Steve Nyerere amvaa Niffer kwa kumjibu Waziri Mkuu kwa kuchangisha maafa ya Kariakoo

Hiki kichawa nacho kimezidi. Nashangaa hata wanaomuita Stivi Nyerere na si mengele. Hakuna mpumbavu kama huyu kwa wanaojiita wasanii. Anajipendekeza mpaka inakera. Hata makonda hamfikii kwa kujipendekeza wala Kafulila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…