Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 349
Before going to what "makes science?", one must answer and understand "what is science?".I honestly admit that, we are living in the world of abundant knowledge. Basically, in this universe there people with high knowledge. These understood how things goes especially when it comes to paradoxical issues to how man come to existance, the universe and God.
However, there lot of explanation denies the existence of God instead assume sciences as root of things. On the other hand, have you thought, "what makes science?"
Kama ulisoma walau kuanzia elimu ya sekondari kuna vitabu tulivitumia kujibia kiingereza na Kiswahili.Mimi niliisha waambia hawa watu wa aina ya Kiranga kuwa"KISICHOKUWEPO HAKINA JINA,HAKIHISIKI,HAKITAMKWI,NA WALA HAKIJADILIKI.
Kivipi?Kiranga na wote wanaomfuata, uthibitisha uwepo wa MUNGU wao wenyewe kwa kumjadili tu MUNGU.
Asante sana.Kama ulisoma walau kuanzia elimu ya sekondari kuna vitabu tulivitumia kujibia kiingereza na Kiswahili.
Kuanzia kizazi changu kielimu cha miaka ya 1996 tulikuwa na wakina Okonkwo (Things fall apart), kina Sikamona ndani ya zawadi ya ushindi, Ngoswe, Mzee Toboa Mambo (Kiu ya Haki) na wengineo.
Walikuwepo pia kina Hawa the bus driver na Mabala the farmer kwa F1 na F2.
Tuliwajadili ma characters hawa na mpaka leo hii mtu ukimwambia afanye i margination ya Hawa the bus driver bila shaka atakwambia ni lijimama fulani lililojaa mwili na minguvu mingi.
Kwa kuwa characters hawa wana majina, tuliwajadili, tuliwahisi kifikira, tukawatamka na kujibia mitihani uhusika wao je,
Kwa maelezo yako wakina Okonkwo,Sikamona, Ngoswe, Mzee Toboa Mambo na Hawa the bus driver wapo kiuhalisia, nje ya dhana ya kufikirika?
Kivipi?
Kwani tukianza kujadili habari za kina Harakati za Pimbi,Kipepe,Lodilofa, Sokomoko na Ndumila kuwili wa gazeti la Sani enzi hizo, hapo tayari hao watu wanakuwa wapo kweli kiuhalisia, nje ya masimulizi ya kufikirika pekee!?
Unaelewa ya kwamba Mungu nae amebuniwa na kuingizwa ndani ya vitabu mnavyovisema vya Mungu, kama ambavyo kina Harakati za Pimbi walivyoingizwa ndani ya gazeti la Sani!?
Nature is a matter neither created nor destroyed what we witness today is merely a part of a process(nature) among many processes that took place many years ago and still undergo many different changes.RAFIK IYO NATURE ORIGINI YAKE NI NINI???
Understanding, "what is science", is an important and useful stage on only one direction towards understanding the universe, God and man existence. Here, I agree that, science and all it intends shouldn't ignored.years
DuuhEmpty and rubbish mindset
Sion hoja ya kubishana na mpumbavu kama wewe na mjinga
Wewe ni mjinga !
Course works nlizozsoma kwa mamiaka na miaka hadi napata phd hafu nije kubishana na ngumbaru kama wewe
Mother f*ck i aint do that shit business
Hayo ni majina yaliyo chaguliwa naKama ulisoma walau kuanzia elimu ya sekondari kuna vitabu tulivitumia kujibia kiingereza na Kiswahili.
Kuanzia kizazi changu kielimu cha miaka ya 1996 tulikuwa na wakina Okonkwo (Things fall apart), kina Sikamona ndani ya zawadi ya ushindi, Ngoswe, Mzee Toboa Mambo (Kiu ya Haki) na wengineo.
Walikuwepo pia kina Hawa the bus driver na Mabala the farmer kwa F1 na F2.
Tuliwajadili ma characters hawa na mpaka leo hii mtu ukimwambia afanye i margination ya Hawa the bus driver bila shaka atakwambia ni lijimama fulani lililojaa mwili na minguvu mingi.
Kwa kuwa characters hawa wana majina, tuliwajadili, tuliwahisi kifikira, tukawatamka na kujibia mitihani uhusika wao je,
Kwa maelezo yako wakina Okonkwo,Sikamona, Ngoswe, Mzee Toboa Mambo na Hawa the bus driver wapo kiuhalisia, nje ya dhana ya kufikirika?
Kivipi?
Kwani tukianza kujadili habari za kina Harakati za Pimbi,Kipepe,Lodilofa, Sokomoko na Ndumila kuwili wa gazeti la Sani enzi hizo, hapo tayari hao watu wanakuwa wapo kweli kiuhalisia, nje ya masimulizi ya kufikirika pekee!?
