Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Wewe sema umeshindwa kujibu hoja ndo maana unatafuta kuhamisha mada ambayo pia\ imejibiwa. Jibu hoja zilizotajwa juu
Kama Mungu wa Biblia ni wa kweli, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliweza kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.

Kwa nini ameumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Umelielewa swali?

Unaweza kulijibu?

Kama umelielewa na unaweza kulijibu, lijibu.

Kama hujalielewa, uliza ueleweshwe.

Angalizo, jibu kama umeelewa swali tu.
 
Siwezi kukulazimisha kuelewa ndo maana umekimbia hoja ya msingi ya Big bang...Period and out
 
Siwezi kukulazimisha kuelewa ndo maana umekimbia hoja ya msingi ya Big bang...Period and out
Umeshindwa kumuelezea kimantiki Mungu wa Biblia, kwa sababu haelezeki kimantiki, kwa sababu hayupo.

Ni Mungu wa hadithi tu mwenye contradictions ambazo hazitatuliki.

Tatizo sina hakika hata kama unaelewa contradictions zisizotatulika ni nini.
 
Imani ni neno lenye matumizi sahihi kidini

Imani limetangaa kote kote,kwani imani imejengeka katika kutokuwa na shaka. Kujua na kutokuwa na shaka havitengani na huo ndio msingi wa imani,sasa iweje useme huamini na hujui hakika ya tamko Imani ?

Kwa ufupi Imani na kujua havitengani. Na huwezi kuthibitisha ya kuwa wenye Imani hawajui.
 
Kiranga nimegundua hata wewe mwenyewe huelewi unachokishikilia.

Ni kwamba Mungu kuumba dunia iliyo na mabaya hakumfanyi Yeye kutokuwepo.

Na inaelekea unabishana wewe kwa wewe huko uliko, na ndicho nimegundua.
 
Huyo anasumbua watu na kupotezea muda,maswali magumu huwa hajibu na amekuwa muoga pia. Anasema mimi ameni "Ignore" hii ni ajabu kwa lipi mpaka ani "Ignore" ?. Nimeshamwambia aache uoga. Tunajifunza sisi hatushindani.

Huyi naswali magumu huwa hajibu zaidi ya kupanic na kutukana watu na kutafuta kichaka cha kujificha.
 
Hiki ndicho unaweza kimbilia...
Hujajibu nilichokuuliza, ulichojibu sijakuuliza.

Kama Mungu yupo, kaumba ulimwengu huu, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwepo, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Tuseme sikatai kuwepo kwa Mungu, nauliza niweze kumuelewa tu.

Unaweza kujibu swali hili?
 
Ungekuwa unaelewa unayoulizwa na kutoa majibu nafkiri huu mjadala usingalikuwepo. Unachofanya ni kutembeza Uzi tu kwa kudokoa dokoa vitu na Siku zimeenda basi...
Hujajibu nilichokuuliza, ulichojibu sijakuuliza.

Kama Mungu yupo, kaumba ulimwengu huu, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwepo, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Tuseme sikatai kuwepo kwa Mungu, nauliza niweze kumuelewa tu.

Unaweza kujibu swali hili?
 
Naweza kujibu, na kabla ya kukupa jibu ndipo nikakuambia dunia kuwa na mabaya haimfanyi Mungu kutokuwapo.

Sasa, ni kitu gani kisichoeleweka hapo?
 
Alipoumba ulimwengu aliacha utashi kwa binadamu wa kufuata mazuri aua mabaya,sasa haya ni maamuzi yake na hatujui kwanini aliamua hivyo na hakuna wa kuuliza kwanini aliamua hivyo ,he is God,a living God...
 
Hata wewe hujaelewa swali. Ndiyo maana wengi hufeli mitihani.
 
Teh.....

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mi nshawahi wauliza dini ya kweli ni ipi uislam au ukristo

Huyo zurri alichonijibu , sure ni idiot
Alishawahi kusema jiwe ni kiumbe hai
 
Teh.....

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mi nshawahi wauliza dini ya kweli ni ipi uislam au ukristo

Huyo zurri alichonijibu , sure ni idiot
Kumbe sikukosea kuacha kujadiliana naye.

Hata wengine mnaona idiocy hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…