PreGE2025 Stephen Wasira: Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitaahirisha uchaguzi ng'o

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanachezeaaa pesa zetuuu
 
Mzee kachoka sana ,ayasemayo wenda ukimuuliza anaweza kukana kwamba hakuyasema
 
senile dementia
 
Sijaelewa, uchaguzi unaweza kuahirishwa na chama cha siasa? CCM? Chadema?
 
Kauli na matendo ya Wasira yanadhihirisha ukwel8 kuwa kama hukuwahi kuwa na hekima ukiwa kijana, huwezi kuwa nayo wakati wa uzee.

Wasira is a hopeless old man who has no meaning to our nation.
Nasikitika sana kwamba huyu mzee anaipoteza hii fursa adhimu sana aliyopewa, si kujijengea heshima tu; bali kuweka historia mpya katika kuiokoa nchii hii kwenye janga linaloikabili hivi sasa.
 
Kumbe tume ya uchaguzi 2025 chama cha Mapinduzi. Sasa mzee vipi tukuachie nchi na wajukuu zako.
 
Hiyo chimpanzee nayo haina jipya bado ina mawazo ya kale sana
 
Kauli na matendo ya Wasira yanadhihirisha ukwel8 kuwa kama hukuwahi kuwa na hekima ukiwa kijana, huwezi kuwa nayo wakati wa uzee.

Wasira is a hopeless old man who has no meaning to our nation.
Wasira ni kijana wa zamani aliye kuwa mlevi wa gongo ,kazeeka na ulevi wake ni wakupuuzwa tuu huyo.
 
No Reform No Election.
 
tumefanya kazi yetu vizuri halafu unatuambia tuahirishe, ahirisha wewe mambo yako sisi hatuwezi ng'o,
Yani hapo ingekuwepo emoji ya NG'O, ningeitumia aisee.

...kama msisitizo
Uchaguzi haotoaihirishwa Ng'o!
 
Ni kweli kabisa!

Lakini kama move NRN ni ya chadema sawa!lakini kama ni ya wenye Dola waliotupa CCM then tujiandae kuzika kama tukishupaza shingo!!

RIP in Advance comrade!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…