mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
na mungu yupi ndo sahihi, kwasababu dini ni nyingiSina majibu, anafahamu yeye mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mungu yupi ndo sahihi, kwasababu dini ni nyingiSina majibu, anafahamu yeye mwenyewe.
bing bang kwa maelezo ya astronomers inaelezwa ni namna ambavyo ulimwengu ulianza, yani from single point then expanded and stretched to grow as large hadi hivi ilivyo sasa.Big Bang.
Big Bang ni nini?
Umeiandika Big Bang kama huelewi kuwa ni model, na ni model inayokuwa revised.bing bang kwa maelezo ya astronomers inaelezwa ni namna ambavyo ulimwengu ulianza, yani from single point then expanded and stretched to grow as large hadi hivi ilivyo sasa.
Swali kwako, Ile single point ilitokana na nini ?
Wakati nasubiri jibu lako, Ukipata mda angalia hii clip then tafakari kwa kina tafakari kwa kina, vunja hiyo limitation ya wewe kufikiri ( Najua umejilimit kufahamu mambo ) then jibu utakua nalo.
Mkuu unataka uthibishiwe mungu yupo Kwa mantiki ipi:Hii ni kauli ya imani, hujathibitisha dai lako.
Achilia mbali Mungu, hiyo 100% haipo katika chochote.
Kiimani hakuna uthibitisho, ukitaka uthibitisho huamini, ukiamini huhitaji uthibitisho.Mkuu unataka uthibishiwe mungu yupo Kwa mantiki ipi:
Kiimani
Philosophy
Science
"Elimu uliyonayo imekufanya kuwa mtumwa haswa" ( Utumwa wa kifikra )Kiimani hakuna uthibitisho, ukitaka uthibitisho huamini, ukiamini huhitaji uthibitisho.
Na imani unaweza kuamini chochote, ukweli au uongo. Na hiyo ni haki yako ya kikatiba. So kuangalia imani ni pointless.
Uthibitisho wa kiimani is an oxymoron.
Kifalsafa fanya uthibitisho wenye logical consistency usio na contradiction.
Sayansi pia inatumia falsafa hiyo hiyo ya logical consistency na kutokuwa na contradiction, weka na experimental proof/confirmation kumalizia sayansi.
Haya ni mahubiri ya imani yako."Elimu uliyonayo imekufanya kuwa mtumwa haswa" ( Utumwa wa kifikra )
Umeingia kwenye mfumo wao, Pole brother.
Lakini yote kwa yote MUDA ni mwalimu mzuri sana.
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته"For me this means that there is no possibility of a creator, because there is NO TIME for a CREATOR to have existed in."
Wrong ...
وعليكم السلام ...السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Akhy, ulikosekana jukwaani. Karibu tena.
Umeandika mambo mengi lakini umeonesha uwezo mdogo wa abstract thinking.Ona
We jamaa Kiranga ngoja nikufuate kwenye uzi wako.
Kama kawaida unikaange kama unavyowakaanga wengine, kwan nini bhanaa. Twende kazi.
Ona tena nakuja kuattack kwenye stronghold yako kabisa. Hapo kwenye the all time go to contradiction ya wewe: THE PROBLEM OF EVIL
Mfumo wowote ili uwepo ni lazima vinavyohusika na huo mfumo vijifunze kuishi vizuri na wahusika wengine. Yaani mouse ijue inatuma data vipi kwa CPU na monitor itimize jukumu lake la kuonesha ili mwishowe kompyuta iwepo kama kompyuta. Ikifanya vinginevyo itacorrupt na kupiga shoti kuanzia yenyewe na mwisho mfumo mzima uumie ujirekebishe au ufeli.
Hata kwetu binadamu, na viumbe wengine na hali na mazingira ni mfumo hai. Tupo kujifunza kuishi katika namna ambayo wote tutaifurahia hii paradiso ya hapa duniani.
Kuna makosa yanafanyika na kusababisha maumivu kwa wahusika binafsi na ulimwengu kwa ujumla. Lengo ni moja tu: tuweze kujifunza namna nzuri ya kuishi kwa furaha na kila kinachotuzunguka. So ujinga ni kosa mojawapo ambalo walio hatiani nalo hupitia maumivu kadha wa kadha ili wajifunze.
Ukichunguza kila hatua tunayopiga kuondoa shida, uovu, maumivu na kero mbalimbali yanazidi kuifanya dunia kuwa paradiso. Hapohapo inafundisha watu kuwa kitu kizuri (kuwa mkubwa) ni kuwa mtumishi wa watu.
Leo hii tumetatua changamoto kadhaa nazo zimeleta au kutuachia nyingine mpya. Mfano ukiwaleta watu wa miaka ya 47 wataona tupo 'paradiso' fulani maana njaa, magonjwa mengi yana tiba na ukitaka kufika Dar tokea Mwanza ni siku moja, Songea siku mbili na sio wiki kadhaa!!
