger and freely choose to diet. The beings above humans are angels. These
are beings which, unlike us, are not body and soul. They are pure spirit. They have
intellect and will, like we do, but they are not limited by physical bodies which can
feel hunger, pain, cold, heat, sickness, and death. Angels cannot die since they are
spiritual beings with no mortal bodies to hinder them. The last and highest level of
being, however, is not angelic but divine. Angels may not die, but they were created.
They are limited and finite, while the fullness of being is God. He is the highest, the
Supreme Being. God has no beginning and no end. God always existed. Since He is
everywhere (omnipresent) and knows everything (omniscient) and can do anything
(omnipotent), He is the pinnacle and zenith of being itself.
The fifth and last proof is called governance. This has nothing to do with city hall,
Parliament, Congress, or the White House. Something or someone with intelligence
created a world and a universe which operates on intelligent and rational laws and
principles. Whether you believe in Creationism or subscribe to a form of evolution,
you recognize that there is a systematic plan upon which reality operates. The laws
of physics and chemistry were not created by scientists; they were discovered by
them. Those laws apply equally in any country and on any planet. Governance
merely means an intelligent Being created the intelligent laws and systems that
maintain order and prevent chaos. That Governor can be called God.
Need an aspirin now? No one ever claimed these five proofs would convert an
atheist overnight. They do show, however, that the existence of God can be known
by reason. The pagan Romans and ancient Greeks, for example, among many other
peoples, figured out there was a supreme being even without having that deity
reveal himself. Yet that is the limit of human reason. We can only know that there
is a God. To know God and not just know about Him involves faith. Faith allows you
to believe in the truths revealed by God. Reason helps make some sense of that, but
much of the mystery of religion does not contradict reason; rather, it goes beyond
the limitations of human reason. Then you just have to believe.
 
YAAN UKWEL WENYEWE NI KWAMBA MUNGU HAYUPO..HHAHAHAHHA.. EBU SEMA UNATAKA USHAHIDI WA AINA GANI ILI UKUBALI MUNGU YUPO.. WA PICHA ,VIDEO,DOCUMENTS,AU KUMWONA LIVE... SEMA UNATAKAJE NIKUTHIBITISHIE....

BY THE WAY BIBLIA INASEMA JOSHUA ALISIMAMISHA JUA.. WAPI ILISEMA JUA INAIZUNGUKA DUNIA???? LETE MAANDIKO.
Joshua akisimamisha jua" jua linatembea? Au Dunia ndio inazunguka jua?
 
Mkuu Kiranga kwanza quote hii si ya kile ulichokiandika hapo juu Bali naleta jibu la swali lako kutoka ktk kitabu cha CATHOLIC THE ANSWER BOOK kilichoandikwa na REV John Triglio

Ktk kitabu hicho Luna jamaa anaitwa St Thomas Aquinas

Mkuu LUCKDUBE kwanza kabisa shukurani kwa jibu lako.

Nakushukuru kipekee kwa sababu umenirudisha kwa Thomas Aquinas. Aquinas nilimsoma mwaka 1996 wakati naanza kuona mapungufu ya dini. Nilimsoma katika kitabu cha "The Philosophy of Religion: An Aanthology"

Alijitahidi kujenga hoja, lakini hoja zake hazikuweza kupenya kwenye ngome ya fikra thabiti. Mtu yeyote anayenitajia St. Thomas Aquinas, St. Anselm, St. Augustine katika mjadala huu, najua kwamba, amefanya angalau basic research ya arguments za msingi za kuwapo na kutokuwapo kwa Mungu.

Kwa hiyo nashukuru kwa kuendana na mjadala kwa kutumia hoja za wasomi wanaojulikana kama miamba katika uwanja huu.

Tujadili.

Amejibu swali lako,
Pangua na hizo
Aquinas used five proofs to demonstrate that, using human reason alone, any
human being could know that there is a God. The first method is called motion.
This is not physical movement from point A to point B on a map or on a road. It
means moving from being purely potential to being actual. Philosophers call this
motion “potency into act.” So, for example, the sculpture of the Pieta done by
Michelangelo was potential until it moved into actuality once the artist began chis￾eling the stone. The finished product was first potential and then made actual, but not by itself. The artist was the “mover,” that is, the one who moved the “potential
Pieta” to become the “actual Pieta.” He did this by hammering away at the marble
until he finished. Were there no artist, then the potential sculpture would remain
potential forever. Only something already actual can move something else from
being potential to being actual. You and I were potential human beings until our
parents moved us into being actual once we were conceived.
Aquinas reasoned that the entire universe was potential (before the Big Bang)
until something or someone moved it from potency to act (from being a potential
universe to being an actual universe). Since everything has a beginning, then that
must mean everything was potential at one time. Only a “prime mover” or some￾thing always actual and never potential, could be considered a supreme being. If
God had a beginning, then there would have been a time when there was no God;
if that were the case, then who or what would have moved Him from being a poten￾tial God to being an actual God? Aquinas said reason compels us to discover there
must have always been something which always existed, the Prime Mover, who
moves everything from being possible to being real.

Hapa kuna kitu kimoja huwa kinarudiwa sana, kosa moja huwa linarudiwa sana na watu wanaoamini Mungu.

Hoja ya msingi ni kwamba kuna kitu fulani, namna fulani au nafsi fulani inayotoa kitu katika potential, kupeleka kitu katika kuwa actual.

