Steve Nyerere amvaa tena Lulu

Steve Nyerere amvaa tena Lulu

Steve nyerere alipeleka hta sabuni lulu alipokua gerezani?! Kujitenga walianza wao na lulu kajifunza kutoka kwao.
 
Kila mtu na maamuzi yake,kwani pindi cha matatizo yake,wangapi walikuwa nae? Kila mtu abebe mzigo wake,
 
Mabongo muvie manafki tuu!bora uwape kubwa kimtindo...!ukifa utazikwa tu,kwani kuja wao ndo kwenda peponi?!!!zaidi ya yote wanatia gundu msiba ili malaika wakusakame vizuri.
 
Steve nyerere alipeleka hta sabuni lulu alipokua gerezani?! Kujitenga walianza wao na lulu kajifunza kutoka kwao.

Kile ki vits lulu alitoa wapi?steve nyerere alimpigia chapuo mahali
 
Back
Top Bottom