Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hayo maneno akamueleze mwenyekiti wake asituletee kelele. Hovyo sana hawa ccmKatika kampeni zinazoendelea, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, alizungumzia kwa msisitizo Sera ya maji, akitoa kauli hiyo mbele ya wananchi wa Musoma Mjini akisema "Ni jambo la aibu kwamba tunaishi na maji lakini hatuna maji"