Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

awe na kashfa asiwe na kashfa , hoja ni lini ataenda kucheza na wajukuu......? anataka kufia kazini kwani ye ni mwanajeshi....? awe na aibu watanzania wako wengi na wenye uwezo lini watapata hizo nafasi anazozing'ang'ania.....? JONGWEE NO 2
 
Steven Wassira ambaye awali alikuwa Naibu Waziri Kilimo alipata fursa ya kukaa moja ya nyumba za umma zilizo chini ya Wizara hiyo. Lakini hata baada ya kuondolewa katika Wizara hiyo ameendelea kukaa katika nyumba hizo hata baada ya kuandikiwa barua ikimuomba kuondoka ili kupisha watendaji wengine wa Wizara hiyo.

Hii ni kashfa, kutumia nafasi yake kisiasa kurahisisha maisha yake
 
Niko zangu GOMBE mimi nafanya utalii wa ndani, hayo mabishano yenu kuhusu Wasira mi leo sichangii...
 

Wewe Bibi Kilembwe mbona unadanganya wewe.
 
nimesikiliza sana,nimejaribu kupekua wasifu wakila mtangaza nia Kwa wanaogombea urais oktoba 2015 kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini mpaka sasa naona changamoto ni Nyingi sana kwa wote kutokana na uzalendo wa Kila moja kwenye nchi hii ikiwemo historia zinazowazunguka. niliyemwona angalau anaweza kusimamia sera na Itikadi za kujali maslahi ya Taifa hili labda ni Mhe Stephen Wasira mbunge wa sasa wa Jimbo la Bunda. Yeye pamoja na kile kinachoonekana kutokuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM, Bado ana uzalendo wa kweli, sio mtu mwenye kizungukwa na tuhuma nyingi na anaweza kuzisimamia fikra za Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa!!.

mtizamo wangu binafsi
 
Huo kweli ni mtazamo wako binafsi.....yaani kuna watu wanaweza kumfikiria hata yeye??
 
Kwani kuna wassira wangap bungeni? Kama ni huyu m1 nimjuae ndugu jitoe kwny hyo kampeni
 
Habarini wadau, ningependa kuwaalika wale wote wenye mapenzi ya dhati na kiongozi makini mzee wetu Wasira waje hapa tuone ni kwa namna gani tutamuunga mkono katika mbio za urais mwaka huu 2015. Tukiachana na ushabiki mzee anaweza tena sana tu. Rejea speech zake zote au sikiliza kwa makini midahalo mbalimbali aliyowahi kushiriki hasa ktk kipindi cha bunge la katiba utagundua mzee huyu ni hazina kwa taifa letu. Karibuni:msela:
 
Mzee wassira ni tunu kwa taifa letu,.ila uraisi hapana kwakweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…