Hata kama nikisema hili halina mjadala (lina mjadala mrefu tu, just for the sake of argument tuseme halina mjadala, tunahakikishaje kwamba kinachofanya vitu vitoke katika potential na kuja kuwa actual ni Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?

Hakuna ushahidi wowote kwenye hili. Hii ni logical non sequitur.

St. Aaquinas kimsingi anasema.

1. Kuna kinachosababisha vitu vitoke kwenye kuwezekana kinadharia, na kufanya vitu hivyo kuwepo kiukweli.
2. Vitu vipo kiukweli, zaidi ya kuwezekana kinadharia
3. Huo ni ushahidi kwamba kinachowezesha vitu kuwepo kiukweli, zaidi ya kuwezekana kinadharia tu, ni Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wa yote na upendo wote.

Utaona kwamba, hata ukikubali point 1 na 2 hapo juu, haimaanishi kwamba point ya 3 ni lazima ifuatishe msururu huo wa mawazo. Vitu vinaweza kuwezeshwa kuwepo kiuhalisi na sababu nyingine tofauti kabisa na Mungu, au pengine suala zima la causality kuwa ni jambo la msingi ni makosa ya kutokana na ulimwengu tunavyouangalia kwa level yetu, kwenye quantum level, causality inavunjika, kila kitu kinakuwa probabilistic.

Logic aliyotumia hapo ni sawa na kusema.

1. Wanawake ni watu
2. John Magufuli ni mtu
3. Kwa kuwa wanawake ni watu na John Magufuli ni mtu, basi John Magufuli ni mwanamke.

Non sequitur, it does not follow.

If your head does not hurt yet, hold on. The second proof is called causality. Every
crime sleuth from Sherlock Holmes to Lord Peter Whimsey to Miss Marple solves
the murder mystery based on the principle of cause and effect.A dead body is found
in the room with five bullet holes and a knife in the back. That is the effect.
Something and someone (the murderer) caused a living person to become a corpse.
Bullets and knives do not kill people; people kill people. Causality is the underpin￾ning of science, logic, and most of our experiential knowledge. We see a burnt piece
of paper (the effect) and automatically reason that something or someone was the
source (the cause) of the burning. It is nothing more than connecting the dots, so to
speak. Aquinas reasoned, therefore, that every effect has a cause; otherwise, it would
not exist. You and I are effects, and our parents are the causes. He also reasoned that
every cause was in turn an effect of a previous cause. Grandma and Grandpa had
something to do with us, too, since without them (cause) they would have had no
children (effect) and without those children growing up to become our parents
(cause), there would have been no us (effect).
Therefore, if we reason backwards, like we did with motion, and deduce that
every cause must have had a previous cause, there must be a first cause like there
was the prime mover. This first cause is the cause of all causes. It had no cause since
it has always existed. The Uncaused Cause, the Cause of All Causes and the Prime

Kwanza kabisa, kama nilivyoandika hapo juu, ukichimba sana katika physics, hususan katika quantum physics, causality si fundamental hivyo.

The arrow of time itself breaks down, therefore, causality, which is time dependent, does not exists.

Muale wa mwanga katika vacuum unaenda kasi sana, kiasi kwamba, kwa perspective ya muale wa mwanga, time does not exist.

Yani sisi tunaona mwanga unatoka kwenye jua mpaka duniani kwa dakika nane na sekunde 20, au unatoka kwenye jua na kwenda nyota ya jirani ya Alpha Centauri kwa miaka 4.367, lakini, kama ukiweza kujiweka uwe unakwenda kama huo muale wa mwanga, muda unafutika, kunakuwa hakuna muda kupita, unaweza kutoka kona moja ya ulimwengu mpaka nyingine, mabilioni ya light years, bila hata nanosecond moja kupita.

Sasa ukijua hilo, ukijua quantum fluctuations zilivyo more probabilistic than causal, utaona causality tunaiona kwa kuwa tunaangalia ulimwengu katika level yetu, ukizama chini kwenye quantum level, huko vitu ni probabilistic, hakuna causality, kwa sababu hata muda wenyewe unakuwa haupo, time ceases to exist at speeds of electromagnetic waves in a vacuum, from the perspective of the waves.

Lakini, hata kama tukiondoa habari hizo za kuumiza kichwa ambazo kueleweka kwake si rahisi hata kwa waliozisomea, tukasem OK, causality ni muhimu.

Utasemaje Mungu yupo kwa sababu vitu haviwezi kutokea vyenyewe, lazima viwe vimeumbwa na Mungu?

Tunarudi pale pale uliponinukuu hapo juu.

Tuseme vitu haviwezi kutokea vyenyewe, lazima viwe na sababu, unajuaje kwamba sababu hiyo ni Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote na si kingine chochote?

Tunarudi pale pale kwenye swali langu.

Umeamka asubuhi, umefungua mlango wako, umekuta jani la muembe mlangoni.

Hujui limekuja vipi mlangoni.

Unasema ni lazima limeletwa na mtoto hapa.

Kwa ushahidi gani?

Unajuaje halijaletwa na mtu mzima, au kichaa au upepo umelipeperusha?

Unajuaje kwamba ulimwengu umeumbwa na Mungu na haujatokea na kuwepo kwa namna nyingine yoyote?
 
Back
Top Bottom