Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Wasira jiandae kuchukua Nchi umekuwa Mtu maarufu na muhimu sana kwa Tanzania hii.
 
Jinsi siku zinavyozidi kwenda ndivyo jinsi kasi ya siasa ya mzee huyu wasira inavyozidi kushika kasi mzee huyu sasa amekuwa tishio ndani ya chama na nje ya chama kutokana na kuzungumziwa kwa mapana wahenga walisema mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.. ni kweli huyu mzee kwa sasa amekuwa akipasua akili za watu kwa umakini wake katika kazi.

Katika suala la urais idadi ya watu wanaomuunga mkono inazidi kuongezeka siku hadi siku ukitembelea group lake la facebuk lenye wafuasi zaidi ya 13000 ambao wanafuatilia na kumuunga mkono huyu mzee hivi majuzi akiwa na mkutano jijini mwanza kuhusiana na mambo ya kilimo cha pamba baadhi ya wadau walionesha nia ya kumsapot na kumuomba achukue fomu ya urais.
 
Watanzania bado sana kufikia uwezo wa kupuuza muonekano wa mtu katika maamuzi yetu, muenekano wa wasira unamuangusha sana.
 
Wasira aache kujipa tumaini lisolokuwepo. Najua baadhi ya watangaza nia lengo sio u rais bali kujihakikishia nafasi bora kwenye baraza lijalo
 
2Q==

mr.president!!!!
 
hatakwetu huku rukwa na mikoa ya jirani tunamuunga mkono MH WASIRA kwa uhodari na uadilifu alio nao
 
Viongozi wa dini na viongozi wa mila wamemtabiliwa makubwa wassira katika uchaguzi ujao
 
Sijui kama hao ndo wanaweza kumpa nafasi ya kugombea nafasi hiyo hizo ni mbwembwe tu kuchombeza mambo, ila ki ukweli Tyson bado sana
 
Back
Top Bottom