Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kama ameshindwa kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja, mengine yote aliyofanya ni bure.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Stephen Wasira amesema uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefanya mambo makubwa ambayo watu wengi hasa wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya kutokana na jinsia.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wasira ameyasema hayo hii leo Machi 17, 2025 wakati wa mkutano wa ndani wa viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jijini Mbeya baada ya mapokezi yake yenye lengo la kufanya na ziara mkoani Mbeya mpaka Machi 20, 2025.
Sentensi ya kwanza tu umeandika uwongo, sijaendelea kusoma ya piliMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Stephen Wasira amesema uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefanya mambo makubwa ambayo watu wengi hasa wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya kutokana na jinsia.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wasira ameyasema hayo hii leo Machi 17, 2025 wakati wa mkutano wa ndani wa viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jijini Mbeya baada ya mapokezi yake yenye lengo la kufanya na ziara mkoani Mbeya mpaka Machi 20, 2025.
Soma ukweli hapo juuSentensi ya kwanza tu umeandika uwongo, sijaendelea kusoma ya pili
Umemaliza yote. Gendaeka amepuyanga sana nafikiri sababu ya uzee hata amesahau jinsia yake.Uzi watu wanauruka km hawauoni, kinachonishangaaza hutokuta hata siku moja kiongozi mwanaume akasimama akasema wanaume tumeweza au akainuka akasema wanaume tunaweza au akasimama akasema wanaume tusipowezeshwa tunaweza mara wanaume hivi na hivi jamani nani km mwanaume nauliza tena wanaume nani km Baba eeh sijui nani km Baba na uforonto mwingine km huo ila wanawake sasa daah ndio maana wakawekwa kwenye special group.
Mikopo ya 10% ya Halmashauri kwa Vijana, Wanawake na Watu Wenye Ulemavu.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, Wazee, na Watoto.
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Kila angle lazima wanawake wachomekwe sababu ni special group but now wanaji=÷/×_< sanaa yaan ogopa sana.
Hukuti sehemu pameandikwa Wanaume kwenye special group.
Mwanamke yupo ndani ya special group ndio maana kila akiongea ni kuelezea mwanamke hivi mwanamke vile mwanamke kikawa hivi mwanamke na hivi na vile Mimi mwanamke nimefanya hivi na hivi Mimi mwanamke nikawa hivi na hivi.
Huwezi kukuta mwanaume anaongea mimi ni mwanaume ila nimefanya hivi na vile kwa kweli mimi ni mwanaume ila nimejenga daraja lile pale ingawa mimi ni mwanaume ila nimetoa fedha kujenga kivuko kile pale yaan kutanguliza uanamume mbele km price tag sababu hizo ni tabia za Wanawake na wanaume sio sehemu ya kundi maalum hata akiwa mlemavu bado hapewi ule u-special sababu ni mwanaume.
Labda wanaume suruali wa huko CCM ndiyo hawaamini.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Stephen Wasira amesema uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefanya mambo makubwa ambayo watu wengi hasa wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya kutokana na jinsia.