Steve ajutia maamuzi yake ya Kuhamia Azam

Steve ajutia maamuzi yake ya Kuhamia Azam

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304



Aliyekuwa mshabiki maarufu wa Team ya Yanga Steve Amefunguka na kusema kitendo chake cha kuhamia kuwa mshabiki wa Azam kutoka Yanga kimefanya maisha yake yawe Mabovu kimaslahi na umaarufu kupungua sana


Amesema japo bado anaitamani Yanga lakini hawezi kurudi tena kuishabikia Yanga kwa kutoonekana ------- ...Hivyo anachofanya kwa sasa ni kumuomba Bosi wa Azam Ampe kazi ya Kuajiriwa katika Team hiyo kama Mshabiki wa Damu.






Steve alipata umaarufu mkubwa baada ya Yanga kufungwa Tano na Simba miaka kadhaa iliyopita ambapo Steve alirekodiwa na Vituo mbali mbali vya TV akimwaga Kilio cha nguvu

 
Tapeli, mchumia tumbo, njaa inamsumbua sana huyu jamaa kuhama timu siyo uzalendo wachezaji wanahama lakini shabiki wa kweli hawezi hama
 
Tapeli, mchumia tumbo, njaa inamsumbua sana huyu jamaa kuhama timu siyo uzalendo wachezaji wanahama lakini shabiki wa kweli hawezi hama
Eti kwa mfano mimi nihame yanga nihamie simba!!!! Labda dunia ianze tena upya, Au nihame MAN U nihamie CHELTAKO FC?!

Huyu jamaa sio timamu wa akili ana mapungufu huyu.
Atakoma kuhama kwa wananchi,........
 
Mbona Siku ile Yanga inafungwa 1-0 na simba alikuwepo Uwanjani amejipaka rangi za Yanga?.
 
Angekua ni ndugu na mm lazima ningempeleka milemb.e kucheki uwezo wake wa akil.i
 
Ha ha ha ha Chezea Yanga wewe! Ipo siku kila mtu ataishabikia Yanga.
 
hivi ushabiki ni rahisi tu kubadili namna hiyo kama nguo...huo utakuwa ni usanii...
 
Mshabiki anayenunuliwa Tanzania...tumia fulsa kijana,Manji kwa kutaka sifa za kijinga atamnunua na kumludisha jangwani muda Si mrefu..
 
Huyo imekula kwake yanga ilimpa umaharufu sana hadi manji akampa piki piki yanga inamamilion tuliona mwenzetu anaumia hadi Kulia kumbe Taira na asirudi tena akae huko huko kwa mataira wenzake kaona hata ubingWa hawapati anataka kazi!!! Labda hatoe 0713
 
Back
Top Bottom