Steve Nyerere achaguliwa kuwa kiongozi wa wasanii nchi nzima kueneza amani


Habari yangu ni ya kweli...ili kuingia jeshini ililazimu kuwa mrefu...na Napoleon alikuwa mrefu...kwenye kundi la warefu kuna tofauti yani warefu wa kawaida(wastani) na warefu sana... Hashimu Thabit na Yao Ming ni warefu sana,,Fareed Kubanda na Joseph Haule ni warefu wastani...huwezi muita Fareed Kubanda mfupi eti kwa kuwa kasimama na Hashim Thabit na Yao Ming....ukifanya ivyo Steve Nyerere sijui utamuweka kundi lipi.
 
Ningependa kujua wasanii gani bongo wanatoa kazi za maana na kazi hizo ni zipi, na kwa sababu gani ni za maana, kwa mujibu wako.

Swali genuine, niko a bit out of touch na art scene ya bongo.

I thought Steve was a one trick pony.

Huwa ni mpenzi wa comedy movies za akina majuto n.k yeye naye anajiweka kwenye hilo kundi ila sioni cha maana anachoigiza na kuchekesha kwenye movie zake, huo ni mtazamo wangu binafsi.

Kwa upande wangu kazi za akina majuto zinanichekesha, so kwangu zina maana.
 

Unless you go by figures, the entire exercise is mired in relativity.

Next thing unaweza kutuambia alikuwa "mfupi-mrefu".
 
Kama ni swala la uongo wasanii wengi wanaishi kwa uongo na kuhongwa.
 
Unless you go by figures, the entire exercise is mired in relativity.

Next thing unaweza kutuambia alikuwa "mfupi-mrefu".

kama ishu ni lugha,basi tafsiri ya moja kwa moja ya 'average height' kwenye kiswahili ndio yenye tatizo..kwenye kiswahili kuna mrefu wa wastani na mfupi wa wastani..
 
Kama ni swala la uongo wasanii wengi wanaishi kwa uongo na kuhongwa.

Ni kweli husemalo, tatizo ni jinsi hizo Mali za kuhongwa wanavyozitumia, mtoto mdogo kama lulu ana miaka 19 tu, ana mjengo wake pamoja na usafir na sasa ivi unaambiwa anachukua diploma pale magogoni kwa hizo hizo pesa za kuhongwa, tatizo hawa wengine watu wazima na akil zao wanashindwa kufanya maendelo wanafanya show off za kijinga, wanajisahau na kudhani hao mapedeshee ni baba zao.

Sijawah kuona hata siku moja gari la lulu likizagaa mitandaon ovyo kama Dada zake wanavyofanya, lulu ni mtot mdogo ila anawazid wakubwa zake kwa akili , anamilik piki pik za biashar maisha yanaenda mbele na mdogo wake pamoja na mama yake anawalea yeye.
 
kama ishu ni lugha,basi tafsiri ya moja kwa moja ya 'average height' kwenye kiswahili ndio yenye tatizo..kwenye kiswahili kuna mrefu wa wastani na mfupi wa wastani..

Again, bila figures habari nzima ni speculation.

Utakachoona wewe ni "mrefu wa wastani" kimbonelehi ataona "mrefu".
 
Wema me nampenda but hajitambui kabisa,Steve kaongea point kabisa
Kwa hiyo kulikuwa na haja gani ya ku publish ujumbe ambao ulikuwa ni maalum kwa Wema na si public?

Huyu Steve kwanini ana penda malumbano na wanawake?
 
Steve Nyerere anachekesha maisha yake,sio movie anazocheza....hivi awa mabongo movies hawajaona mtu wa kuwaongoza mpaka wakampa uyo kituko?

Hata mimi nilisikitika sana alipogombea yy na dr cheni alafu wakamnyima drcheni wakampa steve ndio nilipojua bongo movie wamejaa mamburula, yaani kijitu kiko kiko tu hata hakina personality alafu kimeka ki njaanjaa tu, yaani badala yakuwaunganisha bongo movie wawe kitu kimoja chenyewe ndio kinaanzisha matabaka...natamanigi hata nikizabe vibao kinavyokuwa kinaongea ovyoovyo NYAMBAFU KABISA...
 
Kwa hiyo kulikuwa na haja gani ya ku publish ujumbe ambao ulikuwa ni maalum kwa Wema na si public?

Huyu Steve kwanini ana penda malumbano na wanawake?

cnackia Steve huwa ana watafutia ma pedeshee kwa hyo nahci anawa fahamu vzuri kuhusu ku publish labda yeye aliona yuko sawa ila mie naona katoa ushauri mzuri tu
 
Kwa hiyo kulikuwa na haja gani ya ku publish ujumbe ambao ulikuwa ni maalum kwa Wema na si public?

Huyu Steve kwanini ana penda malumbano na wanawake?

Wamekutana wote attention seeker..
 

Wewe ulishindwa kujibu hoja badala yake ukaingiza mtu ambae hakuwa kwenye comment yangu. In short kajala sio central kwenye hii post so sio ni haja ya lumps airtime. Weka ushabiki pembeni kipi cha ajabu alichofanya wema ambacho binadam au wasanii wengine hawafanyi? Kila binadam Ana std zake ktk maisha Unapoona nyumba ni deal yupo mwingine anaona si ishu km alivyo wema. Lulu ni lulu na wema ni wema na Ndo maana akaitwa lulu na wema akaitwa wema. Mradi yake yanamuendea hajaja kugonga hodi Kwako basi
 
cnackia Steve huwa ana watafutia ma pedeshee kwa hyo nahci anawa fahamu vzuri kuhusu ku publish labda yeye aliona yuko sawa ila mie naona katoa ushauri mzuri tu

Hule ulikuwa ushauri wa mtu binafsi si wa public.
That was personal attack!
Kama umemfatilia vyema Steve utagundua ni tatizo!
 
Matola aliwaambia siku Moja hapa kwamba wema ni celebrity hapa JF mkabisha sasa almost kila siku lazima watu mchome bundle zenu, muda wenu toka asubuhi Hadi liamba kumjadili. Mada zake hazikauki kila uchao. Muse mnaukubali ukweli hata Kama hamuupendi. In short Wema anajadilika ...kila siku mnamponda ila Ndo akiwekwa hapa watu na akili zenu mnaojiona wastaarabu, wasafi wasio na umalaya km wa wema, wenye maendeleo na mwingine mazuri mnasugua gaga kila siku kumjadili. Kutomkubali kwenu hakumaanishi kwamba sio celebrity humu. Kwa ufupi mdada ni sura ya mauzo.
 
Last edited by a moderator:

OK basi sawa , kama ulivyoona wema ni binamu kama binadamu wengine , hata kajala nae yupo hvyo hvyo so wamuache kumzonga na kajala bas , wamuache ale bata .

Kuhusu maisha kumuendea sawa nakataa binamu , wema kafulia sasa ivi , hana ishu mjini , sasa ivi kajala ndo habar ya mjin , wema kabak na jina lake tu , ndo maana ana hasira na kajala , sasa Sijui kwa nn ana hasira na k wakat yupo na ndomo , pesa bwan
 

Acha kupanick bibie , kumbuka hili ni jukwaa la ma celebrities, na wema nae ni mmoja wao , so waache watu wafunguke bhana

Mumkumbushe arudishe gari la watu, kama ndomo hana uwezo atajibeba mujini , ujanja mwingi mbele kiza. Anajifanya hampendi clement mbona gari lake anatumia?? Si arudisheee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…