Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Eti kwa mfano mimi nihame yanga nihamie simba!!!! Labda dunia ianze tena upya, Au nihame MAN U nihamie CHELTAKO FC?!Tapeli, mchumia tumbo, njaa inamsumbua sana huyu jamaa kuhama timu siyo uzalendo wachezaji wanahama lakini shabiki wa kweli hawezi hama
Mbona Siku ile Yanga inafungwa 1-0 na simba alikuwepo Uwanjani amejipaka rangi za Yanga?.
Huyu jamaa naona anatumia fursa...!!
.Hapo ndipo utakapojua akili za mashabiki wa Yanga