sele_hazard
Member
- Dec 7, 2022
- 53
- 80
Ufafanuzi dada..Angejiumba mwenyewe akawa kama binadam wengine. Au angejiumbua kwa kutumia satyansi, Hawkins mwenyewe ni ishara kuwa Mungu yupo. Kwa wenye kufikiri.
Ishara kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufafanuzi dada..Angejiumba mwenyewe akawa kama binadam wengine. Au angejiumbua kwa kutumia satyansi, Hawkins mwenyewe ni ishara kuwa Mungu yupo. Kwa wenye kufikiri.
Mungu alimleta na sasa akamtwaaIf you haven't read Hawking, and you are interested "A Brief History of Time: From The Big Bang To Black Holes" (attached) is a good start.
Logical non sequitur.Mtu mwenyewe mpaka anakufa alikuwa kama zombie, kitu kidogo sana kuhusu afya yake hajui mpaka ameparlyse then anakuja kuandika maujinga tumuelewe😅.
Kijana kujua kingereza usitafute loopholes na kujifanya unajua mambo mengi ,behind unaonekana zuzu kwa vile hauna elimu Wala factual informations za kuprove jambo ambalo huyo aliyetoa kashindwa kujitibu na kutafuta solution maana alikuwa kama zombie mpaka anakufa..😅
Big Bang ni mlipuko uliotokana na either joto ama msuguano. Na mlipuko wowote mkubwa ni deadly fire and. heat.Hii ni kauli ya imani, hujathibitisha Mungu yupo.
😅😅How comes are you arguing instead of learning?Logical non sequitur.
Mtu kutokujua jibu la swali lolote si uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Ni uthibitisho tu kwamba mtu hajui jibu la hilo swali.
Hii logical fallacy inaitwa Logical non sequitur.Big Bang ni mlipuko uliotokana na either joto ama msuguano. Na mlipuko wowote mkubwa ni deadly fire and. heat.
Inawezekanaje baada ya mlipuko wenye moto na joto kali kukaja kuibuka viumbe ambavyo haviwezi kumudu hata joto la nyuzi 90 vikaishi?
Theories za hawa wanasayansi hazina proof yeyote.
Mungu aliumba mfumo ambao umeweka uwiano ktk kila jambo. Mimi nimeona malaika na majini. Nao ni viumbe au hallusinations?
Mtu mwenyewe mpaka anakufa alikuwa kama zombie, kitu kidogo sana kuhusu afya yake hajui mpaka ameparlyse then anakuja kuandika maujinga tumuelewe[emoji28].
Kijana kujua kingereza usitafute loopholes na kujifanya unajua mambo mengi ,behind unaonekana zuzu kwa vile hauna elimu Wala factual informations za kuprove jambo ambalo huyo aliyetoa kashindwa kujitibu na kutafuta solution maana alikuwa kama zombie mpaka anakufa..[emoji28]
Sasa kama unaamini hayo magonjwa yameumbwa na Mungu basi yupo.!!Kwa hiyo paragraph ya kwanza pekee tayari unamrudisha Kiranga palepale kwenye hoja yake ya msingi
"Mungu muweza wa yote angeweza kuumba ulimwengu ambao hauna magonjwa/mauaji wala mabaya hayawezekani kutokea. Kutokea Kwa hayo yote ni uthibitisho kwamba huyo Mungu hayupo"
Sasa kama unaamini hayo magonjwa yameumbwa na Mungu basi yupo.!!
Baadhi ya magonjwa binadamu wanayetengeneza maabara ila wanafuata mfumo ule ule wa magonjwa yaliyokuwepo enzi za zamani , hata sasa hao binadamu wanaweza kutengeneza jua lao .
Swali je ni nan alitengeneza lile juu la asili na akaliwekea ratiba ya kuchomoza na kuzama?
Magonjwa yapo kwa vile ni mfumo wa Mungu aliyoweka hapa dunian, ukichana na haya tunaoamini yanatengenezwa maabara yapo ya kihistoria miaka kibao nyuma je haya yalitokea wapi?
Kama sio yeye niambie nan ana ratibu kuzama na kuchomoza kwa jua ?Wapi nmesema naamini magonjwa yameumbwa na Mungu!? Je kutojua aliyetengeneza jua na kuliwekea ratiba ya kuchomoza na kuzama inamthibitisha vipi mungu?
Mr Kiranga, Mungu hakulazimika kuumba. Mungu kuumba uhai ni zawadi tu ambayo ameitoa. Wanaoikubali wanachukua jukumu wanaishi katika muda, wanaokataa wanakufa.Nakuuliza Mungu analazimika kuumba ulimwengu wenye mabaya ili kuwa na ulimwengu wenye mifumo ambayo inasapoti uhai?
Unanijibu halazimiki kuumba mfumo wenye hayo tunayoyaita mabaya, ila hayo 'mabaya' ndio changamoto ambazo mifumo hai (uhai) inazitatua na ndio kuishi maisha.
Chukulia huo ni ukuaji wa nchi na mafunzo ya kuishi kama nchi. Katika ukuaji wa nchi na ustaarabu wa dunia nzima. Nchi na watu wake wanapitia hali ambazo zinawafundisha kuzitatua na kuufikia ustawi wake binafsi na wa dunia na ulimwengu kwa ujumla.Unaniambia hakulazimika, ila mauaji ya kimbari ya Rwanda ndiyo changamoto ambazo mifumo hai (uhai) unazitumia na ndio kuishi maisha.
