ssa si mpaka awe na kiangalizioUyo steve ina maana hata Churchil show huwa aangalii au nikujibaraguza tu.
Huyu Steve si mzima kabisa...nime mshangaa..Kama anadhani Omondi hachekeshi basi Huyu atakuwa anatafuna funza. Uwivu hautamfikisha mahali.
Unajua kuna uigizaji, uchekeshaji na utani. Sasa huyo stive ni muigizaji na muonyesha utani, mtu unaweza ongea masaa mawili usicheke.
Stive hawezi mfikia hata yule mkenya chokoraa trick sana.[/QUOTE
Kifupi hawezi mfikia hata Wanjiku The teacher
hahaaYe wenyewe mjinga cjui huwa anacheesha kina nan
Hakana demu haka kakuwadiBora nimuangalie Stan Bakora naweza kucheka kidogo ila haka ka steve sijui hata nani amekaita mchekeshaji, huyu hata nusu ya robo haingii kwa Eric Omondi, yule jamaa yuko mbali sana tena anajua kufanya ujinga wa kuchekesha kweli.
Tatizo la wasanii wetu ni kutopenda kujifunza kupitia wengine, kwanini ulazimishe kuwa wewe ni bora wakati ubora huna? Kanatuchagulia chakutazama, kama kanataka kupima uwezo wa Omondi kaitishe show halafu omondi aje hapa kila mtu awe venue tofauti katampata demu wake tu na nyomi ya Omondi itampeleka muhimbili kwa pressure.