Lakini mtu wa leo haioni hiyo paradiso anahangaika na 'evils' za ajali barabarani na eti kuburn calories!! Na tutafika tu pazuri zaidi. Imagine watu wote duniani wakaishi wakiamini hawahitaji kujikusanyia zaidi ya wanachohitaji. Unyonyaji ukakoma kabisa huoni tutakuwa 'paradiso'. Leo wanafundishwa hivyo kwa kuwepo 'evils' kama kisukari na presha. Mdogomdogo tutaelewa somo.
Ngoja niweke pointi ghafla ni kwamba, kadri tunavyojifunza kuishi na wenzetu vizuri na kutatua matatizo ya watu (kanuni ya utajiri) ndio tunazidi kuitengeneza paradiso. Tutaenda mbele hadi kufikia kudefine 'evils' kama ugumu wa kuvunja yai. Na litasolviwa tu ona hii meme;
View attachment 2720912
So hata hizi raha, au neutral za leo zitakuja kuonekana kama evils tu baadae. Na hata sio mbaya. Ni darasa tu tunapitia. Kungekuwa hamna shida/evil yoyote kabisa tungepata vipi kujifunza kuishi kwa faida ya wote. Kwa kusolve hizo shida?
By the way, asiyeexperience evil yoyote ni alokufa tu. Huyu hasaidii kutatua matatizo actively tena. Kwa maana ya hayupo hivyo hahangaiki kuvuta hewa, kula chakula bora wala kuwaza chochote na kuamua. Maana vyote ni usumbufu / evils. Ukichora graph na kuextrapolate evils zote utafikia hatua utaona ili kusiwe na 'matatizo' ulimwenguni inabidi kusiwe na uhai wenye akili hasaa hekima/masala😇. Ili isijulikane hata kuna mchambuzi anahangaika kuchambua.
Kwahiyo Mungu akaumba ulimwengu wenye 'evils'. Ni ili wahusika kwa hekima zao wajifunze wasolve wenyewe, ili waumiliki urithi wa ulimwengu wao ambao wao wenyewe wamehusika kwa maamuzi yao kuuumba hivyo utakavyokuwa. Paradiso.
Halazimiki kuumba mfumo wenye haya tunayoita 'mabaya".Kama Mungu halazimiki kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya, kwa sababu yeye ni Mungu na halazimiki kufuata sheria, yeye ndiye anaweka sheria, kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani na watu wana furaha siku zote bila kuhitaji kupitia mabaya popote, kwa wakati wowote?
Hujaelewa swali ama unalazimisha ajenda yako.Halazimiki kuumba mfumo wenye haya tunayoita 'mabaya".
Ila ameumba huu ulimwengu unaowezesha maisha kuwezekana. Maisha yanakuja kwa kuwepo uhai na mazingira yanayosapoti hiyo mifumo hai.
Hayo 'mabaya' ndio changamoto ambazo mifumo hai (uhai) inazitatua na ndio kuishi maisha.
Kumbuka zawadi kubwa ambayo Mungu ametupa ni huku kuwepo kwa kila kitu. Vitu tunavyoviishi sisi vipo kwa sababu vina muda. Na muda ni muendelezo wa mabadiliko. Sasa kutoka hali moja (iite hali tu 'mbaya' kiuwiano relatively) kwenda hali nyingine (iite hali nzuri) kwenda nyingine (iite nzuri zaidi ya ile ya pili) kuendelea hadi mwisho ndio muendelezo wa maisha bila mwisho.
Itafika mahala watu mtaelewa kwamba anhaaa, kumbe haya sio mabaya, huku ndio kuishi kwenyewe. Ndio zawadi yenyewe.
Unachojaribu kupendekeza, cha kwamba Mungu aumbe kila kitu kikiwa kimekamilika katika hatua yake ya mwisho. Unajua nini kitatokea chief? Hakutakuwa na muda na hivyo hakitakuwepo chochote.
Ujanja uliotumika ni mdog...... I mean ni sahili tu na usahili wake ndio utata wake. Ni kwamba aliweka tuanzie mahala fulani sifuri na tuelekee mahala fulani infinity.
Au kama hautaki kutumia infinity (kwamba ni ya kufikirika)sema hivi; tumeanzia mahala fulani sifuri % tunaelekea mahala fulani 100%. Ila kabla hatujafika 100 tutafika 50%. Ila kabla ya 50 ni 25%, vivyo hivyo 12.5%, 6.25%, 3.125%, 1.Xx, 0.Xx, 0.Xxx etc.
So hayo 'mabaya' ni hatua zisizo na mwisho zinazoruhusu maisha yawepo na yasiwe na mwisho. Hali yoyote iliyo kabla ya hali inayofuata inaweza kuitwa hali mbaya. Lakini isikuhuzunishe ndio uwepo wenyewe.