Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wasira ameyasema hayo leo Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika kata ya Chibe, mkoani Shinyanga, ambapo ametaka ofisi za Chama ziwe kimbilio la wananchi kufikisha kero zao.