Steve Nyerere amponda Erick Omondi, adai watanzania wanaomkubali ni wajinga

Mimi ni mtanzania lakini siwezi kuwa mjinga... mjinga yeye na chuki zake za kipuuzi.. shuaaani
 
Kuwadi Mkuu maarufu mwenye umri mdogo Afrika mashariki.

CCM oyeee !!!
 
Kweli watu wafupi wana roho mbaya kwakua mioyo yao ipo karibu na makalio
 
Sijawahi cheka , kifupi steve hachekeshi kabisa labda uwe na malaria, nadhani anatafuta kikck
Ukitaka kujua Steve Nyerere ni bonge la muigizaji...ngoja aigize anakunya.

Nakuambia huo uso unajikunja kuliko utumbo.
 
Kumbe hii ndo sababu hafanikiwi, alafu sura yake anaonekana mnafiki, stress kibao.
 
We Stive tumia akili kidogo ona unavyo kandiwa unajifanya hujui kwamba hujui f##$la kweli au ndo unatafuta kiki watu wakujue zaidi.
Kiukweli hajui angetafuta jambo jingine la kufanya au asubiri uchaguzi
 
Yeye ndio Mjinga kwani akisema anamjua omondi kuna tatizo?
 
Ukiwa mkubwa halafu ukiwa na wivu ni tatizo kubwa Sana.
 
Kwahiyo Anaye julikana kwa jina la Steve Nyerere anasema Wazi wazi kabisa kuwa "Wa Tanzania ni wajinga" ???
 
Afadhali hapa JF naweza kucheka kuliko comedy za hao watu.
 
Kweli watu wafupi wana roho mbaya kwakua mioyo yao ipo karibu na makalio
dada angu mbona mbavu zangu unazifanyia ukatili hivi!!!!watu mna mineno ya shombo hatare...ila huyu andunje fani yake ni ipi?mi namsikiaga tu lakini kiukweli sijawahi kumuona sehemu yoyote kwenye hizo tasnia zao
 
Elimu ya darasa la saba bado haitoshi hata kutambua kipaji cha mtu!
 
Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama huyo kuwa ni mchekeshaji.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…