Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YaaaniBora mjinga kuliko kuwa dalali wa madem
Homo what??Hehe huyu jamaa hata nilikua simjui, anaongea nini.
Anasema mchekeshaji ni anayeongea, hajawahi ona stand up comedy za Omondi nini?
Yule jamaa ana ongea unaweza cheka saa nzima hadi tumbo likauma, huyu homo sapien anasikika labda shinyanga vijijini.
Huyu jamaa hata simuelewagi kabsa comed zake bora hata omond kuliko huyu jamaaBora mjinga kuliko kuwa dalali wa madem