PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Afanye juhudi kwanza za kuifukua bongo muvi toka kaburini maana inaonekana kaburi lililozikwa bongo muvi ni futi 14 kwenda chini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakajenge viwanda, huu sio wakati wa kunywa chai za bure Ikulu.
Ohooooo!!!Ukijihusisha na ccm lazima ufe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Afanye juhudi kwanza za kuifukua bongo muvi toka kaburini maana inaonekana kaburi lililozikwa bongo muvi ni futi 14 kwenda chini.
Sijawahi mwelewa hata Mara mojaAfanye juhudi kwanza za kuifukua bongo muvi toka kaburini maana inaonekana kaburi lililozikwa bongo muvi ni futi 14 kwenda chini.
"Stearing" ndiyo nini naomba mnisaidie. Maana lugha za Bongo Movie zina kamusi zake!