Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Those references are no more viable to prove God's existence, think out side of your affiliation.The universe was created by Sir God.. Soma Section 6 of Act. No.6 of 1967
Maatheist mna makelele sana!Those references are no more viable to prove God's existence, think out side of your affiliation.
Because they say that's why you believe ,you just fear nothing at all!
Poorest of allMaatheist mna makelele sana!
Mpaka Leo umeshadanganywa kuwa dunia ina "Sphere" shape, na wakati sio kweli.
Dunia iko flat, na hao wanasayansi uchwara washakuaminisha kuwa dunia iko round na umebaki kuitikia kwa kutikisa kichwa.
Poorest of all
Sasa hapa tunapewa kazi ya kubishana na watu wa "flat earth society".Poorest of all
Kama kweli wapumbavu wapo, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Wapumbavu wasema mioyoni mwao ya kuwa ni hakika hakuna Mungu
Zaburi....
Mungu wenu aliumba sayari, galaxies na meteorites nyingine siku ya ngapi? vitabu vyenu havijaandika .Maatheist mna makelele sana!
Mpaka Leo umeshadanganywa kuwa dunia ina "Sphere" shape, na wakati sio kweli.
Dunia iko flat, na hao wanasayansi uchwara washakuaminisha kuwa dunia iko round na umebaki kuitikia kwa kutikisa kichwa.
Maatheist mna makelele sana!
Mpaka Leo umeshadanganywa kuwa dunia ina "Sphere" shape, na wakati sio kweli.
Dunia iko flat, na hao wanasayansi uchwara washakuaminisha kuwa dunia iko round na umebaki kuitikia kwa kutikisa kichwa.
Mungu wenu aliumba sayari, galaxies na meteorites nyingine siku ya ngapi? vitabu vyenu havijaandika .
You people are very funny those books are kept there just for commercial reason and to intimidate you to inflict fear among you that there is fire after life if you don't believe in them! When they are asked to prove that fire they keep dumb totally can not!
We the "true people" whatever you call us! are believing in evolution of the mankind from the development of that particle that brought life from the beginning and we can prove that.
My genes generate generations automatically proving my theory of the "big bang" ,thus, creation with no doubts at all.
When I die I still prove my theory of evolution I turn to other stage more spiritually advanced being more perfect than I am now.
I am still evolving like other bodies in the solar system that also prove the theory of big bang that your sacred books mainly bible and Quran did not write any of it!
Am energy I was neither created nor will be destroyed.
Am eternal.
Sayansi kukosea si ajabu, wao ndio hua wakwanza kukosoa kazi zao kuonesha zina makosa kabla hata we m'makonde hujapewa, na ndio maana inakosolewa
Biblia na Quran ndiyo unavyo viamini kua kila kilichoandikwa ni sahihi kwasababu ni vitabu vya mungu siyo??
Biblia ilipotosha kwa kuandika habari za uongo jua kuzunguka dunia galileo alivyokuja kufanya tafiti juu ya jambo hilo kupitia telescope akagundua dunia ndio inalizunguka jua. (Hapa utasema kati ya dini na sayansi ipi yenye inatupa habari za kweli?)
Quran ilivyowadanganya habari za jua kuzama matopeni mbona hujakanusha?
Kwani mkuu dini na neno imani kipi kimetangulia? Sidhani kama kiuhalisia kuna binaadamu anayeweza kuishi bila kuamini au kuwa na imani katika maisha yake,hata huyo Kiranga anasema haiwezekani huwa anatoa hoja ya kwamba hata mtu ukipanga mipango yako ya kesho basi unatumia imani.Imani ni neno lenye matumizi sahihi kidini
Ili upate maana iliyo sawia ya neno hilo yakupasa uwe na mtazamo wa kidini_wenye dini ndio mnajua maana halisi ya neno hilo
Mimi sio wa kidini_kwa kulijua hilo kitambo tu nimeacha kulitumia kwa kuona linapelekea maana tofauti kwa wengine
Ila kwa neno 'kujua' nafahamu linatokana uthibisho wenye uhakika wa Jambo au taarifa_kuna kingine Mufti..?
So wewe unafikiri hayo uliyoyataja ni imperfections of creation?
Na mambo mengi ambayo wamepatia vipi tuyaweke kundi gani yanafaa au hayafai??Kama sayansi kukosea sio ajabu, huoni wamekosea kwenye mambo mengi waliofanya?
kwa kukubali mapungufu yake anatoa mwanya wa kuendelea na uchunguzi wa kufikia ukweli halisi.Na unaaminije mtu ambaye kwake ni rahisi kukosea kuliko kupatia?
