Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Ras Kisuse, wewe ni Wassira mwenyewe unajipigia debe. This thread smells Bob Marley...... Wassira no BOGAS, hana mvuto wa uongozi kuanzia tabia, sura na hata uvaaji suti. SOKWE awe presdaa? nitahama nchi.
 
Mapovu ya nini? Muulize Wassira ilikuwaje Nyerere akampotezea baada ya kuendekeza Ukabila kwenye Kiwanda cha Mutex? Barua aliyomuandikia GM wa Mutex ipo!!!! Soon itawekwa hadharani .. Wassira ni Mkabila, Mdini toka zamani za kale...

Acha uongo pumbavu ww japo najua wewe Nili babu lakin nilipumbavu
Unaongea umbea tu
 
Kalipa wakulima
ni muadilifu,
anachapa kazi,
afya yake ni fit kama rashid matumla
ni zaid ya mzalendo tz.
Tumfikirie urais 2015 plz
 
Kalipa wakulima
ni muadilifu,
anachapa kazi,
afya yake ni fit kama rashid matumla
ni zaid ya mzalendo tz.
Tumfikirie urais 2015 plz
Sijui kwa nini JF inaruhusu watu kujaza server bila sababu za msing..... okei tumekusikia asante
 

View attachment 227202View attachment 227203View attachment 227204
 

anafaa kuwa rais
 
Mkuu umesahau kuwa alishakaa kwenye nyumba ya serikali bure bila kulipa kodi huku akiwa siyo waziri wala mtendaji wa wizara husika, pengine ksma PAC wasingeligundua hili angeendelea kula bata na wala asingehamishwa wizara, binafsi soini asiye na kashfa CCM labda leta mada nyingine.
 
Wassira ni kiongozi mwenye busara, mpenda amani,msuluhishi (mpatanishi) na mwenye upeo wa hali ya juu sana!
 
Kwa thread nyepesi kama hii hata hero hupewi
 
Kushindwa kuvaa vizuri kwa halaiki ni kashfa kubwa tena ya kitoto.
 
Haya kaka tumekusoma yaelekea unamjua wasiri tu na hujapata nafasi ya kumfaham lowasa vizuri
Hajpo ndio mwisho wako.
 


Humjui Wassira. Na kama humjui mtu (kama hukufanya makusudi) usijipinde kuandika au tangaza maslahi yako kwanza. Ni kweli jambo moja tunakubaliana. Wassira ukilinganisha na wale wengine yeye ni nafuu. Ila haya yakumbukwe na kuwekwa wazi:

1. Amehama vyama kadhaa ikiwemo kuanzisha chama chake cha siasa ambacho hata hakikuwa na ofisi.
2. Kesi yake na Warioba, mahakama ilimtia kabali kwa kutoa rushwa
3. Ni mkali na mgomvi. Tukio la kumfukuza kama swala na kumpiga Mhariri wa gazeti la Dira pale MAELEZO mchana kweupe ni ushahidi ana matatizo.
4. Amewahi hata kuwashtaki bintize. Sijui hili lina uzito gani lakini kwa kiongozi autakae Urais mmmh!
5. Aliwahi kumsumbua mwanamke mmoja nesi wa hospitali ya Manyamanyama hadi nesi huyo akaamua kulalamika katika vyombo vya habari.
Sitaki kusema Wassira hafai, la hasha, ila ni vyema haya machache yakajulikana kwa huyo Rais ajaye!
 

kashfa yake akiwa GEITA kama katibu wa ccm aliiba taili gari ya serikali hadharani huyu ni kibaka tu.

alichukuwa bilion 1.6 za maji ya mji mdogo wa bunda akishirikiana mkandarasi ya nyakirang`ani hadi sasa hakuna maji bunda na nyumba aliyojenga kwa fedha za watu wa bunda anaiuza kuogopa aibu na kashfa ya wizi huu.
 
Kwani wewe ambaye ni kada unayeinukia una kashfa? mbona unakomaa kumsifia mwenzako ambaye unamwelezea kama mkongwe?
 
Mkongwe huyu katika siasa asiye na kashfa yoyote ni kiongozi bora na mwenye focus kwa taifa...msitegee mh rais na kamati yake kumkata jina huyu kada makini na mkongwe ni matakwa ya chama kupata kiongozi mwenye dhamira ya dhati na mwenye kulifahamu taifa hili kwa sasa..wasira tunakuomba chukua fomu ya kugombea urais
 
Kwa uteuzi wa hivi karibuni wa MaDC atakuwa na kashfa moja kubwa ndani ya CCM na Serikali. Nayo ni sura mbaya kuliko kitu chochote. Hii inatosha kupigwa chini kwa uteuzi kama ule wa DC.
 
Kwa uteuzi wa hivi karibuni wa MaDC atakuwa na kashfa moja kubwa ndani ya CCM na Serikali. Nayo ni sura mbaya kuliko kitu chochote. Hii inatosha kupigwa chini kwa uteuzi kama ule wa DC.

Acha mapovu wewe kwani tunaenda kuchagua miss tanzania au mchapakaz na mzalendo atakaetuletea msendeleo
 
mtoa post nimeanza kukukfatilia kwa makini sana tangu umeanza kumfatilia mh WASIRA sijaona umebainisha uovu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…