warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
WASANII wa Bongo Movie, muziki wa dansi, taarab, maigizo na tamthilia wametangaza kuzunguka nchi nzima wakiwa na kamati ya Tanzania Kwanza Nje
ya Bunge Maalum la Katiba kwa lengo la kutangaza amani kwa vijana wa rika lote bara na visiwani.
Baadhi ya wasanaii hao ni pamoja na Steven Mengele ‘Steve Nyerere' ambaye ameteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa uwakilishi kwa upande wa wasanii katika Tanzania kwanza nje ya Bunge maalum, Muungano huo uko chini ya Mwenyekiti Augustino Matefu. Akizungumza juzi na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam, Steve amesema kwamba ataungana na wasanii ambao wako katika vyama mbalimbali kama vile Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, NCCR, Mageuzi , Cuf na vyama vingine huku wote wakiwa na lengo moja tu la kuhimiza mchakato wa katiba uendelee huku wanasiasa wakizingatia kudumisha amnai na umoja wa Watanzania.
Nyerere aliongeza kwa kusema kuwa yeye hakuwa na kipingamizi pindi alipoambiwa amechaguliwa kuwa miongoni mwa wasimamizi wa mpango huo ambao umewakutanisha vijana kutoka katika itikadi mbalimbali za vyama vya siasa. "Nilipoambiwa hili jambo niliweka itikadi zangu za chama pembeni na kuuvaa Utanzania kwanza ili kuunganisha fani zetu wote kwa pamoja na kuweza kuwahimiza wananchi wadumishe amani tuliyokuwa nayo nchini" alisema Nyerere.
Aliongeza pia kwa kuwaomba viongozi wa dini masheikh na maaskofu wakiwemo mapadri wote kuungana nao wasanii hao katika kuhimizaani ya amani ya nchi. "Sisi wasanii tunapata riziki zetu kutokana na amani na utulivu uliopo nchini mwetu hivyo kila msanii na Mmtanzania aone ni jambo la fedheha kuiichezea amani ambapo siku ikipitea tutakwenda kuomba hifadhi katika nchi za jirani zilizopata uhuru na kufuata ushauri kutoka kwetu"
Aliongeza kwa kusema kwamba ana imani kubwa watanzania watawaelewa pindi watakapokuwa katika ziara hiyo kuzunguka nchi nzima huku wakiwa na
mabalozi watano kutoka kila nyanja ya sanaa ambazo ni muziki wa taarab, Hip Hop, Sanaa za maigizo, Michezo na tamthilia. Mkutano mkubwa unatarajiwa
kufanyika Kibanda Maiti Zanzibar.
Amwambia Wema aepuke umaarufu wa bila kazi

MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere' ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi. Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila kukicha kwani hazina maana kama kazi ya sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia
kipato.
"Kwanza nampongeza sana Diamond kwa tuzo zote alizopata kwa kuwa alistahili lakini Wema naye anapaswa kuiga mfano, vinginevyo atakuwa maarufu bila ya heshima," alisema Steve Nyerere.
WanaJF huyu Stevie Nyerere mbona mwenzenu simuelewi,namuona tu na kimbelembele chake na kujikwezakweza aonekane na yeye yumo.Hivi anafanya kazi gani ya kuonekana inayomfanya ajione yumo kiasi hicho au fans wake ni kina nani?Naona kama muonekano wake unamkataza kabisa kuwa Celebrity ila yeye kama analazimisha hivi au?.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums