avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
NGOJA NIWATAFUTE YOU TUBE SIJAWAHI KUWASIKIA4.Professor Hamo
5.MCA Tricky
6.Mamito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NGOJA NIWATAFUTE YOU TUBE SIJAWAHI KUWASIKIA4.Professor Hamo
5.MCA Tricky
6.Mamito
Utapenda sana,ongezea na Man KushNGOJA NIWATAFUTE YOU TUBE SIJAWAHI KUWASIKIA
Ukitaka kujua Steve Nyerere ni bonge la muigizaji...ngoja aigize anakunya.Sijawahi cheka , kifupi steve hachekeshi kabisa labda uwe na malaria, nadhani anatafuta kikck
dada angu mbona mbavu zangu unazifanyia ukatili hivi!!!!watu mna mineno ya shombo hatare...ila huyu andunje fani yake ni ipi?mi namsikiaga tu lakini kiukweli sijawahi kumuona sehemu yoyote kwenye hizo tasnia zaoKweli watu wafupi wana roho mbaya kwakua mioyo yao ipo karibu na makalio
Kwa hiyo anaishi kishigongo?Losers become haters huyu jamaa hata sura yake imekaa kinafki nafki, anaishi mjini kwa mgongo wa ccm Sanaa kushney long long a go!
Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama huyo kuwa ni mchekeshaji.