,Suala la dunia kuwa flat tu linatosha kukuonesha kuwa wanasayansi hawana tofauti na vichaa
Hivyi vipimo viligunduliwa na nani??Unaset kiwango cha kupimia kimo cha sehemu yeyote nchi kavu kwamba tutaanza kupimia baharini
Nataka ulete vipimo vyako wewe au vilivyobuniwa na dini ili kui prove wrong sayansi. Ukiniambia unaanza kupima meter nitakuuliza unauhakika gani kwamba meter ndio kipimo sahihi wakati sayansi ni ukichaa??kwamba kwenye maji ndio tunaanza kupima meter '0', kwamba maji yako flat dunia yote na unaelewa kabisa hilo lisingewezekana kama dunia ingekuwa 'sphere' na bado unatikisa kichwa kuamini dunia ni tufe....!!??
Nitazikubali facts zisizo na sura ya kisiasa zenye kujenga hoja bila kuhusisha sayansi ili nione ni namna gani sayansi ni upumbavuKuhusu dunia kuzunguka jua ngoja nitakuletea facts ili twende sawa...!
Kwa minajili hiyo tunapataje mwanya wa kuamini vitabu vya dini kua jua linazama kwenye matope eti kwasababu vitabu hivyo havijajikosoa vyenyewe??? Na je tunaweza kupata majibu ya maswali yetu kwa hakika kwenye habari zenye contradictions ndani yake???Kitu chochote kinachobadilika hakipaswi kutupa majibu ya maswali yetu, Umethibitisha kuwa Sayansi inajikosoa kwa hiyo hatupaswi kuichukua Sayansi kama chanzo sahihi ya kujibu maswali yetu!
Swala sio at least, swala je vitabu visivyo na kasoro? Biblia na quran vyote vinapingana sasa tushike kipi tuache kipi na vyote haviwezi kua sahihi? Biblia imesema yesu alikufa msalabani quran imekanusha jambo hili, quran imesema ni dhambi kuingia ibadani na viatu Biblia imekanusha jambo hili. Utasemaje kua ni vitabu visivyokua na shaka wakati vinapingana??? na kama kuna mkanganyiko baina ya hivi vitabu viwili hivi unafikiri tunaweza kuvitegemea katika kupata majibu ya maswali yetu????At least, Biblia na Quran tangu ziletwe kwa wanadamu hazijabadilishwa wala kuhaririwa, so I would rather believe in them and start to search whatever I want, from them than these science fictions...
Ukatili ni kitu cha namna gani kwako???Dunia inaongozwa na majitu yenye ukatili ulopitiliza ndio sababu wanasayansi hao hao wamekuaminisha kuwa Neil Armstrong ndiye binadamu was kwanza kutua mwezini na umeamini, wakakuambia na Marekani ndio ya kwanza kupeleka vyombo vyake mwezini ukaamini.
Kuwaita wanasayansi washenzi hujakosea, ila ni vizuri unapotaka kukata mti uanze na shina sio matawi. Tunaona shina la ushenzi ni Mungu (shina) kwa kuumba ulimwengu ambao washenzi (matawi) wataweza kuwepo wakati angeweza kuumba ulimwengu bila ya washenzi kuwepoSisiti kuwaita wanasayansi washenzi, Angalia wanachoifanyia Africa na dunia?
Ebola, ukimwi ni magonjwa mabaya??Wametengeneza Ebola, Ukimwi, magonjwa ya mimea namungu wako alivyo sema kwenye isaya 45:7 kua yeye ndiye anayetengeneza uovu wote uliacha kumuabudu???? Au usimba na uyanga tu?pengine mengi zaidi siyajui, bado tu unawaabudu
Nakuachia kazi juu ya haya niliyo kuuliza na ukawaulize wakubwa zako. Ukipenda siku yoyote kunijibu utanijibu,ila najua huwezi ndio maana umetafuta pa kujificha.
Huwa nakwambia na hapa natilia mkazo kwa kauli hii "Tengeneza kiti chako kwanza kabla ya kukitia nakshi".
God can do anything actually..anything he wantsKama kweli wapumbavu wapo, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao inawezekana wapumbavu kuwemo.
Huo ungekuwa ni ukatili na uchoyo wa rehema ambao Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuwa nao.