Sasa, kama Mungu hakulazimika kuumba ulimwengu wenye mauaji ya kimbari ya Rwanda, kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mauaji hayo hayawezekani na mifumo hai inaendelea tu kuishi bila mauaji hayo ya kimbari?
Swali moja dogo unaliruka. Labda hulielewi vizuri. Swali hili linazaa mengine mengi.Mr Kiranga, Mungu hakulazimika kuumba. Mungu kuumba uhai ni zawadi tu ambayo ameitoa. Wanaoikubali wanachukua jukumu wanaishi katika muda, wanaokataa wanakufa.
Uhai unahitaji uwepo, uwepo unahitaji muda na muda unahitaji mabadiliko. Mabadiliko ndiyo yanayohitaji utofauti wa hali zinazowezekana kuwepo.
Narudia hakulazimika kuumba ulimwengu. Ila alipoamua kwamba nitaumba(Super duper Freely Willingly) basi hicho kililazimisha 'uwepo' uhitajike na ndio muda ukahitajika na ndio mabadiliko yakahitajika na ndio utofauti ukahitajika. Ndio hali hizo tunaziita uzuri na ubaya relatively.
Chukulia huo ni ukuaji wa nchi na mafunzo ya kuishi kama nchi. Katika ukuaji wa nchi na ustaarabu wa dunia nzima. Nchi na watu wake wanapitia hali ambazo zinawafundisha kuzitatua na kuufikia ustawi wake binafsi na wa dunia na ulimwengu kwa ujumla.
Labda Kiranga chukulia ukuaji wa mtoto. Je utoto na mambo yake ni mabaya ambayo hayatakiwi kuwepo? Yaani Mungu muweza yote ungemuamini kama tu ataumba mtu akiwa mzima tu labda wa miaka 32 tu. Na abakie hapohapo ndio utafurahi? Maana utoto una mabaya mengi;
Kubanwa mbavu kutoka nje
Kuumizwa na hewa oksijen inapotanua mapafu
Kuumizwa na misindano
Kutembelea magoti yanachubuka
Kutokujua mengi mara ujikate mara ujin'gate
Utasa na ugumba (mtoto hazai ujue)....
...
... Uzee nao una shida nyingi;
Kuna kushindwa kukojoa
Misuli kutokuwa na nguvu.
Mifupa na mvi
Udhaifu wa mishipa na viungo vya mwili.
Sasaa; mtu wa miaka 80 labda ni taabu, na wa miaka mitano pia ni taabu so unaweza kuargue watu wote wawe na miaka 32. Lakini ukiweza kuargue hivyo sasa itabidi huyo wa 32 asibadilike, so asiongezeke muda wala kupungua. Na ili kusiwe na mabadiliko ya hali na basi na muda (usiende) usiwepo dunia yote. Kwa kufanya hivyo my friend unakuwa umeuua uhai na uwepo as we know it!
Sasa ninalijibu kila wakati na jibu ni hili hapa👇Je, Mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na ubaya, maumivu etc, au hakuweza?
Chukulia huu mfano: mtoto akiambiwa 'we mchumba wangu' anaumia na analia. Mtu mzima analilia kuolewa na kuoa. Akikosa mchumba analia.Kuhusu utoto, Mungu ameshindwa kuumba ulimwengu ambao una watu wakapitia utoto bila ya kupitia mabaya?
Hujajibu swali.Sasa ninalijibu kila wakati na jibu ni hili hapa👇
Mungu angeweza kuamua kuumba, au kutoumba.
Na akishaumba anaweza kuamua kuweka humo viumbe wenye hekima na wasio na hekima. Wenye kuchagua na wasiochagua. Wote akawapa akili, wengine.... sorry vingine asivipe akili vyote anaweza na amefanya.
Sasa katika viumbe yule mwenye akili na hekima ndiyo ataamua kutenganisha vile anavyoona yeye vinafaa na atavyoona havifai, vizuri na vibaya.
Mwisho mwishoni tofauti zote hizi zipo kwako wewe mwenye kutumia akili kuamua kuwa huu ni UBAYA huu ni UZURI kwa hekima zako mwenyewe.
Kiranga hiyo ni kitu rahisi saaaaaana kufanya.Hujajibu swali.
Je, Mungu aliwea kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya wala maumivu?
Aliweza au hakuweza?
Kwa mujibu wako. Kati ya Mungu na mtoto, nani alianza kuwapo?Chukulia huu mfano: mtoto akiambiwa 'we mchumba wangu' anaumia na analia. Mtu mzima analilia kuolewa na kuoa. Akikosa mchumba analia.
Je Mungu kwa kumfata mtoto aumbe ulimwengu ambao uchumba na ndoa haviwezekani kabisa?
Au Mungu kwa kumfuata mtu mzima aumbe ulimwengu ambao kila kiumbe mtoto kwa mtu mzima hadi mawe na miti iwe na wenza wake siku zote miaka yote?
Je hiyo siyo jehanaamu kwa wale timu KATAA NDOA?
Huoni kama ni akili kubwa kuweka uwezekano wa yote ili kila mmoja ajichagulie mazuri yake na mabaya yake kwa wakati wake na mwisho kwa yote aweze kuishi maisha?
MunguKwa mujibu wako. Kati ya Mungu na mtoto, nani alianza kuwapo?