Stephen Nyerere kugombaniwa na wanawake: Mke wako unamfundisha nini???

Stephen Nyerere kugombaniwa na wanawake: Mke wako unamfundisha nini???

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mkuu kamayangu
Nasoma mpekuzi blog siamini

Nijuavyo uko na familia na ndoa Yako
Hawa mabinti wawili wanaokugombania nini jipya umekikosa kwa huyu dada shemeji. Jamani aanze kuzalilishwa mitandaoni

Kuweni makini ndoa kuirudisha ni ngumusana kuliko kuitafuta ndoa mwaya

Wazo tu kama br
 
Unajua kunawakati ukimwona mkeo anakunyima unaendakumtukuza Mungu tu
 
Kumbuka ndoa na iheshimiwe na watu wote wakiwemo wasanii wa bongo movie
 
Umesikika kaka Pdidy maana siku hizi unamwaga Maneno ya busara Sana
 
Last edited by a moderator:
Umesikika kaka Pdidy maana siku hizi unamwaga Maneno ya busara Sana

Nimeumiansana mwanandoa anapoanguka kwenye ndoa haasa kwa binti nzuri ninaemjua Naumiasana
 
Last edited by a moderator:
Sasa hako kasutuli wanakagombea nini?kweli umarufu mzigo wa mwiba
 
Back
Top Bottom