Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi pikipiki na viti mwendo (wheelchairs) 100 kwa watu wenye uhitaji maalum, amesema;
"Kuomba ni utumwa na udhalilishaji, lakini kwa ajili ya ndugu zetu hawa acha nidhalilike," Steve Nyerere, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao akigawa pikipiki na viti mwendo (wheel chair) 100 kwa watu wenye mahitaji maalum, jijini Dar es Salaam.
Your browser is not able to display this video.
Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.