Unajiona mjanja na intellectual sana, kuanzisha mada ya kipumbavu ya kumkana Mungu huku ukimnukuu mpumbavu mwenzako Hawking, si ajabu hata huwa unajinyea kitandani na kusema mkeo au jirani yako kanya kumbe ni wewe mbumbumbu wa ma mbumbumbu .
Siku zote mjinga huwa hajijui.
Unaanzisha pathetic Topic, unaji contradict mwenyewe,eti Duniani ilitokana na nature, unadai Mungu hayupo,ila una amini ktk nature, tazama ulivyo fala,unaweza kutuonyesha nature yuko wapi,?unaamini nature isiyo onekana halafu huamini Mungu asiyeonekana,sasa which is which, una akili kweli wewe?
Unadhani sifa kumbe chizi.
Sent from my VFD 301 using
JamiiForums mobile app