Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Inaonekana huelewi maana ya power au authority. Hivyo ndivyo Mungu alivyotaka dunia iwe, kwake ni awsome! Halafu mtazamo wako kwenye hili ni mfinyu mno. Hebu nipe definition ya usawa na kwa nini unataka Mungu angefanya watu wote wawe sawa?

Hata mimi mwanadamu ningepewa nafasi ya kuumba nisingeweza kufanya jambo la kijinga kama hilo. Kwa sababu usawa mwisho wa siku, kuna mtu atahoji kwa nini mimi sikuumbwa mdudu, mwingine kwa nini mimi sikuumbwa mbuzi, na unaona kabisa claims za kutaka usawa "could be infinite".

Mungu ameumba dunia kama ilivyo na akaridhika nayo. Hawezi kufanya jambo kwa matakwa yako, huo ndio uwezo wa Mungu. Kama Mungu sio All Capable na All Knowing, badilisha baadhi ya mambo ambayo yeye anadaiwa kuyafanya. Mfano, jibadilishe uweke matako usoni na uso uwe matako ili kuonyesha kuwa una uwezo wa kufanya tofauti na Matakwa ya Mungu.
 
Before you say "there is no God's character...".

Can you prove God exists?

Anyone can say Comrade Kipepe is God, and there is no character that prevents Comrade Kipepe's authority.

But does saying so prove that Comrade Kipepe exists as God?

That's is what I asked you, can you prove that God does not exist? This is a proposition "Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe" which needs proof.
 
Maswali mepesi haya. Mtu mmoja anaweza kuwa tajiri kuliko wote kwasababu kadhaa;
1. Mazingira yameruhusu iwe hivyo (free markets and economy)
2. Aliweka jitihada.
3. Muda na nafasi vilikua upande wake.

Wengine wanakua maskini kuliko umasikini wenyewe kwasababu kinyume na hizo hapo juu:
1. Mazingira yasio rafiki (kiuchumi, jamii na kisiasa)
2. Hajaweka nguvu ya kutosha kujikwamua (kiakili na kimwili)
3. Nafasi ya yeye kutoka katika huo umaskini hajatokea ama haijawa upande wake.
Swali la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kwa nini mtu mmoja ni tajiri kuliko nchi na kwa nini watu wengine ni maskini kuliko hata umaskini wenyewe?
 
Kwa hiyo Mungu wako mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote anapenda watoto wachanga wafe kwa magonjwa yanayozuilika?

Unajua watu wangapi wanakufa kwa njaa kila dakika moja duniani hapa?
 
Nimefurahi kuona hujahitaji uwepo wa Mungu kuelezea hili.
 
Swali la Mungu yupo au la linatizamwa kwa ukosefu mkubwa.

Mungu ni roho, jitihada zote za kumtafuta kimwili huishia kikomo cha umwili.

Hivyo Mungu yupo kwasababu roho zipo.
Before you say "there is no God's character...".

Can you prove God exists?

Anyone can say Comrade Kipepe is God, and there is no character that prevents Comrade Kipepe's authority.

But does saying so prove that Comrade Kipepe exists as God?
 
That's is what I asked you, can you prove that God does not exist? This is a proposition "Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe" which needs proof.
Nimekupa proof ya entropy na proof ya suffering hapo juu.

Wewe kuuliza tena suala hili inaonesha hujaelewa nilichoandika.
 
Is God disorganized or the epitome of order? - He is neither.

We have answered all of these common questions and concerns multiple times: See Post #9
It has answers and links that addresses all your questions.

See thsi video series as well
 
Nimekupa proof ya entropy na proof ya suffering hapo juu.

Wewe kuuliza tena suala hili inaonesha hujaelewa nilichoandika.

Hujajibu maswali yangu kuhusiana na enthropy, najua vizuri entropy ni nini. Na hujajibu maswali yaliyotokana na proof yako ya pili.
 
Nimekupa proof ya entropy na proof ya suffering hapo juu.

Wewe kuuliza tena suala hili inaonesha hujaelewa nilichoandika.
Usiguess, onyesha ni wapi sijaelewa kutokana na maswali yangu.
 
Nimekupa proof ya entropy na proof ya suffering hapo juu.

Wewe kuuliza tena suala hili inaonesha hujaelewa nilichoandika.

Suffering cannot be a proof that God does not exist. Kwenye Biblia, amesema jinsi kwenye dunia watu watapata taabu kwa sababu mbalimbali. He created the world while knowing people are going to suffer - All Knowing God.
 
CV
Swali la Mungu yupo au la linatizamwa kwa ukosefu mkubwa.

Mungu ni roho, jitihada zote za kumtafuta kimwili huishia kikomo cha umwili.

Hivyo Mungu yupo kwasababu roho zipo.
 
Kwa maana hiyo kutokuwepo kwa usawa sio proof kuwa Mungu hayupo?
 
Mungu yupo lakini hawezi thibitika wala kuthibitishwa na sayansi. Sayansi ina ukomo wa maelezo katika yale tunayo ona, kugusa, kuhisi na fahamu zingine zote za kimwili. Mungu ni roho, sayansi ni apparent perception.

Mungu aliumba sheria na kanuni kadhaa za kuishi; kama alivyotupa uwezo wa kuchagua vivyo hivyo aliweka mazingira ya viumbe kuamua bila yeye kuingilia. Kwanini afanye hivyo? Sifahamu, labda kama yeye asivyotaka tumzonge katika maamuzi yake naye hivyo hataki kuingilia maamuzi na hatma yetu.

Wakati yeye yupo anatamalaki ulimwengu wa roho, wanadamu tunapambana na mafungate ya maisha na uwepo wetu hapa duniani.

Je, Mungu aliumba vitu au watu wote wawe sawa? Sidhani. Lakini nafahamu fika kila mtu na kiumbe kinayo nafasi ya kuamua kiwe katika nafasi ipi. Wenye nguvu za mwili wanaweza kuwa matajiri(Arnold Sweitchniger) pia wanaweza kuwa maskini. Wenye akili wanaweza kuwa matajiri(Bill Gates) pia wanaweza kuwa maskini (Nikola Tesla).

There's a fair chance in everything, either in good or bad.
 
Dah so touching [emoji2363][emoji2363] mi nitakuja na maswali lukuki tu. Maana kwa minajili hii kuna mengi ya kujifunza na kujiuliza
 
Swali la Mungu yupo au la linatizamwa kwa ukosefu mkubwa.

Mungu ni roho, jitihada zote za kumtafuta kimwili huishia kikomo cha umwili.

Hivyo Mungu yupo kwasababu roho zipo.
Roho ni nini? Unaweza kuthibitisha roho ipo na si hadithi ya kutungwa tu?
 
Is God disorganized or the epitome of order? - He is neither.

We have answered all of these common questions and concerns multiple times: See Post #9
It has answers and links that addresses all your questions.

See thsi video series as well
You are right in saying God is neither disorganized nor the epitome of order.

Because God does not exist.

Can you prove God exists?
 
Namshangaa huyu jamaa kuongelea usawa kama kigezo cha Mungu kutokuwepo. Yaani usawa kwake sijui ni nini, labda mfano kila kitu humu duniani kingekuwa nguruwe angeridhika!

Naungana na hoja yako "
Genesis 1: 31: God saw all that he made, and it was very good. - "And God saw every thing that he had made, and, behold, it was very good. And the evening and the morning were the sixth day."

That means, God created the world, and it was all good and satisfying to Him. So He did not want to add or do things that would make a man satisfied, but Him and only Him." Ref: God exist
 
Usiguess, onyesha ni wapi sijaelewa kutokana na maswali yangu.
Unauliza proof wakati nishakupa proof kwamba, kama Mungu ni the climax of perfection, basi the climax of perfection is nothingness, therefore God is nothingness, therefore God does not exist.

Pia nimekuonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuwepo pamoja na suffering.

Na kwa kuwa suffering ipo, Mungu huyo hayupo.

Hata hujauliza maswali ya maana kuhusu proofs zangu hizo mbili.

Ndiyo maana nasema hujanielewa.

Either that, au ni cognitive dissonance tu.

Pia, contradictions specific za kutoka kwenye Biblia hujazijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…