You are right in saying God is neither disorganized nor the epitome of order.
Because God does not exist.
Can you prove God exists?
Yes, here is a scientific proof: God exists
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are right in saying God is neither disorganized nor the epitome of order.
Because God does not exist.
Can you prove God exists?
Unauliza proof wakati nishakupa proof kwamba, kama Mu gu ni the climax of perfection, basi the climax of perfection is nothingness, therefire God is nothingness, therefore God does not exist.
Pia nimekuonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuwepo pamoja na suffering.
Na kwa kuwa suffering ipo, Mungu huyo hayupo.
Hata hujauliza maswali ya maana kuhusu proofs zangu hizo mbili.
Ndiyo maana nasema hujanieleea.
Either that, au ni cognitive dissonance tu.
Pia, contradictions specific za kutoka kwenye Biblia hujazijibu.

Unauliza proof wakati nishakupa proof kwamba, kama Mungu ni the climax of perfection, basi the climax of perfection is nothingness, therefore God is nothingness, therefore God does not exist.

Ndiyo maana nasema hujanielewa.

The Cleveland Clinic, one of the world's most respected hospital, has this to say about what makes the heart beat.That what makes the heart beating. That is the soul, and there's a Giver of it.
Naona watu wanajifunga bado.
Open-minded tu ndo anaweza kuwaza
Kwa undani hii hoja otherwise ni kupiga ngumi ukuta.
Watu wako kwenye vifungo vya mawazo hawataki kuruhusu new knowledge na kufikiri kwa undani
Nothingness = perfectionNimekuambia huwezi kuongelea entropy bila kuhusisha na system, nothingness umeitoa wapi?
Hawezi kuwepo pamoja na suffering? Kwa nini unamlimit Mungu kuexist pamoja na suffering? He is not limited by anything.
All-Knowing, All-Capable means all possibilities. God can exhibit in an infinite number of ways.
Links zimejibu wapi point by point points zote nilizoleta hapa?Kuhusiana na madai yako ya contaradictions nimekupa links kama ambavyo wewe umefanya.
Ona sasa jinsi unavyo jikanyaga! Hueleweki.Uwepo wa mateso/kuteseka ni "human phenomenon" kuna sayansi inayoelezea kwa mapana na marefu kuhusu "PAIN"
Hata hivyo kuteseka hakuhitaji Mungu aingilie ili pakome bali yote yapo ndani ya uwezo wa mwadamu. Kama ni njaa, tunao uwezo wa kuzalisha chakula. Kama ni magojwa tunazo dawa.
Uchungu/Mateso na kuteseka ni vitu vidogo kwa Mungu. Yeye anahangaika na mambo makubwa zaidi ya yale tufikiriayo. JOB 38-41 Imeandika kwa mapana zaidi.
Unaelewa sijauliza kuhusu Mungu kuingilia na nimeuliza kuhusu kwa nini Mungu aliumba ulimwengu ambao kuteseka kunaweza kuwepo in the first place?Uwepo wa mateso/kuteseka ni "human phenomenon" kuna sayansi inayoelezea kwa mapana na marefu kuhusu "PAIN"
Hata hivyo kuteseka hakuhitaji Mungu aingilie ili pakome bali yote yapo ndani ya uwezo wa mwadamu. Kama ni njaa, tunao uwezo wa kuzalisha chakula. Kama ni magojwa tunazo dawa.
Uchungu/Mateso na kuteseka ni vitu vidogo kwa Mungu. Yeye anahangaika na mambo makubwa zaidi ya yale tufikiriayo. JOB 38-41 Imeandika kwa mapana zaidi.
Ona sasa jinsi unavyo jikanyaga! Hueleweki.
Nothingness = perfection
If God = perfection, God = nothingness.
Kuhusu suffering, unakubali au unakataa logical consistency?
Huyu hata haelewi swali ni lipi. Hivyo hawezi kulijibu.Ona sasa jinsi unavyo jikanyaga! Hueleweki.
Unaelewa sijauliza kuhusu Mungu kuingilia na nimeuliza kuhusu kwa nini Mungu aliumba ulimwengu ambao kuteseka kunaweza kuwepo in the first place?
Unaelewa tofauti ya mawili hayo?
Physics.Umeitoa wapi hii "Nothingness = perfection"
Perfection si ukamilifu? Ni kivipi ukamilifu inakuwa ni kitu kisichokuwepo?