Steve Nyerere astaafu kuwa kiongozi misibani

Mimi siyo mtu wa Bongo movie lakini huyu alizidi.
 
Hutu jamaaa siyo kwamba wanamuandama kwa kula fedha za misiba ila anaandamwa kwa kuishabikia ccm, jinga sana huyu jamaa na ndye pioneer wa kampeni ya mama ongea na mwanao...sasa ametulea shida ndyo maana raia wameamua kuzaa naye mchana kweupe na anapenda sana kumlambalamba bash baby unyayo!
 
Akijiuzulu hii nafasi watu watamkumbuka sana huyu...unajua siku zote thamani ya kitu huijui hadi kitu hicho kiondoke/kikutoke.
 
Anamwachia nani sasa. Kwan hicho cheo chake kinafanyiwa uchaguzi?
 
Kumbe kuongoza misiba nako kuna kustaafu? hahahahaa anachafua tu heshma ya neno "kustaafu"
 
Anatoa kauli kabisa kuwa atabaki kushiriki tu ana uhakika gani kwamba msiba unaofuata hatokuwa yeye.. aache ujinga
 


Ni kwa sababu hana kazi ya kufanya, hata kwenye hiyo misiba ni yeye mwenyewe ndiye anayejipeleka kutafuta sifa na fursa, si kama anachaguliwa na wenzake, wanamwachia tu…...anajilazimisha kutafuta fursa na kula hela za michango ya wafiwa. Mwache tu apumzike, pengine alishajikusanyia hela za kutosha.
 
pengo lake halitazibika steve badili uamuzu uzoefu wako bado tunauhitaji
 
Bora aisee aachie wasaidizi kama anao ili asiwe anapewa maneno hayo anayopewagwa.. na kama yupo msafi basi akae na amani anavyoachia wengine wachukue majukumu hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…