Steve Nyerere achaguliwa kuwa kiongozi wa wasanii nchi nzima kueneza amani


umeona eeeeh wana wivu tu hao
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeeh wana wivu tu hao

Team wema ndo wanamuonea wivu kajala kapata buzi la maana, madame hana nyimbo atulie na ndomo wake , kajala yupo zake china anakula life , wema yupo knyama anasugua gaga
 
hii kitu hata Martin alishawah sema, honestly mashabiki wa wema wanamuharibu kushabikia hata uovu wake si sahihi badala ya kumshaur mazur wako busy kusifia uchafu wake, ukiwasema wanakuja juu kama moto wa kifuu.

Wema ana team za ajabu sana ndo maana hana maendeleo, hizo team zingekuwa zinamshawish atoe movie ningeziona za maana, wenyew wanamsaidia kugombea wanaume wakat wanajua boss wao tayar ana wake , ni wapuuz sana wanatetea had ujinga ,
 

Sio mchezo umaarufu kazi sana hasa ukiwa ni mtu wa kushow off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…