PreGE2025 Stephen Wasira: Asiyetii Sheria na Katiba huyo ni Gaidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kauli mbovu kabisa kuwahi zungumzwa na kiongozi wa chama chetu. Alipaswa kujibu hoja badala ya kukimbilia kuwapa wapinzani jina baya
Ni aibu sana kwa mwansiasa mkongwe, wa umri wake kutoa kauli ya aina hiyo..!
 
Hao ndio wazee wenye kutembea ni mikosi yao muda wote, kila anapokanyaga na mikosi inakanyaga,yaani umri unaohitaji Hekima mwenzetu Stephen Wasirra ndio kwanza anaoza kimaadili.Yaani unatunga Sheria kandamizi Alafu unataka wananchi wazifuate?sawa muda utaongea,Wasira asije akasema nilishinikizwa,Mzee BUTIKU yupo ,Mzee wangu WARIOBA Yuko lkn wamegoma kutumika kishenzi shenzi,wameamua kusimamia UKWELI WA MUNGU.
 
Katiba ya ccm ilivunjwa na ccm wenyewe.
Ugaidi wa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…