Haya ndio madhara ya kuchukua mizee ambayo haikubali kupumzika inataka kula mpaka likiingia kaburini. Yani serikali ina machineries zake ambazo zinadeal na matatizo ya wananchi. Ukipigwa unaenda polisi, ukidhulumiwa ardhi unaenda mabaraza ya ardhi kuanzia kata, ukitaka ufafanuzi wa bei za mafuta unaenda EWIURA, sasa hawa CCM wapo kwenye mfumo upi wa serikali? Yani wwnasiasa bana CCM must go.