Steve Nyerere achaguliwa kuwa kiongozi wa wasanii nchi nzima kueneza amani

Again, bila figures habari nzima ni speculation.

Utakachoona wewe ni "mrefu wa wastani" kimbonelehi ataona "mrefu".

Nilikuwa najaribu kukuonyesha nivipi tafsiri ya 'average height' inakosa tafsiri ya moja kwa moja kwenye kiswahili...sijausisha na napoleon,usitwist.
 
Hule ulikuwa ushauri wa mtu binafsi si wa public.
That was personal attack!
Kama umemfatilia vyema Steve utagundua ni tatizo!

ila unajua bongo hi watu wanapenda attention hata ziczo za msingi na wao wanaona kupublish every kwenye media ndo u supa star wa kibongo tatizo ni shda
 

Bongo movie akili zao unaweza kuzipima kwa maamuzi ya kuchagua Steve Nyerere ndio awaongoze.
 
ila unajua bongo hi watu wanapenda attention hata ziczo za msingi na wao wanaona kupublish every kwenye media ndo u supa star wa kibongo tatizo ni shda

Wema haoni shida yule , ata umuandike vp ndo anafurah, nakumbuka kuna kipindi mama yake aliwatukana sana waandish wa shigongo akina mnally na shakoor jongo , akawaambia wamkome wema kumwandika , kesho yake wema kaenda kuomba msamaha global , apo nikjua kweli wema anapenda kuandikwa , maana magazet ya shigongo yamembeba sana mpaka apo alipo, maana ata chalinze wasingemjua maana hana filamu nyingi sana kama johar. So salute sna kwa shigongo naona had tuzo wamempa , wenyew wanaingiza pesa kupitia jina lake wema anasaga rumba kwa NJaa , watu wanatumia fursa ya nyota
 

Mimi mwenyewe namkubali Wema supanyota ila ni malaya, ninachopenda maku yake imeonjwa kuanzia mtoto wa Kinondoni TID mpka mtoto wa Ilala Mr Blue.Ila mkumbusheni Wema yeye ni malaya tu. Ila awakumbuke watoto wa Tmk kama Sintah alivyowakumbuka.
 
Last edited by a moderator:
 
Hehehe utawafanyeje kwa Mfano? Tukubali kutofautiana, hii ni dunia Huru kila mtu ana uhuru wa kusimamia kile anachokiamini na kukipenda.

kuna vitu vya kutofautiana sio kila kitu uwe negative kwa vile tu unatakiwa uwe hivyo, hata mashabiki wa mpira sometym wanakubali matokeo kuwa timu zao hazikucheza vizuri pale zinapofanya vibaya. kuwa team wema sio sababu ya kutetea hata ubaya anaofanya maana mlivyo hata akikutwa anajiuza pale Ohio mtamsifia madam wenu yuko juu.

Hakuna kibaya hapo kwenye ushaur wa steve, atakama ana mapungufu yake binafsi ila isiwe sababu ya kupondea ushaur wake, maana hata wema naye wapo anao washaur mazuri japo mwenyewe ana mabaya yake.
 

Umeongea vizur, kuna watu hata wema afanyeje watanyamaza kimya , ila akifanya kajala hayo matarumbeta yatakavyopigwa hatar, wakubali tu madamme kafulia basi , wamuache kajala ale bata , huyo wema anajifanya hampendi Clement wakat gari alilompa ndo linamsitir apa mjin , kama hampend s arudishe gar amwambie baby wake amnunulie kama ana hyo jeur
 

Nilikuwa sijafuatilia Uchaguzi wao kama ni kweli walimuacha Dr Cheni kwa ajili ya hiki kiumbe cha ajabu basi inawezekana alivyosema Richie kumezagaa mashoga mle.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

ni kweli mdau hata kama ni ushabiki kuna vitu inabidi ukubaliane navo hata kama una mapenzi ya dhati sasa unakuta ushauri muhimu watu hawautekelezi baki kushabikia tu kuna vitu havi htaji akili sana kuvielewa to me Steve kasema ukweli bila unafki rafki bora ni yule akushauriaye jema sio kukupaka mafta kwa mgongo wa chupa tofauti na Bongo ukitofautiana na mtu watu wa kuona haters we need to change to some important things Ulaya kuna team zina mashabiki team zao zikifungwa huwa wanakubali matokeo
 

hii kitu hata Martin alishawah sema, honestly mashabiki wa wema wanamuharibu kushabikia hata uovu wake si sahihi badala ya kumshaur mazur wako busy kusifia uchafu wake, ukiwasema wanakuja juu kama moto wa kifuu.
 
hii kitu hata Martin alishawah sema, honestly mashabiki wa wema wanamuharibu kushabikia hata uovu wake si sahihi badala ya kumshaur mazur wako busy kusifia uchafu wake, ukiwasema wanakuja juu kama moto wa kifuu.

Badala wampigie makerere wema akazane kuwapa burudan kupitia filamu ili wampe support kwenye kununua kazi zake , wenyewe wana msupport kugombea wanaume na hayo mambo ndo wanayaweza kweli , kumuulizia madame anatoa lini movie mpya wala hilo wao haliwahusu ila kugombea wanaume na kutukanana ndo wenyewe, team yake ovyo sana
 
Kati ya wooooote wamemuona Steve Nyerere duh kweli hao watu wanamaumivu ya kichwa tena ya hatari kama vipi Wena awe msaidizi wake.
 
Nchi imejichokea kweli hii Steve Nyerere kuwadi wa wasanii bongo movie aje anihubirie suala la katiba wakati yeye mwenyewe haijui hata katiba yake ya bongo movie.
 
changa la macho tu hilo kwa kodi za watz.. hiyo amani kama walishindwa kui mantain ndani ya bunge la katiba ndo waje kwetu uswahilini..watatueleza nn kipya ambacho hatukijui.?
 
Utumbo mtupu huu,kwani nchi haina aman hii? waache upuuzi na ujinga wao.

Halafu kuna wapuuzi wanazungumzia sn amani,et eneza amani kuwa mzalendo,hivi vikauli mbiu vya kikuda tu na havina msingi wowote wala maana.Itakuwa vip siku nchi ikichafuka kweli? wamepandikizwa mambo wakati hata hawajui kuwa amani ndo kwanza mfumo mbovu wa kiutawala unataka kuuharibu kwa ukandamizaji,kutaka kuhodhi madaraka,kwa unyanyasaji,Ufisadi,na kila aina ya dhuluma.

"Mungu asante kwa kumleta mwandishi E .Kezilahabi,hakika vitabu vyake vina yale ambayo yanatokea Tanzania kwa sasa"
 

Ntakasi Likes This.......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…