Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Ujinga wako peleka huko manyama nyama na kunzugu Bunda

watanzania ndio mmekuwa wapumbavu kiasi hiki??
Kwahiyo nyie ni miongoni mwa wajinga wachache wanaopenda viongozi wachafu na mafisadi?
au nyie mnashabikia viongozi Artificiality na comedian ambao wanajifanya wasafi majukwaani halafu katika uhalisia ni wezi na wanafiki?
michango yenu sijaielewa mko katika mtazamo gani.

amkeni msaidie Nchi hii tupate viongozi wanaofaa.
 
Huyu mzee anafaa kuwa Rais wa Tanzania. Naamini ndiye pekee kama kweli tunataka CCM iendelee kushika madaraka. Zaidi ya hapo hakuna mtu pale Lumumba.

labda akawe raisi wa wale viumbe wa mikumi, tarangire, serengeti na ngorongoro
 

labda akawe raisi wa wale viumbe wa mikumi, tarangire, serengeti na ngorongoro
 
Wassira wakati anatumikia halmashauri aliwahi kusimamishwa kazi kwa wizi wa matairi ya gari za serikali
 


anafaa kuwa rais namkubali sana.
 
Ana roho mbaya kama sura yake.... umeweka picha aliyo jipaka poda? Weka ile original. .... kwanza hata ubunge ananyang'anywa na Bulaya.... bora matonya kuliko huyu jamaa lenye sura mbaya, katili, na .....pu....
Chuki zako hazisaidii kitu, Wassira anatosha kuwa Rais 2015 na bado wewe utapiga makofi tu.
 
Wassira ni mmoja kati ya waanzilishi wa CHADEMA!!na alimkimbia the late JK NYERERE...nchini
 
Wassira wakati anatumikia halmashauri aliwahi kusimamishwa kazi kwa wizi wa matairi ya gari za serikali

acha ujinga ww. wassira ni jembeeeeeeeeeeeee ni muadilifu anafaa sana tumpe nchi awanyoshe mafisadiiiiiiiiii
 
acha ujinga ww. wassira ni jembeeeeeeeeeeeee ni muadilifu anafaa sana tumpe nchi awanyoshe mafisadiiiiiiiiii

Fuatilia wewe,wassira alisimamishwa kazi kwa muda wa miezi sita kwa wizi wa matairi ya gari za serikali,
 

Matatizo tunayoya face sasa hivi watanzania nikutokuwa na visio, ubunifu nakutokuwa ambitious.

Nafikiri kutokuwa mchafu kwa dunia ya sasa hivi haitoshi, lazima mtu awe na aggressive, ambitious, mbabe na uthubutu!

Ukiangalia kwenye system yote kwa sasa ya ccm hakuna mtu kama huyo.

Wasira is no where! Lowassa the same. Siasa zao nizilezile za "desturi zetu, kawaida yetu watanzsnia, hatuja lelewa hivyo, etc,. Yaani business as usual.

Inatakiwa mtu ambaye anaweza kuchallenge taratibu na sheria zilizopo kama hazifanyi kazi. Magufuli kidogo anaonyesha hizo elements lakini ni mnafiki. We need a dictator full stop.
 
Wassira ni mmoja kati ya waanzilishi wa CHADEMA!!na alimkimbia the late JK NYERERE...nchini

utaongea sana lakin ukweli utabaki kuwa palepale. wassira kiboko ya mafisadi na ni msafiiii hana kashfa. anafaa kuiongoza nchii.

 
At this point in time tunaongelea kilimo kwanza cha jembe lamkono cha enzi za nyerere? We need to talk about industrial economy nasio kilimo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…