Steve Nyerere amponda Erick Omondi, adai watanzania wanaomkubali ni wajinga

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama huyo kuwa ni mchekeshaji.

 
Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama huyo kuwa ni mchekeshaji
Anasema watanzania ni wajinga....yeye ndo mpuuzi namba moja huyo mbn yeye anaiga sauti za viongozi..tatzo ni upeo mdogo unamsumbua mbn wakina diamond, ay wanashabikiwa Kenya
 
Bahati mzuri sijawahi kuwakubali wote wawili..!
 
Hehe huyu jamaa hata nilikua simjui, anaongea nini.
Anasema mchekeshaji ni anayeongea, hajawahi ona stand up comedy za Omondi nini?
Yule jamaa ana ongea unaweza cheka saa nzima hadi tumbo likauma, huyu homo sapien anasikika labda shinyanga vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…