Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli uyo Stiv Nyerere hata robo hamfikii Eric.. Stiv show nzima unaeza uscheke ata kidogo utaskia ooo makonda anakuja dar alshukia chalinze mavichekesho ya kizaman kabisa ayo na yamezoeleka maskion mara wema kafanyajeHehe huyu jamaa hata nilikua simjui, anaongea nini.
Anasema mchekeshaji ni anayeongea, hajawahi ona stand up comedy za Omondi nini?
Yule jamaa ana ongea unaweza cheka saa nzima hadi tumbo likauma, huyu homo sapien anasikika labda shinyanga vijijini.
omond ni level za pablo wa uganda.Omondi yupo juuu hatareee hakuna anaye mfikia Africa mashariki na kati
Huyu jamaa ata dogo pepe amfikii achilia mbali Evanc BukukuOmondi yuko vizuri haka kajamaa sijui vipi hata sijakaelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kutudharau aisee...kwa taarifa ni kuwa hata huku hasikiki/hakubaliki. Kwanza tuna wakali wetu kutoka Ikomabuki, Ukenyenge, Mwamang'olo, nk. Wakali mara 100 ya ki.la.za Steve Nyerere.