Unaelewa ya kwamba Mungu nae amebuniwa na kuingizwa ndani ya vitabu mnavyovisema vya Mungu, kama ambavyo kina Harakati za Pimbi walivyoingizwa ndani ya gazeti la Sani!?
You have it backwards.Understanding, "what is science", is an important and useful stage on only one direction towards understanding the universe, God and man existence. Here, I agree that, science and all it intends shouldn't ignored.
Having physics, biology, chemistry, and other fied of science doesn't means that, man existence or universe as we perceive and understand originate from science instead implies man's ability.
Therefore, it is important to understand that, science as we have it, how we understand it and its applications; all that reflects man. There is nothing, whether what we see or not, what we understand or not and what we perceive in this world until is conceived and explained by man.
In this world filled of abundant of knowledge, understanding what is science is important and useful and people should take that direction. However, more effort should be on, " what makes science" to understand what is science.
Hapa ndipo kwenye kuchanganua kati ya kuelimika na wingi wa kupita madarasa mengi.Yaani anayesema yeye ni msomi,eti kashindwa kujua kuwa Mvalana "A" katumika kumuwakilisha mvulana halisi!.Asante sana.
Akikujibu naomba ni tag.
Habari ya kusema kwamba kila kinachotajwa kipo, itamaanisha kwamba, ukiwa na mvulana B mwenye miaka 10 ambaye ni mtoto wa kuzaliwa na mwanamme A, mwenye miaka 40, kisha ukasema mvulana B mwenye miaka 10 ni baba yake mzazi wa mwanamme A mwenye miaka 40, ile kusema hivyo tu kutamfanya mvulana B mwenye miaka 10 awe baba wa mwanamme B mwenye miaka 40.
Ndicho tunachoambiwa hapa, kwamba chochote utakachoweza kusema kipo, kwa sababu kisingekuwepo, usingeweza kukisema.
Tunaambiwa mvulana wa miaka 10 anaweza kuwa baba mzazi.wa mwanamme mwenye miaka 40.
Kwa sababu tumeweza kusema hilo tu. Ingekuwa hilo haliwezekani, tusingeweza kulisema.
Ndiyo ujinga tulioambiwa hapa.
OKAY THANKS ..YOU SAYED ITS A MATTER WHICH IS NEVER CREATED.. SO THEN HOW DOES NON-CREATED THING DO OCCUR???Nature is a matter neither created nor destroyed what we witness today is merely a part of a process(nature) among many processes that took place many years ago and still undergo many different changes.
The same to you the same to the big-bang.
WHO HAS THE SUPREME KNOLEDGE TO EXPLAIN ATLEAT THE ORIGIN OF HOUSFLY???I honestly admit that, we are living in the world of abundant knowledge. Basically, in this universe there people with high knowledge. These understood how things goes especially when it comes to paradoxical issues to how man come to existance, the universe and God.
However, there lot of explanation denies the existence of God instead assume sciences as root of things. On the other hand, have you thought, "what makes science?"
Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?Hayo ni majina yaliyo chaguliwa na
waandishi kuwa wakilisha watu halisi.
Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.Sasa wewe niambie jina MUNGU limetumika kumwakilisha nani?.
Kwa akili yake huyu, tukitunga neno ambalo liko kinyume na MUNGU, tuliite UGNUM (tumezipindua zile herufi za neno MUNGU kuanzia kulia kwendakushoto, kuwakilisha kinyume cha MUNGU kuwepo) neno hili liwe na maana ya kutokuwepo MUNGU, ukweli kwamba tumeweza kulifikiria na kulitunga hilo neno utamaanisha MUNGU hayupo.Kama ndivyo unaweza ukaniambia Ngoswe anapatikana wapi,alizaliwa lini,alisoma wapi,namba zake za mawasiliano na anafanya nini kwa sasa?
Kumwakilisha character ambae ni wa kufikirika,asiyekuwepo kwenye uhalisia.
Yupo ndani ya nadharia tu na huwezi kuthibitisha uwepo wake kama ambavyo huwezi kumleta hapa Kipepe wa kwenye gazeti la sani na kutuambia huyu ndiye yeye.
Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Cc Kiranga
Mmeo
Mungu yupo kimawazo full stop.
Hakamatiki. Hashikiki. Haonekani kwa macho.
Kwa sababu hayupo popote zaidi ya kwenye mawazo.
Wewe mbona huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwake ?
Hao wanaotaka uthibitisho wa kinachosemwa hakipo sidhani kwamba hata maana ya uthibitisho wanaielewa.Kisicho kuwepo haki hitaji uthibitisho. ... Hivi unaweza kuthibitisha kitu Kisicho kuwepo kweli '?
Kisicho kuwepo haki hitaji uthibitisho. ... Hivi unaweza kuthibitisha kitu Kisicho kuwepo kweli '?
Ila anaezungumziwa hapa hana sifa ya kutokuwepo.