Kabla ya kurukia kwamba God can do anything. Unaweza ku prove this God of yours exists at all?God can do anything actually..anything he wants
Kinachowaponza ni kiburi
Kama shetani alivoanza
Na mambo mengi ambayo wamepatia vipi tuyaweke kundi gani yanafaa au hayafai??
kwa kukubali mapungufu yake anatoa mwanya wa kuendelea na uchunguzi wa kufikia ukweli halisi.
,
Habari yako haina evidence umeongea tu, umeonekana nawe huna tofauti na vichaa
Hivyi vipimo viligunduliwa na nani??
Unaitukana sayansi kua ni waongo halafu unatumia vipimo vilivyogunduliwa na sayansi hiyo hiyo???
Nataka ulete vipimo vyako wewe au vilivyobuniwa na dini ili kui prove wrong sayansi. Ukiniambia unaanza kupima meter nitakuuliza unauhakika gani kwamba meter ndio kipimo sahihi wakati sayansi ni ukichaa??
Nitazikubali facts zisizo na sura ya kisiasa zenye kujenga hoja bila kuhusisha sayansi ili nione ni namna gani sayansi ni upumbavu
Kwa minajili hiyo tunapataje mwanya wa kuamini vitabu vya dini kua jua linazama kwenye matope eti kwasababu vitabu hivyo havijajikosoa vyenyewe??? Na je tunaweza kupata majibu ya maswali yetu kwa hakika kwenye habari zenye contradictions ndani yake???
Swala sio at least, swala je vitabu visivyo na kasoro? Biblia na quran vyote vinapingana sasa tushike kipi tuache kipi na vyote haviwezi kua sahihi? Biblia imesema yesu alikufa msalabani quran imekanusha jambo hili, quran imesema ni dhambi kuingia ibadani na viatu Biblia imekanusha jambo hili. Utasemaje kua ni vitabu visivyokua na shaka wakati vinapingana??? na kama kuna mkanganyiko baina ya hivi vitabu viwili hivi unafikiri tunaweza kuvitegemea katika kupata majibu ya maswali yetu????
Ukatili ni kitu cha namna gani kwako???
Ukatili kama ni jambo baya kwanini mungu wako ameuruhusu ujatili uwepo?? Huoni msingi mzima wa ukatili unaanzia kwa huyo mungu wako??
Navyojua mimi ukatili ni mamia ya watu kuteketezwa kwa moto kwenye habari za sodoma na gomora, ukatili ni mtoto mchanga kuzaliwa na upungufu wa viungo halafu mungu mwenye upendo wote, mjuzi wa yote na mwenye uwezo wote kamfanyia ukatili kwa kutompa viungo hivyo
Kuwaita wanasayansi washenzi hujakosea, ila ni vizuri unapotaka kukata mti uanze na shina sio matawi. Tunaona shina la ushenzi ni Mungu (shina) kwa kuumba ulimwengu ambao washenzi (matawi) wataweza kuwepo wakati angeweza kuumba ulimwengu bila ya washenzi kuwepo
Ebola, ukimwi ni magonjwa mabaya??
Kama mabaya mbona mungu wenu hajayazuia, wakati vitabu vyake vimesema ni mjuzi wa yote na muweza wa yote na mwenye upendo wote halafu anawawazia mema viumbe vyake pia ameahidi kumlinda kila mmoja asiweze kudhurika na mabaya?? Huoni kwa kulalamikia ubaya wa magonjwa haya unakua umeonesha kua kilichoandikwa vitabuni ni uongo na kwa mantiki hiyo vitabu hivyo havipaswi kufuatwa ili kujua ukweli wa jambo? Umeona unavyo ji contadict mwenyewe??
Inaelekea wewe ni mzito kuelewa, Mwanasayansi amesema bahari/maji ndio yatakuwa standard ya kuanza kupima mwinuko was ardhi ya mahala popote duniani, na unajua kabisa maji hayawezi kukaa juu ya tufe bila kumwagika, haya, anakuja anakwambia duara ni duara/tufe na wewe unamwitikia na kukubaliana nae!?
Huyo mtu ni timamu? Nawe hauko sawa bila shaka.
Nioneshe mambo matatu tu wanasayansi walopatia...
Mungu alipotuumba alitupa utashi wa kuishi kistaarabu ama kihuni, ni kwanini kundi linalosemekana ndio limeelimika sana liishi kihuni kuliko makundi mengine?
Umeelewa hicho ulichoandika?Haya tufanye maji hayawezi kumwagika yakiwa juu ya tufe, je jua linaweza kuzama kwenye matope meusi???