sweetie stone
JF-Expert Member
- Apr 12, 2014
- 417
- 95
Ngoja team wema waje hapa kutetea upuuzi wa madame wao..
Hivi Kama kuna Mtu anaejua mafanikio ya wema kupitia Sanaa aorodheshe hapa...maana sioni kitu zaidi ya kuhongwa tu...
Hiyo sijui team yake wanaona nini sijui kwa huyu Mtu .
Mashabiki mandazi hao hawana jipya
Hivi Wema ana umri gani?
Anaweza kuwa mtoto wa Steve lakini at least amepiga hatua hata ikiwa kwa kuhongwa walau anavitolea jasho. Yeye Steve tangu aanze kuombaomba ana nini? Kila siku anabebeshwa mizigo lakini anaishi kama chokoraa.
Sasa hiv kawa kama sugar mamy flani umodel wote umekwisha ndo maana anang'ang'nia ndoa na dogo cz anajua kashawapanga sana wasanii kuanzia mr blue tid kanumba yule jamaa wa magomeni alieoa na wengine kibao ambao sio maarufu nani sasa hiv atamhonga kashajua dege la jeshi
Nawasubir kwa hamu binamu , nimeshaandaa silaha zote za vita in short nimejikoki , halaf mkonon Nina grenade za hatar, kazi kwako tu
domo mwenyewe ni part time hawezi oa pale ana mtumia kusafiria nyota ake wa diamond hajazaliwa bado ukiwa msichana inabidi utumie mda vzuri sasa yeye na ma skendo mume kupata ni ngumu hawaig hata mfano wa Nolywood actress wameolewa ila hapa Bongo na kupeana sifa abadilike vi dada