PreGE2025 Stephen Wasira: Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitaahirisha uchaguzi ng'o

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Buda kajisemea ukweli kuwa Chama Cha Mapinduzi hakitaahirisha uchaguzi ng'o. Usemi huu unatufahamisha kuwa tume ya uchaguzi iko chini yao, CCM ndiyo inaidhibiti.
kwani hujui..CCM ndo imeshika dola vyote unaviona nchini bosi wao ni CCM..CCM inaweza kuamua hili liwe hv, hili lisiwe hv ndo maana mimi napendekeza Kusiwepo na Vyama vya siasa nchini au Kibaki chama kimoja kwani uwepo wa vyama vyingi ni hasara kwa taifa letu...najua jambo hilo ni gumu lakini ndo muhimu zaidi.
 
Babu umerudi? Mkapa hajambo? Watanzania tunakukaribisha. Tuna breckfast ya kila siku ina afya. Inaitwa

No Reforms No Election na kitafunio ni Freeeeee Antipas Lissu.
 
Kumbe ni CCM ndio inaamua UCHAGUZI na sio tume Hongera ndugu Wasira kwa kusuport NO ELECTION NO REFORMS sasa mnaosema tushiriki uchaguzi mna Akili TIMAMU kabisa nyie,Hii CCM ambayo haitaki mabadiliko yoyote ni ya kubembelezana nayo kweli,kila kitu ameteua Rais,kesho mtasema watanzania ni kama wafu tu.HAIKUBALIKI KAMWE NA KWA NAMNA YOYOTE ILE.NO REFORMS NO ELECTION ndio dawa ya PEKEE kurudisha mamlaka iliyopokwa toka kwa wananchi.
 
Na sisi hatuahirishi NO REFORMS NO ELECTION ng'o ni aluta continue Wasira rafiki yangu afahamu hivyo.
 

Zee la miska 80 bafo lina kitambi..
!!?
 
NO REFORMS, NO ELECTION!
 
Babu hajuhi yanayoendelea huko nje ya mipaka, watu kama hawa ndo watafanya tujute kuwekeza chochote TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…