Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Tony, tofautisha maana ya Nchi na Chama cha siasa na shughuli zake zinavyoendeshwa.
Ukiwa na mtazao huo finyu walioko upinzani leo asilimia kubwa walianza wapi? nadhani hapo ukijitafakari utaona jinsi usivyotumia neno uhaini na maana yake halisi.

Hapa Maslahi ya nchi na Wananchi yanatazamwa kwa utumishi wa Mwanasiasa.

Wasira deserves credit for being faithful and royal to his country, since the first Mwalimu Nyerere Regime to the forth Regime of Jakaya Kikwete.
Wasra ana sifa moja kubwa ya kulamba viatu - boot-licker - yaani anajikomba si kawaida, barakala la kutupwa, mpenda madaraka na mfitini ana😛opcorn:
 
Mtoa mada na wote wanaosema sokwe hapendi rushwa hawaelewi maana ya rushwa. Huyu sokwe ni mshauri mkuu wa mkuu wa kaya. Mkuu wa kaya amekosea katika mengi. Kukosea maamuzi na kutumbukiza taifa kwenye hasara kubwa kama ya shirika la reli na lile la ndege ni rushwa na ufisadi wa jamii ya juu. Sokwe ndio aliyeshauri lile badiliko la mkuu wa kaya hadi akenda BMK kupelekwa katiba ya Chama cha mafisadi kwa mdomo. Sokwe ndio anayetuhumiwa kwa ubabe uliokithiri katika taasisi zote alizowahi kufanyia kazi. Sokwe na Rushwa ni Ushauri wake kwa Mkuu wa kaya.
nilichoona hapa ni matusi tu hakuna Hoja, Wassira sio mshauri wa Rais juu ya kununua Ndege na kubinafsisha reli, Yeye ni Waziri kamili na Portifolio yake haisemi kuwa yeye ni mshauri wa mambo ya rushwa, tujiridhishe kuweka wewe ni miongoni mwa wasiojua vizuri majukumu ya ofisi ya Rais na majukumu ya Mawaziri. Jipange upya.
Wassira is innocent in every corner, hajawahi kuwa mbabe kwenye kazi yake popote pale alipokuwa kama Mtumishi na Waziri.

naona kwajinsi unavyoandika imekupa wakati magumu sana kutafuta mabaya ya huyu Mtarajiwa. Pole lakini imeandika "Katika Israel hawezi kukosekana mwenye Haki"

Huyo ndiyo Wassira, get to know him.
 
Mkimpa wasira kugombea basi Upinzani unachukua nchi bila jasho.kama CCM inataka kufanya makosa kama walivyofanya Wakenya enzi ya Moi fanyeni sasa, maana mtakuwa mmejiandalia kuwa chama kikuu cha Upinzani.
Nenda kamwambie Dr Slaa maneno haya uone atakavyokutimua ofisini kwake. Anajua kwenye jukwaa shughuli yake ilivyo, uwezo na umakini wa Stephen Wasira.
 
Huyu bwana ndiye aliyemkataza wapinzani wasiende kana kwamba Ikulunni ya sisiem. Hao wanaofangilia hawamjuo kabisa. Hana sifa ya uongozi ni oppotunist mkubwa sana.
 
Huyu bwana ndiye aliyemkataza wapinzani wasiende kana kwamba Ikulunni ya sisiem. Hao wanaofangilia hawamjuo kabisa. Hana sifa ya uongozi ni oppotunist mkubwa sana.
Hivi Nyie Vijana mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki?
Hivi majuzi mlikuwa mlikuwa mnalalamika Nchi kukosa Viongozi makini ndio maana wanapatikana hata mawaziri wanaovunja miiko na maadili ya uongozi.
Sasa yupo mtu safi na sifa anazo mnaanza kumsema vibaya,kulikoni nyie watanzania?
Jaribuni kuwa serious na mambo ya muhimu kwa Nchi yetu, Wassira sio kiongozi wa kubezwa kwa namna mnavyofanya. anaheshimika sana na ni mtu safi.

Nitajie Viongozi bora na wasafi katika serikali hii ya Kikwete leo, Huyu Mhe. anayo nafasi ya juu kabisa katika orodha hiyo.
 
Wasra ana sifa moja kubwa ya kulamba viatu - boot-licker - yaani anajikomba si kawaida, barakala la kutupwa, mpenda madaraka na mfitini ana😛opcorn:
Wewe unaonekana hujitambui, Watu wa aina yake hawana hulka ya kujipendekeza, uwezo wake na uadilifu wake ndivyo vimemfikisha katika level hiyo na bado atakwenda Level ya juu zaidi 2015.
 
tuliambiwa hivi hivi juu ya Nkapa kabla...... bla
 
tanzania na watanzania kwa ujumla twamuhitaji mh. wassira kiboko wa mafisadi tz.

Wasira_pic_2012.jpg

kwani wewe nawe sinimmoja wa wale wanyama
 
nilichoona hapa ni matusi tu hakuna Hoja, Wassira sio mshauri wa Rais juu ya kununua Ndege na kubinafsisha reli, Yeye ni Waziri kamili na Portifolio yake haisemi kuwa yeye ni mshauri wa mambo ya rushwa, tujiridhishe kuweka wewe ni miongoni mwa wasiojua vizuri majukumu ya ofisi ya Rais na majukumu ya Mawaziri. Jipange upya.
Wassira is innocent in every corner, hajawahi kuwa mbabe kwenye kazi yake popote pale alipokuwa kama Mtumishi na Waziri.

naona kwajinsi unavyoandika imekupa wakati magumu sana kutafuta mabaya ya huyu Mtarajiwa. Pole lakini imeandika "Katika Israel hawezi kukosekana mwenye Haki"

Huyo ndiyo Wassira, get to know him.

Ikiwekwa picha ya chura na huyu mnyama wa Gombe, nachagua chura.
 
Ana roho mbaya kama sura yake.... umeweka picha aliyo jipaka poda? Weka ile original. .... kwanza hata ubunge ananyang'anywa na Bulaya.... bora matonya kuliko huyu jamaa lenye sura mbaya, katili, na .....pu....
Namkubali Wassira mpaka kesho ni mtu makini na ana uwezo mkubwa wa kuongoza Nchi 2015.
 
Habari zenu wanajamvi:-

kiukweli mh. Wassira angekuwa mchafu, ukawa tunge mmaliza na kwa dalili hii anaweza kuwaletea ushindi mkubwa ccm 2015 endapo watampendekeza apeperushe bendera ya ccm 2015.

1. Ni jasiri
2. Mpenda maendeleo
3. Anayejua matatizo ya watanzania
4. Mzalendo
5. Anayeguswa na shida za wananchi
6. Muadilifu
7. Mwenye afya njeema kabisa
8. Mchumi mzuri wakutatua tatizo la ajira na umasikini tanzania
9. Mwenye uzoefu wa kitaifa na kimataifa.
Atatusumbua sana ukawa. Yani nafuu yetu asipewe mh. Wassira ila akipitishwa tu, ccm itashinda kwa

kishindo 2015 kuanzia urais hadi wabunge
images.jpgPINDA THREE.jpg
 
.....

.....Serengeti National Park inaongoza kwa mapato kushinda mauzo ya dhahabu nje ya nchi
 
Habari zenu wanajamvi:-

kiukweli mh. Wassira angekuwa mchafu, ukawa tunge mmaliza na kwa dalili hii anaweza kuwaletea ushindi mkubwa ccm 2015 endapo watampendekeza apeperushe bendera ya ccm 2015.

1. Ni jasiri
2. Mpenda maendeleo
3. Anayejua matatizo ya watanzania
4. Mzalendo
5. Anayeguswa na shida za wananchi
6. Muadilifu
7. Mwenye afya njeema kabisa
8. Mchumi mzuri wakutatua tatizo la ajira na umasikini tanzania
9. Mwenye uzoefu wa kitaifa na kimataifa.
Atatusumbua sana ukawa. Yani nafuu yetu asipewe mh. Wassira ila akipitishwa tu, ccm itashinda kwa

kishindo 2015 kuanzia urais hadi wabunge
View attachment 217498View attachment 217499

Tena mapato ya nchi kupitia utalii yataongezeka mnoo!!
Maana kilaakiena ughibuni watashangaa hivyo kufanya wazungu waje kwa wingi
 
Back
Top Bottom