Steve Nyerere amponda Erick Omondi, adai watanzania wanaomkubali ni wajinga

Unajua kuna uigizaji, uchekeshaji na utani. Sasa huyo stive ni muigizaji na muonyesha utani, mtu unaweza ongea masaa mawili usicheke.
Stive hawezi mfikia hata yule mkenya chokoraa trick sana.
Brother MCA TRICKEY churchchill show nzima hakuna mtu anamfunika yule dogo....hao wakina proffessor harmo,jasper, jassy mc na wengine wanasubiri kwa yule dogo
 
Ukweli utakuweka Huru! Steve hamuwez hata mwanangu babra! anamiaka mitatu now na anachekesha zaidi yake... Actualy huyu bwana hachekeshi kabisa, anachojua ni kuboa tu watu... na ni mtaalamu hasa wa kuboa wenzie na ukuwadi anauweza weza pia ila amebobea katika tasnia ya kuboa watu! Omondi ni Diamond wa stand up comedies. Ukibisha we mbishi tu no more no less
 
Bado anatumia KY? Au toka serekali izuie kusambazwa anatumia baby care
 
Yaan huyo steve bado sana.wala hajui kuchekesha.alaf mbona eric omondi anachekesha pia majukwaani.
Kingine pia steve mshamba maana anasema hamjui eric omondi wakat ni mmoja wa watu maarufu east africa.
Mwezake omondi anapanda ndege mara kwa mara kwenda nje kufanya stand up comedy.... omondi ni ambassador wa brand kadhaa Kenya.... chuki mbaya sana. Na hatokaa avuke mipaka.... na fans wake watabakia hao hao bongo movie wenzie
 
Watanzania ni wanjinga au wanao mkubali ndio wajinga?.
 
Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama huyo kuwa ni mchekeshaji.

Kenyewe ndo hakajui kitu. kaache wivu wa kijinga
 
Yaan huyo steve bado sana.wala hajui kuchekesha.alaf mbona eric omondi anachekesha pia majukwaani.
Kingine pia steve mshamba maana anasema hamjui eric omondi wakat ni mmoja wa watu maarufu east africa.
Kumbe n Ka**nge eeeh hamjui asa dis upon eric za nn ka hamjui???
 
Mjinga mwenyewe teba mpumbavu..kwani anatuchagulia vya kupenda? ka hatupendi vyako acha kumtukana mwingine
 
Ebo! Kuiga, Steve umeiga jina la Baba wa taifa NYERERE pamoja na sauti yake, mwezio Eric Omondi, anatumia jina lake asili mwisho wewe jisifie tu, lakini ujue; Eric Omondi ni bingwa wa kuchekesha eneo hili la east africa
 
Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama huyo kuwa ni mchekeshaji.

Ye wenyewe mjinga cjui huwa anacheesha kina nan
 
Utamwambiajw mtu mjinga anachekeshwa anacheka mwisho atasema omond freemason aka kajamaa sijawahi kumuelewa anafanyaga nini siyo usaniii wa bussiness
 
Bora nimuangalie Stan Bakora naweza kucheka kidogo ila haka ka steve sijui hata nani amekaita mchekeshaji, huyu hata nusu ya robo haingii kwa Eric Omondi, yule jamaa yuko mbali sana tena anajua kufanya ujinga wa kuchekesha kweli.
Tatizo la wasanii wetu ni kutopenda kujifunza kupitia wengine, kwanini ulazimishe kuwa wewe ni bora wakati ubora huna? Kanatuchagulia chakutazama, kama kanataka kupima uwezo wa Omondi kaitishe show halafu omondi aje hapa kila mtu awe venue tofauti katampata demu wake tu na nyomi ya Omondi itampeleka muhimbili kwa pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…