Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

To be honest Wasira is one of the best kati ya watangazania ,he is the presidential material.
 
Jamaa anaweza kujenga na kuitetea tofaut na vilaza wengine mule ccm na ndio maana hata katka midahalo ya katiba wakimsukuma yeye
 
Huyu Wasira alisimamishwa na mahakama kutogombea miaka 5 kwa kutiwa hatiani kwa utoaji rushwa wakati wa uchaguzi. Hili sio doa? Naona mmevaa miwani ya mbao!
 
Huyu Wasira alisimamishwa na mahakama kutogombea miaka 5 kwa kutiwa hatiani kwa utoaji rushwa wakati wa uchaguzi. Hili sio doa? Naona mmevaa miwani ya mbao!

Rushwa ndo sera ya chama chao tawala.
VOTE FOR UKAWA
 
Huyu Wassira tangu mwaka 1972 (43yrs) yuko serikalini huu muda unatosha. Hana hadhi ya kuwa kada mkongwe kwani aliasi na kukimbilia upinzani. Tamaa ya madaraka ikamrudisha CCM. Hafai. Kiboko yake ni Esther Bulaya,, lazima amng'oe Bunda.
 
Mwanasiasa mkongwe Nchini Mhe. Stephen Masato Wasira amesema nchi imekosa uadilifu kwa sasa na inahitaji kiongozi anaeweza kukemea Rushwa kwani rushwa imekua kitanzi cha kuwanyongea wanyonge Wa Taifa hili.

Pia Leo Mhe. WASIRA ANATARAJIWA KUCHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA NA CHAMA CHAKE MAJIRA YA SAA TANO NA NUSU KATIKA MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI MJINI DODOMA
 
Rushwa inakemewa?how?tunataka propaganda hazifai atumie gear nyingine lakini sio ya kusema uongozi uliopo haukemei Rushwa sema Watz sasa hivi wanapenda hela sana kuliko kazi mijitu kibao iko mahakamani na kesi zao zinaendelea kwa sababu ya Ubadhirifu na mingine imefungwa yeye anataka hatua gani nyingine??
 
Mbunge Wa Bunda ambae pia ni waziri Wa kilimo chakula na Biashara Mhe. Stephen Masato Wasira anaelezwa kuwa Tishio ndani ya CCM Kuliko watia nia wengine hii inatokana na uadilifu wake na umahiri wake Wa kujenga hoja na kuzitetea ndani na nje ya chama chake pia ni MTU anaelezewa kutokua na makundi yenye kuleta mpasuko ndani ya chama
 
Back
Top Bottom