Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Matola aliwaambia siku Moja hapa kwamba wema ni celebrity hapa JF mkabisha sasa almost kila siku lazima watu mchome bundle zenu, muda wenu toka asubuhi Hadi liamba kumjadili. Mada zake hazikauki kila uchao. Muse mnaukubali ukweli hata Kama hamuupendi. In short Wema anajadilika ...kila siku mnamponda ila Ndo akiwekwa hapa watu na akili zenu mnaojiona wastaarabu, wasafi wasio na umalaya km wa wema, wenye maendeleo na mwingine mazuri mnasugua gaga kila siku kumjadili. Kutomkubali kwenu hakumaanishi kwamba sio celebrity humu. Kwa ufupi mdada ni sura ya mauzo.
umeona eeeeh wana wivu tu hao
Last edited by a moderator: